Uliza swali lolote la kiufundi kuhusu Scania

kenny gel

Member
May 10, 2016
27
5
Nakaribisha maswali yote yanayohusiana na Malori aina ya Scania kwa tatizo la kiumeme tu.

images%20(1).jpeg
 
Ni aina gani ya scania (mfano kipisi) inayofaa kwa biashara hasa kwa mtu anayeanza? Na anatakiwa achunguze vitu gani muhimu kwenye gari kabla ya kununua ili asiuziwe gari mkweche?
 
👆👆👆 Mwanzoni hakuwa specific! Huenda aliedit, au niwe kwa bahati mbaya sikuiona hiyo ishu ya yeye kutaka kujibia masuala ya umeme tu.

Am sorry for that.
 
Ni aina gani ya scania (mfano kipisi) inayofaa kwa biashara hasa kwa mtu anayeanza? Na anatakiwa achunguze vitu gani muhimu kwenye gari kabla ya kununua ili asiuziwe gari mkweche?
kama kipato chako cha chini nunua scania 113 ndo inafaa na mambo ya umeme yaliyo ndani yake si mengi kikubwa cha kuchunguza humo ni starter na alternator ndo vya msingi katika upande wa umeme na kama kipato chako cha juu waweza nunua scania r420 vitu vya kutazama humo ni vingi engine ecu, ligt contol unit, ebs system,ecas system, ecu ,sensors vyte hivyo unaingiza computer dignosis utagundua hitilafu ipo wapi..
 
Ni aina gani ya scania (mfano kipisi) inayofaa kwa biashara hasa kwa mtu anayeanza? Na anatakiwa achunguze vitu gani muhimu kwenye gari kabla ya kununua ili asiuziwe gari mkweche?
Scania 113 yoyote!. Hakuna sehemu utakwama kwenda!.
 
Dahhhh....
Nimwkuja nduki nikidhani ni mechanical ili nikushushie nondo
 
Nakaribisha maswali yote yanayohusiana na Malori aina ya Scania kwa tatizo la kiumeme tu.

Kwema fundi swali langu mm ni moja tuuu .scania inayotumia coordinator ikipoteza ufunguo huwa unaprogram na mashine gani? Zaidi ya kusoma data na TM pro na kuprogram na tm pro mashine gani inaweza tumika?? Au unaweza program via OBD 2??..

Na ww kama unashida unakutana na track inayotumia immobilizer na imepoteza funguo karibu sana nikuhudumie kwa kukuprogramia ufunguo mwingine.. au kama unataka funguo ya akiba pia karibu sana
 
Back
Top Bottom