Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

mindset ya mzawa mweusi ni mbaya sana na imewaletea umaskini mkubwa sana,tatizo kila kitu hapa kinafanywa na serikali,elimu,afya,gharama za kuishi kama maji na umeme vyote vinafanywa na serikali,mzawa akizaa mtoto atapewa R400 sawa na Sh 80000 kwa mwezi mpaka mtoto atimize miaka 18,ssasa utakuta wazawa wanashindana kuzaa manake anajua akizaa 10 ana R4000 pamoja na free services
Mbona huko pazuri asee

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Nina bidhaa za asili za urembo vipi soko huko naweza Pata?
Wazulu wanapenda kuishi kitamaduni SA unauza na hasa hapo mabonneng unaweza kuomba eneo dogo ukawa unauza vitu vyako tatizo kwa mwanzoni utapata tabu kidogo ya soko na pia unatakiwa uende kipindi cha summer time kuanzia mwezi Nov na Dec ndio wageni wanakua wengi pia...ungekua na mwenyeji ungeweza kuwapelekea kwa kuwasambazia JHB CBD maana maduka ya vitu vya asili yapo mengi ila inatakiwa uangalie wanavyovaa wao usipeleke vitu vya asili ya Tanzania kule...
 
Sio rahisi kupata residency au working permit SA wengi wametapeliwa huko njia rahisi huwa unafungua kampuni SA harafu ukija Tanzania unakuja na hizo documents zako za kampuni wanakupa miaka miwili au mitatu inategemeana na ulivyowakuta ila SA hizo nyingi wanatoa fake harafu ukiamua kutoka au kuingia Oliver Tambo wanaifuta...
 
swali zuri sana!!nataka ujuwe kwamba maisha ya Botswana ni uchumi wa kati,tulisikia Tanzania imekuwa uchumi wa kati nafikiri bado sana kulinganisha na nchi kama Botswana,mama nitilie wa hapa anamiliki gari nzuri hata muuza genge naye ana gari yake amepaki pembeni,hiyo ikilinganisha na tanzania inatokana kwanza population halafu kuna mambo ya international financial stability pia kuna mambo kama ya international trade,,,yapo mengi lakini mambo ya small business kumiliki magari kwa hapa boswana ni jambo la kawaida sana
nasikia hawafiki milion 2.
 
Back
Top Bottom