Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

kwanza uwe na skill au trade,then uwe na mtaji kwa ajili ya kuanza maisha,unakuja una apply residence and working permit
Dreva,fundi............vipi wanapata shavu hapo na ukija na familia kuna ugumu?
 
Dreva,fundi............vipi wanapata shavu hapo na ukija na familia kuna ugumu?
hiyo trade nzuri,familia inabaki kwanza unatest mitambo imekaaje,manake wengi wanakuja wanashindwa inabidi tuwachangie nauli za kurudi
 
sina access ya kuingia google nisaidie full map format kutoka Bongo-Chad-Morocco-Europe.
mkuu fanya utaratibu hapo ulipo,ingia google au fanya utafiti,manake kama unashindwa vitu vidogo namna hii ina maana hata hiyo safari itakuwa ngumu
 
mkuu mimi ni mtu mzima kidogo hayo mambo weka pembeni nataka nisaidie wenye kuitaji taarifa,namba 26 sina uhusiano nayo kabisa mimi ni legitimate business man

Sawa mtu mzima, ila angalia heading ya uzi wako, ulisema swali lolote,......
unaweza kuta hiyo taarifa ina msaada fulani kwangu, anyway tunajuana watanzania ngoja watoto tuache kukusumbua businessman.
 
Soweto2006 mkuu Kama Nina cheti elimu ya ordinary diploma in hydrology and metereology pamoja na Cha bachelor engineer katika water resources na irrigation kutoka hapa Tanzania naweza kupata kazi Hapo Botswana au Namibia..maana dah hapa bongo wametunyima ajira kabisa
 
Nikiwa na 5M za kibongo naweza kuja kufanya biashara gan huko SA
Kuish Tz nmechoka na sina ramani mkuu
 
Soweto2006 mkuu Kama Nina cheti elimu ya ordinary diploma in hydrology and metereology pamoja na Cha bachelor engineer katika water resources na irrigation kutoka hapa Tanzania naweza kupata kazi Hapo Botswana au Namibia..maana dah hapa bongo wametunyima ajira kabisa
mkuu nataka ufahamu ya kwamba nchi hii haina mpango sana na vyeti vyako,mimi nimewahi kufanya kazi makampuni mbalimbali bila kuulizwa cheti au level of education,nataka ujuwe makampuni mengi hapa ni ya kaburu na hao watu ni watu wa kazi,hawana mpango na kujua level ya elimu yako,yeye anataka kujua can you do it???can you deliver???mambo ya vyeti ni Tanzania zaidi na ndio life style ya huko,nakushauri uwe na skill au trade hata vyeti unaweza kuacha hukio
 
Ok kwa mfano Nina fani ya plumbing, maintenance and installation ya vifaa vya kupima hali ya hewa, designing ya miradi ya maji,ujenzi kidogo...Kama sehemu ipo nitafutie Kaka nije huko ntakuja na nauli yangu ya kurudi pia Kama nikiona nimeshindwa
 
Soweto2006

Umekaa S. Africa miaka 25 unafikiria system ya huko na hapa Tanzania itatuchukua muda gani sisi kama watanzania kuamka hasa kwenye sector ya kilimo kuwa tukiamua kuwekeza tuwekeze kweli ?

Afrika inaongelewa kuwa tunaongoza kwa uvivu na watu wa kubweteka sana unafikiri nini kifanyike na unaona kitu gani hasa kwa Tanzania wapi turekebishe wapi tuanzie? Neno moja pia kuhusu uzalendo kabla yakufikiria kuondoka Tanzania na pia Taifa letu linazungumzwaje na S.Afrika yani mtanzania nini kinamtambulisha nje Tanzania?
 
Ok kwa mfano Nina fani ya plumbing, maintenance and installation ya vifaa vya kupima hali ya hewa, designing ya miradi ya maji,ujenzi kidogo...Kama sehemu ipo nitafutie Kaka nije huko ntakuja na nauli yangu ya kurudi pia Kama nikiona nimeshindwa
sina uhakika kama kuna mtu anaweza kukutafutia kazi nje ya nchi,cha kufanya kusanya taarifa za kutosha then jilipuwe mwenyewe ili yakikukuta usije laumu mtu,nakushauri tafuta hela ya kuanzia maisha jilipue mwenyewe kivyako vyako baada ya collection of information hayo ndiyo maisha ya baharia
 
Back
Top Bottom