Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,438
- 18,324
Nimekusoma neno kwa neno, na kukuelewa, Pole sana, Kiufupi bado una safari ndefu kimtazomo.Hii Haina uhakika mkuu,Mana mtu hawezi piga kelele kiasi icho. Huwezi mlazimishia mtu kuwa aje umpe njia ya kupata hela.
Pia real legitimate broker huwa hawana leverage kubwa.
So huwazi hapo mtu Ana hela afu anataka hela Tena.
Hizo testimonial zinatengenezwa elewa.
I don't trust easily kiivyo.
Pia Nina ka plan kangu mwenyewe. Na hiyo unayonipa top five prop firms nilikuwa nayo sema hizo fee hapo ndo njia yao ya kumeki hela.
Mfano hapo ukizama unaambiwa Kuna gharama.
Kama mganga wa jadi anakuomba hela ili akupe utajiri so why asikupe atakata hukohuko.
Ama umeshinda zawadi ya 100M tuma 50k Kama ada ya kukutumia hela so wakate huko huko kwenye 100M.
Hata wale jamaa wa aliyekiona kiberiti Cha njiti nimewaona tokea nikiwa msingi.
Wanakupa ya kujaribisha ukipata unaambiwa kuwa onyesha Kama hii upewe iyo. Nilionyesha akataka kuishika nikasema mbona huyo hapo akakuonyesha tu ukampatia.
Mara mtu ameokota gold kwa ajali afu akaambiwa kuwa akiipeleka kwa wahusika atapewa 200M Ila yeye Ana haraka Ana mgonjwa anataka 100k.
So unaona Kuna uhalali hapo
Kila lakheri.