Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

Hata ukitaka ushauri kuhusu wiring ndani ya nyumba uliza...km kuna emergence fundi yuko mbali...au unataka ushauri uliza
Mkuu laptop yangu ni dell inspration 5100, hua nacheza pes kwa pc yangu huku nmetoA betr, inaleta effct gan, au ushaur wako ni up
 
Pc yangu Dell latitude inawaka kwa sekunde kadhaa,taa za kuwaka zinaonesha imewaka
Display haionesh chochote halafu inajizima gafla yenyewe
Je tatizo hapo ni nini?????
 
Hilo neno linamaanisha nini wakuu, linatokea kwenye laptop yangu na I nashindwa kuendelea kuwaka
tapatalk_1538116218340.jpeg
 
Kuna pc ,charger yake ilipoteaa ikipita mda kidogo kuipata nyingine kwani zilikuwaa hazipatikani kabisa apa ,
Kwaiyo niakaagiza nje nikaipata baada ya mda mrefu kidogo kupita ..
Kwaiyo mda huo wote Ilikuwa pc haitumiki..
Lakini baada ya kuipata na kujarbu kuitumia ikawa haiwaki kabisa wakati charger iko poa tu
 
Mie uwa sifanyi for business nasaidia tu hardware hasa laptop ni ngumu mno...BT ukiwa na goli zuri inalipa...nimeivest kwenye photocopy+umeme+ uvuvi



unaposema umeme na uvuvi unamaana gani mkuu? kama sijakupata vizuri hapo tupeane uzoefu kudogo
 
Matatizo ya computer yamejigawa kwenye makundi mengi...ilo lako ni tatizo la power...ili kusolve lazima upime vifaa kuanzia chaja,transistor n.k utagundua tatizo km una idea na umeme tumia AVO metre utajua tatizo ni ishu ndogo tu hiyo



mkuu naomba unisaidie kueleza sifa za AVO meter na vipimo inavyopima kwakweli ninashida sana ya multmeter lakini sijawahipata multimeter iliyowahi timiza kiu yangu zote ninazo nunua ni fake.
 
Back
Top Bottom