Uma Tunavyoweza kuhakikisha kura haziibiwi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uma Tunavyoweza kuhakikisha kura haziibiwi.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by B.Louis, Oct 27, 2010.

 1. B

  B.Louis Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Ni matumaini yangu mu wazima nyote. Kwa mawazo yangu ninaona ni vyema taasisi na asasi zote binafsi kufungua ama kuanzisha mtandao ambao utakua ukikusanya matokeo ya kila jimbo. Mfano. Jamiiforums inaweza kutumia fursa kwa kuwahusisha wanajamii (wanaoaminika) walioko nchi nzima kupost matokeo katika majimbo yao punde tu uhesabu wa kura unapoisha. Hii itatusaidia, kwani pindi tume ya uchaguzi itakapotangaza matokeo "rasmi" nchi (uma) utakua umeshajua matokeo kwani si siri. Lakini pia itatia changamoto na ni njia mojawapo ya kudhibiti hasa wanaofikiria au kutegemea kuiba kura. Tanzania professionals Network (TPN), TAMWA, na taasisi nyingine zaweza tusaidia kukusanya matokeo na kupata idadi "huru" kwani kama tunvyojua tume yetu ya uchaguzi si huru 100%. Kama lengo ni jema, gharama na mengineyo nadhani yanajadilika na hayawezi kuwa pingamizi katika kulitimiza.Inawezekana kabisa hili lisiwe jibu kamili katika kuzuia tatizo, lakini ni vizuri kuboresha kwani nadhani ni kwa kusudio sahihi.
   
 2. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  It is a good Idea.
   
Loading...