Uliza / sema chochote kuhusu Nokia(symbian s60 v5)

erickmalz

Senior Member
May 27, 2011
145
11
khabar zenu wakuu, karbuni sana,jiskie waz kuuliza chochote tu au kuomba ushaur au kuhusu softwr za simu hzow
 
they arent good at all yani ni mbaya hata amna mtu ambaye anajua kuhusu mobile phones akaenda kununua tena any Series 60 fro Nokia na ndiyo maana hata SE and Motorola wakaamia Android by Google kuachana na uzamani wa Symbian ambao hata Nokia wenyewe wamewakimbia caz wako expensive sana na outdated.
yaan upo sawa kabisa mkuu,lack of apps,slow,buggy yan bora 3rd edition!
 
khabar zenu wakuu, karbuni sana,jiskie waz kuuliza chochote tu au kuomba ushaur au kuhusu softwr za simu hzow

Kwa kweli haziko stable.
Ukijaribu ku-run applications nyingi kwa pamoja, zinauwezekano mkubwa wa ku-freeze.
Simu za android ziko stable zaidi, lakini bei zake naona ni kubwa zaidi vilevile
 
thanks for this an aooprtunity
Natumia nokia n97
please help me with this problem
"kila wakati napojaribu ku charge simu yangu inacharge kidogo kisha in stop na kuandika unplug charger to save charge then showing red alert not charging
nashindwa kijua tatizo ni nini hasa
please i need your help for this
 
thanks for this an aooprtunity Natumia nokia n97 please help me with this problem"kila wakati napojaribu ku charge simu yangu inacharge kidogo kisha in stop na kuandika unplug charger to save charge then showing red alert not chargingnashindwa kijua tatizo ni nini hasa please i need your help for this
Unistall any battery saver application installed if any, then soft reset.
 
3rd edition is still the best!!! hizo nyingine zimezidi kila mara updates tuuuu!! nokia game over sooon!!!
 
Mkuu! Natumia Nokia N95 (sio 8GB) Kuna program inasomeka Barcode (Kama sijakosea) kazi ya hii prgm na matumizi yake ni nini hasa? Pia kuna prgm inaitwa Lifeblog na nyingine inasomeka Switch nazo naomba kujua matumizi yake. Natanguliza shukurani kwako.
 
Hiyo barcode inatumika kama vile vifaa vya supermarket baada ya kkununua bidhaa kuna kifaa flani kinapitishwa kwenye kilebo flani kwenye bidhaa husika
 
Hiyo barcode inatumika kama vile vifaa vya supermarket baada ya kkununua bidhaa kuna kifaa flani kinapitishwa kwenye kilebo flani kwenye bidhaa husika
.......endelea jombi inamaana hiyo barcode ya kwenye simu inasensi ktka vitu gani?au mpaka......?
 
they arent good at all yani ni mbaya hata amna mtu ambaye anajua kuhusu mobile phones akaenda kununua tena any Series 60 fro Nokia na ndiyo maana hata SE and Motorola wakaamia Android by Google kuachana na uzamani wa Symbian ambao hata Nokia wenyewe wamewakimbia caz wako expensive sana na outdated.
Khasante kwa mchango wako mkuu,we ungeshaur raia watumie os gani na kwa nini?
 
Kwa kweli haziko stable.Ukijaribu ku-run applications nyingi kwa pamoja, zinauwezekano mkubwa wa ku-freeze.Simu za android ziko stable zaidi, lakini bei zake naona ni kubwa zaidi vilevile
Uzur wa symbian os ni bei tu,na huwa ina freeze kwa sababu hazina ram kubwa sana,most of v3 and v5 ni 128MB of RAM tena ikiwaka inakuachia around 70Mb of free memry kwa v5
 
thanks for this an aooprtunity Natumia nokia n97 please help me with this problem"kila wakati napojaribu ku charge simu yangu inacharge kidogo kisha in stop na kuandika unplug charger to save charge then showing red alert not chargingnashindwa kijua tatizo ni nini hasa please i need your help for this
Mara nyingi tatizo huwa ni either charger au bettry,i advic u 2 change bettry tatzo likibak change na charger then utoe report. Pole sana
 
Tatizo la smart phones ni betri hazikai nina Huawei Android(Ideos)inabidi kila siku niicharge kuna mwenzagu ameniambia natakiwa niwe na betri mbili ,imebidi ninunue kitochi a.k.a mulika mwizi charge inakaa siku saba,ila kwa Apps ni kiboko
 
Mkuu! Natumia Nokia N95 (sio 8GB) Kuna program inasomeka Barcode (Kama sijakosea) kazi ya hii prgm na matumizi yake ni nini hasa? Pia kuna prgm inaitwa Lifeblog na nyingine inasomeka Switch nazo naomba kujua matumizi yake. Natanguliza shukurani kwako.
Kama shaona kwenye supermaket nyng kuna kifaa huwa wanapitsha kwenye bidhaa ulonunua thn chenyewe kinatoa informatn kuhusu hyo bidhaa including price,hyo quick mark barcode reader hufanya kaz kama ya hyo kifaa,bt b4 kutumia lazma ujaze hzo information.Hyo switch ni applcatn inayotumika ku transfr files from phone tu phone by bluetooth.Kama ushawai tumia i-sms,thn hyo life blog ni k2 kama hcho,hutunza kumbukumbu za msg zote kwa mpanglio and good thing abt it unaweza ukatuma msg kama picha(kwa bluetooth)
 
Back
Top Bottom