Uliza swali lolote kuhusu solar PV and solar pumps

cyber ghost

JF-Expert Member
May 8, 2015
239
158
Habari zenu wana jf
Leo nimeona nijaribu kujibu maswali yenu kuhusu maswala ya solar na vifaa vyake maana najua kuna ugumu kiasi fulani mtu anapotaka kufunga system ya solar nyumbani kwake tofauti na mtu atakae funga umeme wa tanesco ambao hauhitaji kufanya sizing hilo kinakuwa ni juu ya tanesco.
 
Kichwa cha habari tu ushaniacha! Solar pv na solar pumps ndio nini?
 
Habari zenu wana jf
Leo nimeona nijaribu kujibu maswali yenu kuhusu maswala ya solar na vifaa vyake maana najua kuna ugumu kiasi fulani mtu anapotaka kufunga system ya solar nyumbani kwake tofauti na mtu atakae funga umeme wa tanesco ambao hauhitaji kufanya sizing hilo kinakuwa ni juu ya tanesco.
Nataka kununua solar system kwa ajili ya nyumani kwangu...

Je nitawezaje kupata panes nzuri, ni kigezo gani nitatumia kujua solar panel original na feki?? je za nchi gani solar panel nzuri?

Ni vitu gan nahitaji nikitaka kufunga solar panel kwa ajili ya nyumbani?

Kwa uzoefu wako, je mfumo mzima unaweza kuwa shilingi ngapi?

Nitawezaje kukadiria mahitaji ya umeme wa nyumban kwangu ili nikanunue panel kulingana na mahitaji yangu?
 
Mkuu..... Ninataka kuchaji simu 50 kila siku. Ni vifaa gan vitatosha kwa matumizi?
 
Nataka kununua solar system kwa ajili ya nyumani kwangu...

Je nitawezaje kupata panes nzuri, ni kigezo gani nitatumia kujua solar panel original na feki?? je za nchi gani solar panel nzuri?

Ni vitu gan nahitaji nikitaka kufunga solar panel kwa ajili ya nyumbani?

Kwa uzoefu wako, je mfumo mzima unaweza kuwa shilingi ngapi?

Nitawezaje kukadiria mahitaji ya umeme wa nyumban kwangu ili nikanunue panel kulingana na mahitaji yangu?
Panels nzuri kama unapesa ya kutosha ni monocrystalline panels zilizotengenezwa ujerumani na chaguo la pili ni india
Ili kuweza kujua unahitaji panel ngapi nilazima uwe unajua power ya kila kifaa chako na muda wa matumizi utakayo tumia hicho kifaa chako hapo ndio utaweza kujua ufunge panel yenye ukubwa gani na betri yenye ukubwa gani
Pia utahitaji kujua PSH ya mahali ulipo ambayo ndio kitu cha msingi katika kujua utafunga solar panel yenye ukubwa gani.
Huwezi kubuni ukubwa wa system ila kama ulikuwa labda umeshawahi kaa kwenye nyumba yenye umeme then umejenga yako mahali hakuna umeme halafu ndio unaenda kuhamia huko unaweza tumia zile units ulizokua unatumia kwa siku kuweza kusize solar system kwenye nyumba yako
 
Nilikua natumia solar nyumbani, na wire in zilezile nilizosuka kwaajili ya umeme wa tanesco. Tangia mwezi may mwaka huu, umeme umefika kwetu na nnimeshavuta, sasa hii solar haina Nazi tens. Je naweza kufanyaje ili niweze kuitumia? Je kuna kifaa chochote naweza funga ili tanesco wakikata umeme nitumie solar automatic?
 
Ndio unaweza kutumia kifaa kinaitwa automatic change over switch kipo madukani kinauzwa ila kama utakuwa unaujuzi kidogo kwenye umeme unaweza tengeneza yakwako kwakutumia contactor moja tuu
 
Sina ujuzi wa masuala ya umeme, nahitaji, hicho kifaa cha kinachouzwa madukani, kwa kukadilia, kinaweza kuwa kati ya sh ngapi hadi sh ngapi?
 
Bei sina uhakika nayo sana maana mm sijawai kununua hicho kifaa maana najua kukitengeneza so wewe fika kwenye maduka ya vifaa vya umeme ulizia automatic change over switch
 
Mtoa mada habari ya saiz, nakupongeza kwa kujitolea kutoa hii elimu kwa leo stay blessed.
Nakufatilia kwa ukaribu sana ili nipate elimu kuhusu haya maswala ya solar.
 
Back
Top Bottom