Uliza swali lolote; Kuhusu wakandarasi Wa kichina na wakandarasi Wa kibongo Majibu utayapata hapahapa

1.Nini kinachopelekea kampuni za kibongo nyingi kuharibu kazi?
2. kwanini Jengo huwa linajengwa halafu mafundi bomba wanaanza kugonga gonga?
 
jibu 1.
zipo sababu mbalimbali kazi kufanyika usiku, hii kutokana na eneo hilo liko busy kiasi gani mchana kutokana na shughuli za kijamii; Hivyo hupelekea mkandarasi kuamua kufanya kazi usiku ili kupisha shuguli za kijamii Kwa mida ya mchana. Pia kazi nyingine hufanywa usiku kwa lengo la security!

2. Expansion Joint kwenye majengo ni ile sehemu ya maungio inayoachwa maalumu Kwa ajili ya jengo kupumua, uwazi huo huwa backfield na material maalumu yanayoruhusu kusinyaa au kutanua (SIYO CEMENT PLASTER); huwa na tabia zifuatazo; Mara nyingi huwa vertical au horizontal na SIYO ZIGZAG
Kwenye barabara hususani za zege huitwa control joint, hii ni ile nafasi huachwa kila baada ya portion za zege, na portion hiyo huungwa Kwa lami au material mengine! hii husaidia zege isipasuke wakati Wa kutanuka na kusinyaa! unaweza tazama miraba ilivyo kwenye barabara ya mwendo kasi Kwa kuelewa zaidi
Ahsante!
Mkuu sasa ile unakuta nguzo imejengwa kati kati ya maji Na kina kirefu! kitu gani huwa kinatumika kuseparate yale maji nguzo ijengwe?
Niliona mfano daraja la mto kilombero!

Kwa jibu lako la pili!
Kwahiyo kwa kifupi tuseme ile haikuwa expansio joint kama utakua uliona zile picha!( kama tulivyoaminishwa na hawa wakandarasi wetu)?
 
1.Nini kinachopelekea kampuni za kibongo nyingi kuharibu kazi?
2. kwanini Jengo huwa linajengwa halafu mafundi bomba wanaanza kugonga gonga?
ASANTE
1. Tatizo kubwa la kampuni za kibongo ni ujuaji, yaani mtu ambaye siye mtaalam, kumwelekeza mtaalam namna ya kufanya yaani watu ambao siyo professional kufanya kazi za professional, PILI .Management ni mbovu, Yaani unakuta Director Wa kampuni ndiye msimamisi Wa mambo yote kuansia uhasibu , sheria hadi ufundi n.k Hapo ikitokea kampuni inapewa tenda hawachambui Figure, mfano akipewa billion 2, pasipo kuangalia kazi ikoje, zile figure za 2 bil zinampagawisa anajikuta anafanya kazi Kwa hasara
TATU; wanasiasa wanaingilia kazi za kitaaalam na kuamrisha pasipo kuzingatia taaluma
NNE; Sera mbovu za nchi haziwasupport wakandarasi Kwa mtaji

SWALI LA PILI
Hii hutokana na kushirikisha wataalamu husika katika hatua ya awali, jambo ambalo mtaalam Wa bomba mathalani Plumber/ Electrical engineer kushirikishwa wakati jengo limekamilika jambo ambalo huwalazimu kugonga/ kutindua zege ambalo tayari lipo CASTED; jambo ambalo hupunguza ubora hususani nondo zinapouswa na kupenyeza unyevu ambapo rust hutembea kwenye jengo zima
 
Expansion Joint kwenye majengo ni ile sehemu ya maungio inayoachwa maalumu Kwa ajili ya jengo kupumua,
ninyi mnamfuanya mshana jr aaminike kuwa eti kila kinyago, kitengenezwacho kina roho. Kupumua, jengo linapumua !? (Joke)
====
Asante mkuu kwa kutoa elimu bure juu ya mambo haya.
 
Ahsante!
Mkuu sasa ile unakuta nguzo imejengwa kati kati ya maji Na kina kirefu! kitu gani huwa kinatumika kuseparate yale maji nguzo ijengwe?
Niliona mfano daraja la mto kilombero!

Kwa jibu lako la pili!
Kwahiyo kwa kifupi tuseme ile haikuwa expansio joint kama utakua uliona zile picha!( kama tulivyoaminishwa na hawa wakandarasi wetu)?
1.

kujenga nguzo au kitaalam TOWER/BEAM huhusisha mitambo maalum ambayo huingiza PIPE kubwa kwenye Maji, halafu Maji yanayobaki katikati ya pipe hunyonywa kutolewa nje, hapo ndipo base huchimbwa na nondo huingizwa na kusukwa then zege humwagwa na kuwa casted
Screenshot_20180422-175501.png
Screenshot_20180422-175422.png
Screenshot_20180422-175513.png
 
1.

kujenga nguzo au kitaalam TOWER/BEAM huhusisha mitambo maalum ambayo huingiza PIPE kubwa kwenye Maji, halafu Maji yanayobaki katikati ya pipe hunyonywa kutolewa nje, hapo ndipo base huchimbwa na nondo huingizwa na kusukwa then zege humwagwa na kuwa casted
View attachment 753603 View attachment 753604 View attachment 753605
Aisee asante Mkuu kwa elimu!
Ila naona la udsm unakwepa!
We jibu kitaalamu kwa ulivyoona zile picha ni KWELI au HAPANA ile expansion joint ?
 
Aisee asante Mkuu kwa elimu!
Ila naona la udsm unakwepa!
We jibu kitaalamu kwa ulivyoona zile picha ni KWELI au HAPANA ile expansion joint ?
sijafika site kucheck (udsm), professional haitaki kusema kitu ambacho hujaona; kwahiyo sitaweza kusema ndiyo au hapana hadi nione structure ya jengo ipoje, zile nyufa zili obey property ya Expansion joint? ambayo huwa kwenye maungio ambapo ni vertical au horizontal wala siyo zigzag au diagonal
 
maswali yangu!
1. kwanini wachina wanapewa tenda nyingi?
2. kwanini ma engineer Wa kichina ni bora kuriko Wa kwetu?
Aliyekwambia ni nani?
Tuna wahandisi wazuri sana tatizo ni kampuni zetu kutokupewa Kipaumbele na Serikali.
Kampuni nyingi za nje hasa Uchina pale wanapopata miradi serikali yao uwadhamini kila kitu.
Lakini pia wataalamu wetu wengi wanafanya kazi kwenye kampuni za kichina tatizo ni ujira mdogo na kukosa authority ya kufanya maamuzi.
Kampuni za nje zinasimamiwa na wahandisi wazawa katika Miradi mikubwa, vinginevyo thamani ya pesa insigelionekana.
Tunazungumzia ubora kampuni za Ujenzi nchini mafanikio yake yanaletwa na wasimamizi makini tulio nao.
 
Bro pamoja na hayo yote hapo huu makandarasi wa kitanzania tunakosea wapi na nini tufanye ili tuweze kushindana na Hawa watu?
Sera za nchi ziboreshwe serikali ifacilitate mitaji Kwa makampuni, pili menejiment za makampuni ziboreshwe na ziwe monitored siyo kampuni za mifukoni tu, tatu semina wenye kampuni wasichoke kutrain, NNE , wanasiasa wasiingilie taaluma, wenye kampuni wawe na mbinu za kuwa retain wafanyakazi wao ( kuwamiriki) wasikimbie Kwa kuwalipa vizuri n.k
 
Wa China ataiba ila atajenga, wa Tz ataiba na hakuna kitakachojengwa.
 
Back
Top Bottom