Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Broker gan unayemtumia mwenye hivyo vyote uaewez trade Amazon,naddaq100,Tesla nk
Kikubwa angalia unahitaji ku trade Nini pia jaribu kucheki legitimate ya broker unayemuona mwenye financial instruments unazozita.
Remember few are more than many.

Nikishataja broker hapa lastly nitaonekana nampigia debe Mara Nina ib contract.
Ishu ambayo m is nahitaji ni kuwasaidia wengine waujue ukweli na hii Mambo,
You can trade like three trades a month and make a living of a year.
Trade responsibily
 
Kama una kitu chochote uuliza hapa hapa tutasaidiana pia utapata maoni ya wadau wengi kuliko Ile kupeana namba.
Mana lengo ni kuelimishana jamani,Kama najua kitu nitasema Kama sijui nitasema sijui. None knows all in any field.
Hii career ni Pana Sana ni Kama md ama engineering.
Mfano Kuna njia millions how to make 💰 trading but difficulty to find them.
Swali lako mwingine atajifunza pia.
Kumbuka ku dedicate at least 3 years studying day by night and at least one year to demo trading and craft your strategy.
It takes a few years to learn trading to produce a lifetime freedom and wealth.
But it takes 40years to work in 9/5 jobs where someone design your life to be broke.
Formal education can give you a living but self education will give you a fortune.
Ngoja nisiwe motivisheni spika.
Ila hakuna free waweza spend hiyo 5yrs na bado ukawa ukala za uso.
Everybody get a plan until he smashed on mouth
 
Kweli ndugu kuna watu wanatabia ya kuchallenge mtu lakini kwa mtu ambaye anaelewa ,kwenye forex industry you can't be right all the time, sio kwamba market isipofata analysis zako ndio kuwa huelewi hapana.

Mimi wakati nimeanza kujifunza forex miaka michache hapo nyuma nilikuwa ni mtu mwenye tamaa sana, na tamaa yangu ilichochewa sana na first deposite niliyo ifanya ilikuwa 120$ nilipandisha kwa muda wa wiki hadi ikafika 800$,

Kuanzia hapo nikawa sijipi nafasi yaani sipumziki sio usiku sio mchana nikutrade tu halafu lotsize nilizokuwa nikiingia nazo kwenye soko nilikuwa najipa pips 50 au 60 kuchoma acc.

Ile market crush iliotokea 2018 kwenye pair zenye yen mfano gj ule usiku nilitengeneza 3500$ kupitia Gj kwa lot ya 0.5

But all in all hazikudumu nilianza kuzipoteza siku baada ya siku, soko likianza kunifundisha discipline taratibu taratibu, ile confidence ya kuweka lotsize kubwa ikapotea, kiukweli nimejifunza mambo mengi sana upande wa nidhamu.

Imefika mahala ili nichome acc nimejiwekea gap la pips 500 au zaidi now hata market ikiniendea vibaya hasara inakuwa ndogo, kwa uchumi wa bongo ukiwa hata na 3000$ ukawa unafukuzia profit ya 15$ hadi 20$ hata market ikienda vibaya ukapoteza 50$ bado ni stahimilivu.
well said mkuu..,ukiwa na working strategy afu tamaa ukaweka pembeni huwezi kublow account kamwe..,
 
Kwa kuongezea tu unahitaji masaa 10,000 ya ku practise ili kua guru kwenye trading
Hii sio guarantee ndugu.kumbuka practice makes permanent otherwise if it's perfect practice sir.
Pia hii makitu ni simpo sema shida iko kichwani mwetu tu. Yaani waweza fanya Mambo mawili tu buy or sell when trend is uptrend or downtrend respectively
 
Kwa wanaohitaji eBook ya crypto ya kiswahili wanione namb hizi 0627975870 WhatsApp hakuna wizi kabisa ukituma pesa unatumiwa eBook
View attachment 1818803

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwa Nini una uza kitabu mkuu hujaweza kuyatumia hayo madini ukapata hela mpaka uanze kuuza.ina Mana unaamua kuwa muuzaji wa vitabu na kushawishi watu kuwa watapata pesa ya bure ama
 
Hivyo vitabu vinapatikana bure sehemu nyingi Sana mkuu.
Usiwaumize wa tz wenzako. A real trader take money out of market na sio kutoka kwa mifuko ya watu.
Yaani hayo makitu yamejaa mpaka muda wa kuyasoma yanakosa.
You've to decide unakalia wapi kwenye hili game whether are you dealing with forex, commodities,indices,metals,stocks, options,futures, crypto currency.
Na sio Leo unataka uwe bingwa wa daktari wa jicho,kesho sikio,juzi ngozi,keshokutwa misuli ya mifupa,
Wiki Jana ulijaribu kichwa,Leo magonjwa ya watt,kesho wiki magonjwa ya uzeeni,Mara mfumo wa upumuaji,Mara kidneys, Mara moyo,Mara mapafu,Mara uzazi,Mara magonjwa ya kiume,Mara ya kike,Mara neurosurgeon,Mara surgery ya kawaida ya kutoboa tumbo.
Yaani utahaha utajikuta una end up nowhere.
All fields you've to settle knowledge to root into your brain muscles and to grow like from mchicha like to mbuyu my friend.
Until the knowledge become intuition or part of your body. Or second nature to you.
 
Hata sirjeff Dennis alikua na uwezo wa kujifungia ndan na kutrade kimyakimya kwann alianzixh TMT na kuwa charge watu wakat alikua na pesa za kutoxha
#thinkbig

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Haya bana Ila hii industry ni industry pekee ambayo watu Wana humanity heart sana. Wafundishao ni wengi Sana kuliko wanao trade. Huyo uliyemtaja Hana hela na aliamua kuwachomoa watu hela kwa ugeni wao wa maarifa mkuu.
A real trader anatoa hela zake kwa newbie after training wa trade kwa hela zao wenyewe.
I never saw Jesse Livermore wrote a books hasahasa watu walimuandikia kitabu wakatumia mawazo yake kupiga hela.
Do you w.d Gann hakuwa trader akiuza vitabu tu.
Richard Dennis never wrote a book a man who borrowed 400$ from his grandpa and turned it into 200M$ within 12years.
 
Kwa nni akin elikanafx na Clinton wanaanzixh madaras ya online na kuwaomba watu walipe au vision2025 kwa nn watu wamelipia wakat akina Jeff wanapes za kutoxh bro stuka bas na quote zako

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Unaelewa kabisa kuwa mtu anayechukua millions or hundreds thousands of dollars hawezi kuja kukomaa kuwa anafundisha anatafuta Dola Mara 10,50,60,200, unalijua ilo.
Hao no kuwa soko limewaona mkuu.
Let time will tell mkuu.
 
Kama wale wahindi wapakistani, Bangladeshi, afaghanistan na wasauzi wanaojifanya kuwa wanameki hela kumbe wanataka hela ya training watu waingie mkenge.
Yaani mpaka demo inapewa Ile real account ili watu watamanishwe wapigwe hela.
Mana na manage account ndo za hao jamaa na huku Kuna firms zinakupa mtaji unafanya kazi unachukua faida yako akina ftmo.
Yaani hii industry imejaa wajanja mpaka waweza ichukua kumbe ni just mislead ya watu Fulani fulani.
Umeanza kutuletea testimonials Kama za wale jiunge vip Mara lifetime signals utadhani hamtakufa jamani Ila bana.
Haya mkuu lengo langu ni kuwapa watu ukweli Ins and out.
Na Wala sihitaji hata sh kumi ya mtu.
Hela Ipo sokoni ni ishu ni kuichukua.
Wengine wanatumia hela za watu for trading Mana za kwao ni zamoto.
So na wewe umeamua uwe Kama hao jamaa.haya bana Ila hayo mavitabu nilikuwa nayo Kama fuso nikadelete na hiyo ya Bitcoin niliipakua hata sijaisoma Mana sio target langu nikaweka kwa dustbin
 
Kila mtu anatafuta sehemu ya kupatia kipato kam we kwa SKU unatrade $5000 kuna wengn $10 xo kila mtu anatafuta pa kusav maisha yke so minaon usiidis San biashr yang sirjeff Dennis alisem anaetak kumdis fx trader aende kwake

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Poa bana kila la heri Ila watakiwa uwe balozi mzuri ishu sio nyepesi kama watu wanavyoambiwa Mana limbic brain is easy to win
 
Ndo Mana waongeaji ni wengi kwa hii industry Ila ni wachache Sana wanao feel Ile real feelings.
Kuna journalists, educators,brokers, account managers,.
Yaani imejaa ujanja ujanja mwingi.
Mtu anaposti kitu Kama hichi hapa chini kuwatamanisha watu kuwa pesa ni simpo so ukiingia mkenge unaambiwa hudhuria weekend course Dola 200.
Kuna watu waliotumia Kama 50k$ just kuisoma na mwishoni wanakuambia ni ugeni uliopelekea kupoteza pesa zao na hakuna la maana walilolipata. Ukijaa kwa Tamaa zako unapigwa vizuri sana.ntu anajitahidi anadai eti wakati wa korona alijifunza Sana akaaijua si aifanye sasa.
Kumbe anataka kuwatoa watu hela.
Sijaona surgeon analazimisha watu wajifunze wapasuaji eti una hela so anajitolea kuwapa watu ujuzi.
Na huku by nature human being ni selfish na egoistic.yaani anapenda Sana aonekane smart kuliko wote duniani afu naa huyo huyo ndio akuelekeze utoke.

400187600501_37214.jpg
 
sport-preview-7.jpg
sport-preview-7.jpg
this is iceberg illusion. Ila huko before hajafaikia hapo kupaona ni kazi sana.unakuta mtu amehaso for 20 yrs na constantly anaamka saa kumi asubuhi.
Ila tunapenda kuwa champion nobody likes the process
 
Habari zenu wanajamii forum!

Kama kichwa cha habari kilivyo nipo hapa kuisaidia umma Wa watanzania kuhusiana na biashara hizi ambazo zimeibuka ivi karibuni kwetu huku lakini ila huko nje ni biashara za muda mrefu sana tokea huko karne ya 18.

Sie tumezipata kutokana na ujio Wa simu janja ikiwa imeunganishwa na internet.

Watu wanajua kuwa kuna upigwaji kweli Upo kwa watu wengine kuwaambia wengine wao ni Guru wanawapiga pesa.
Kama tulivyoshuhudia huko kama miaka mitatu inapita ivi.

Ishu hii ni halali sema inatakiwa upate MTU sahihi sana akuelekeze ila siye mwenye kuweka Hela mbele.

Ukweli ni kuwa unaweza ukafanya kama kamari na unaweza ukaifanya kama biashara zingine tu.

Na uzuri Wa hii kuijua hakuna cha TRA,wateja,bosi,wala nani yaani hakuna kubembeleza mteja.

Pia kumbuka ni fani kama fani zingine zilivyo jamani mfano kuwa mfanyabiashara mkubwa ana uzoefu Wa kutosha na sio kuwa amelala na kuamka akajikuta hapo alipo.

Ni kama ilivyo sheria, engineering, Doctor of Medicine, mhasibu ama mwalimu.so hakuna ulelemama kuwa kuna pesa nyepesi kama wengi wanavyoinadi.

Binafsi nimejitoa kwa biashara hii hata kama itakuja kunilipa huko mbele kwa miaka 20 tokea sasa siogopi mana hakuna mafanikio cheap tunavyopenda binadamu.

Ila ni nzuri ukiijua unachofanya.

Biashara hii ni suala zima kuhusu psychology.

Pia haitakiwi ufanye live trades before ya demo trading na umeki faida kwa demo account kama mwaka mzima ndo uamue kuingia huko kwa live trades.

Wengi wanafundisha watu kwa kuwapotosha kuwa kuna pesa laini.

Hii fani sintoiacha mana najua hata wanangu nitawafundisha maarifa yake so yaweza kutokea kwao matunda.

Yaani unaipofanya tegemea miaka mitano ama kumi huko mbeleni kabisa usiwe na haraka na utoe mawazo ya Hela kichwani.
Usiwe kama students eti ni fani gani yenye kulipwa pesa nyingi.

Binafsi napenda niwe Nina interact na watu wenye passion nayo mana shuleni huwezi ukakaa mwenyewe. Pia unawafundisha wasio ijua kuna vitu unaimprove. Kwa wale walikuwa wanawaelekeza wenzao shuleni nadhani unajua unaletewa swali hulijui ila unashangaa unalijibu na unapata solutions fasta sana.
mkuu wanasema the problem is not the problem, the problem is your altitude to the problem
naomba kuuliza yafuatayo

1. kama market ipo kwenye uptrend na chukulia trendline umechora kwa kutumia H4 timeframe na market ipo uptrend(bullish market), sasa nitajuaje kama trend market ipo mwishoni kuisha na kuanza trend mpya downtrend?? na nitajuaje life time ya momentum hiyo itakayotokea??
2.how do you deal with retracement or correction phase?
3.tafsiri ya momentum katika fizikia inasema is the pruduct of mass and velocity, pia wanasema when either mass or velocity increases also momentum increases , na tafsri ya momentum kwenye forex wanasema is the product of TIME and PRICE yaani wanamanisha momentum is about price and time an increase in momentum happen when price increase very quickly in a short period of time sasa kwa maelezo hayo ni kwamba PRICE inapomove juu au chini kwa haraka sana (quikly) pasipo vikwazo vyovyote (yaani either una kuta kuna kandle moja kubwa sana wanita spike au candle za aina moja bullish au bearlish au mchanganyiko japo zinakuwa zinapanda au kushuka straight pasipo sideways move sasa hapa tunatengeneza point ya juu, high swing na point ya chini low swing , sasa kama ni bullish point ya juu wanaita supply zone na point ya chini demand zone. sasa tuangalie upande mwingine support na resistance wanasema resistance ni high swing zote na support ni low swing zote . Sasa swali linakuja je suppot level zote zinaqualify kuitwa demand zones ?????? na resistance levels zote zina qualify kuitwa supply zone???
4.je Momentum trading ni sawa na support and resistance trading???
5.how do you deal with reversal patterns such as wedges and contnuation patterns such as flags,traingles patterns?

KALIBUNI WAJUMBE
Pesa ipo kwenye MT4 au MT5 kuitoa ndo utajiri wako. utajiri upo kwenye vichwa vyetu.
 
Nimeona CFD nikajua ni "Computational Fluid Dynamics", kumbe ni mambo ya trading and the likes.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile ap

mkuu ipo hivi, A contract for difference (CFD) is a popular form of derivative trading. CFD trading enables you to speculate on the rising or falling prices of fast-moving global financial markets, such as forex, indices, commodities, shares and treasuries. na tafsri ya derivative ni kwamba una kitu lakini dhamani yake kupanda au kushuka kinategemea kitu kingine.. chukulia una kiwanja sasa dhamani ya kiwanja kupanda au kushuka inategemea ndani ya kwanja kuna structure gani mfano kuna gorofa, au bwawa la kisasa lenye samaki manake apo ukibomoa nyumba au bwawa likikauka na samaki wakafa basi dhamani ya kiwanja itaadhirika pia.
 
mkuu wanasema the problem is not the problem, the problem is your altitude to the problem
naomba kuuliza yafuatayo

1. kama market ipo kwenye uptrend na chukulia trendline umechora kwa kutumia H4 timeframe na market ipo uptrend(bullish market), sasa nitajuaje kama trend market ipo mwishoni kuisha na kuanza trend mpya downtrend?? na nitajuaje life time ya momentum hiyo itakayotokea??
2.how do you deal with retracement or correction phase?
3.tafsiri ya momentum katika fizikia inasema is the pruduct of mass and velocity, pia wanasema when either mass or velocity increases also momentum increases , na tafsri ya momentum kwenye forex wanasema is the product of TIME and PRICE yaani wanamanisha momentum is about price and time an increase in momentum happen when price increase very quickly in a short period of time sasa kwa maelezo hayo ni kwamba PRICE inapomove juu au chini kwa haraka sana (quikly) pasipo vikwazo vyovyote (yaani either una kuta kuna kandle moja kubwa sana wanita spike au candle za aina moja bullish au bearlish au mchanganyiko japo zinakuwa zinapanda au kushuka straight pasipo sideways move sasa hapa tunatengeneza point ya juu, high swing na point ya chini low swing , sasa kama ni bullish point ya juu wanaita supply zone na point ya chini demand zone. sasa tuangalie upande mwingine support na resistance wanasema resistance ni high swing zote na support ni low swing zote . Sasa swali linakuja je suppot level zote zinaqualify kuitwa demand zones ?????? na resistance levels zote zina qualify kuitwa supply zone???
4.je Momentum trading ni sawa na support and resistance trading???
5.how do you deal with reversal patterns such as wedges and contnuation patterns such as flags,traingles patterns?

KALIBUNI WAJUMBE
Pesa ipo kwenye MT4 au MT5 kuitoa ndo utajiri wako. utajiri upo kwenye vichwa vyetu.

mkuu wanasema the problem is not the problem, the problem is your altitude to the problem
naomba kuuliza yafuatayo

1. kama market ipo kwenye uptrend na chukulia trendline umechora kwa kutumia H4 timeframe na market ipo uptrend(bullish market), sasa nitajuaje kama trend market ipo mwishoni kuisha na kuanza trend mpya downtrend?? na nitajuaje life time ya momentum hiyo itakayotokea??
2.how do you deal with retracement or correction phase?
3.tafsiri ya momentum katika fizikia inasema is the pruduct of mass and velocity, pia wanasema when either mass or velocity increases also momentum increases , na tafsri ya momentum kwenye forex wanasema is the product of TIME and PRICE yaani wanamanisha momentum is about price and time an increase in momentum happen when price increase very quickly in a short period of time sasa kwa maelezo hayo ni kwamba PRICE inapomove juu au chini kwa haraka sana (quikly) pasipo vikwazo vyovyote (yaani either una kuta kuna kandle moja kubwa sana wanita spike au candle za aina moja bullish au bearlish au mchanganyiko japo zinakuwa zinapanda au kushuka straight pasipo sideways move sasa hapa tunatengeneza point ya juu, high swing na point ya chini low swing , sasa kama ni bullish point ya juu wanaita supply zone na point ya chini demand zone. sasa tuangalie upande mwingine support na resistance wanasema resistance ni high swing zote na support ni low swing zote . Sasa swali linakuja je suppot level zote zinaqualify kuitwa demand zones ?????? na resistance levels zote zina qualify kuitwa supply zone???
4.je Momentum trading ni sawa na support and resistance trading???
5.how do you deal with reversal patterns such as wedges and contnuation patterns such as flags,traingles patterns?

KALIBUNI WAJUMBE
Pesa ipo kwenye MT4 au MT5 kuitoa ndo utajiri wako. utajiri upo kwenye vichwa vyetu.
Umeuliza maswali ambayo utayapatia majibu through mindset change na through experienced gained.
Kumbuka experience can not be transferred but acquired. Pia trading unajifunza keep it up unakaribia.
You can't be taught but given just guidance.yani inatakiwa unaenda unapigwa chini unanyanyuka Tena unarudi mpaka utakuja kugundua kitu.
In trading we learn from mistakes and failures.
That's our two greatest teachers.
May I can't answer the way u want Ila ndo ukweli huo.
 
Anza kujifunza trading psychology itakusaidia kujibu maswali yako.hili gemu ni gumu. Kuna muda utafika utajijibu maswali hayo mkuu na utanishukuru.
Remember success cannot be bought or transferred but through what
 
sasa nitajuaje kama trend market ipo mwishoni kuisha na kuanza trend mpya downtrend?? na nitajuaje life time ya momentum hiyo itakayotokea??
Fanya monitoring ya currency index
1624385484163.png

How
Lazima uwe na Tool kama hii pichani.
  • Hapo namonitor individual currency: AUD, USD, EUR, CAD, NZD, CHF, JPY
  • Chukulia GBP imeanza Uptrend cycle na ikiwa leo ni siku yake ya kwanza , Angalia neno 1 PFL ( Peak Formation Low).

Complete 28 Currency Pair Taken @ 21:15HR
1624385705540.png

how do you deal with retracement or correction phase?
Tumia Higher time frame Daily/ Weekly - Hivyo ukiwa kwenye lower Timeframe below H1 utatambua wazi kuwa hii ni Retracement/ Correction
forex wanasema is the product of TIME and PRICE yaani wanamanisha momentum is about price and time an increase in momentum happen when price increase very quickly in a short period of time sasa kwa maelezo hayo ni kwamba PRICE inapomove juu au chini kwa haraka
Huu ni uongo umeutoa wapi?.

Sababu price Change haipimwi kwa kutumia muda, Price hupimwa kwa kutumia Volume/Ticks/ Pips etl Time has no effect on Price change. Kuna factors zinazopelekea price kubadilika kwa haraka ila haihusiani na Time hata kidogo kama ulivyo eleza hapo juu.
je Momentum trading ni sawa na support and resistance trading???
Unachanganya habari.
5.how do you deal with reversal patterns such as wedges and contnuation patterns such as flags,traingles patterns?
Duu, Bado una safari ndefu sana.
 
Back
Top Bottom