uliza swali lolote kuhusu Electronics design na electronics kwa ujumla nikujibu!

1)Briefly explain the following terms;

.Transistor
.Diode

2)Why my smart phone become hot when I use it for long time??

Sent using iPhone x
 
Uliza swali lolote la electronics!
Kitambo sana sijakusikia humu...

Swali 1:
linahusu kucharge Lead acid battery
-ni Voltage kiasi gani na Current kiasi gani inayohitajika kuchaji lead acid battery yenye 12V, 7.2AH

Swali 2:
linahusu kucharge Li ion/Polymer battery
-ni Voltage kiasi gani na Current kiasi gani inayohitajika kuchaji Li ion/polymer battery yenye 3.7V, 2000mAH
 
Kilo Voltage Ampere

Ni kipimo cha wattage ya transformer.

Kva=Voltage x Current/1000

Kilo = ni kipimo katika maalfu

1kilo = 1000

Hivyo VA 1000 ni sawa na kusema 1KVA

Hivyo ukiona kipimo kipo katika K maana kipo katika maalfu.

1KVA = 1000 VA
 
Ktk transformer za tanesco. Huwa naona wameandika ...KVA. hyo KVA inamaanisha nn? (Najua kugoogle)

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba 200KVA sawa na wats ngap? Au hamna uhusiano hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitambo sana sijakusikia humu...

Swali 1:
linahusu kucharge Lead acid battery
-ni Voltage kiasi gani na Current kiasi gani inayohitajika kuchaji lead acid battery yenye 12V, 7.2AH

Swali 2:
linahusu kucharge Li ion/Polymer battery
-ni Voltage kiasi gani na Current kiasi gani inayohitajika kuchaji Li ion/polymer battery yenye 3.7V, 2000mAH

12v yenye 7.2ah
Chukua 7.2ah / 10h =

0.72ampere as charging current.

13.5v as charging voltage

2000mAH/3h =600mAH

Charging volage 5voltage
 
asante ndugu pia naitaji kujua tofauti kati ya KW na KVA

Sent using Jamii Forums mobile app

Kw = kva ( japo KW nisawa na mafuta yalio safishwa,KVA ni sawa na mafuta machafu).

Kupata KW lazma u calculate efficiency ya kifaa husika pamoja na energy loss (energy ambayo inapotea bila kufanya kazi)

Power factor ni muhimu kuicalculate kabla ya kupata KW hasa katika umeme wa AC
 
12v yenye 7.2ah
Chukua 7.2ah / 10h =

0.72ampere as charging current.

13.5v as charging voltage

2000mAH/3h =600mAH

Charging volage 5voltage

hiyo 13.5V na hiyo 5V zinapatikanaje? au ni fixed values kwa hizo battery?
 
Mkuu nami tataka unisaidie hapaa

Jinsi na namna ya uziunganisha IC mbili aina ya TDA2030 ili zitoe sauti kwa pamoja katika amplifier
Maana nimetengeneza amplifier kwa kutumia IC moja ya tda2030 imetoa sauti nzuri lakini output yake imetoa watt 15 tu na ndio maana nataka nifahamu namna ya kuziunganisha IC mbili ili output itoe hata watt 35 mkuu kama unayaweza haya mambo nisaidie
 
KUHUSU ELECTRONIC DEVICES: mobile signal booster naishi kwenye bonde kiasi kwamba mpaka sasa nipo baa mtaa wa tatu natuma hii txt ndio niende nyumbani asubuhi ndio nikute majibu ya MOBILE SIGNAL BOOSTER
 
Tumia IC lm386 Ku create hio signal booster ni rahisi sana mkuu
 
Hii iko bomba Sema unapoteaga sana. Naomba utuekeze Tofauti ya kuwa na matatizo kwa Crt pamoja na Ic proseser ya tv
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom