Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

Wakuu !!!!majibu ya hili swali pls
Kwanza kabisa unatakiwa ujue unataka kufuga ktk muundo gani. Kama niwa klufingia ndani au kuchunga. kiuhakika kwa kadiri ya uelewa wangu mdogo ningalishauri uanze na shamba la ukubwa wa heka 20 na zaidi, ujue mbuzi wanazaa mara 2 kwa mwaka sasa ukiwa na majike 40 na madume 10 ktk hao mbuzi 50 ujuwe uzaaji wao kama wana malisho bora na tiba sawasawa lazima waongezeke kwa haraka.
 
Nataka kuanzisha bustani ya miti ya matunda mchanganyiko! Yaani napanda miparachichi, mifenesi, michungwa, mipapai na mipera!
Je mchanganyiko huo hauwezi kuleta shida katika ustswi wa mitunda hiyo??
 
Kumnenepesha mbuzi inachukua wastani wa muda gani? Yaani tokea uanze kumuhudumia hadi unapomsulubu?
 
Kitabu hiki kinaelezea kila kitu kuhusu malisho na unenepeshaji wa ng'ombe na mbuzi.Ni softcopy,bei 5000.Simu:0756625286.
IMG-20220507-WA0001.jpg
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom