Kabla ya kununua eneo lolote lazina ufanye tafiti kama eneo liko na Conflict Of Interest...Kama eneo limepimwa unaweza fanya Tittle Search kwa Msajii, kama halijapimwa unaweza fanya tafiti kwa kuwaulizia watu wanaolifahamu eneo hilo pia kuenda Halmashauri kujua Matumizi ya Eneo hilo...Ni hatua zipi inabidi kuzifuata kabla ya kununua eneo ?
Swali zuri hili mkuu angetupa jibu hili hata mimi ningefaidika kwani leo hii ndio wamekuja pima.Naweza kuchukua muda gani toka kupimiwa ardhi mpaka kupata hati yangu
Mkuu, Mpimaji Ardhi (land Surveyor) ataipima Ardhi yako na Ataandaa mchoro ambao ataupeleka Wizara ya Ardhi ukapitishwe.Naweza kuchukua muda gani toka kupimiwa ardhi mpaka kupata hati yangu
Gharama ya kupima viwanja inategemeana kama unapima kiwanja peke yako au viwanja vingi..Pia kama eneo limeshaandaliwa matumizi yake...Kupima kiwanja kimajo huwa ni ghali na inaweza fika mpaka 2m, lakini vikiwa vingini bei inaweza kuwa ndogo mpaka laki tau na nusu kwa plot.Pia eneo likiwa tayari limeshaandaliwa matumizi gharama inakuwa chini.Na gharama za upimaji wa viwanja ukoje. Na unapitia steji (Stages) gani? Tujuzane
Mkuu miezi 3 ni Mingi sanaHuu mchakato unaweza kuchukua week moja mpaka miezi mitatu..
Watu wa Ardhi wanauzi sana miezi 3 kupata hati ni muda mrefu sanaSwali zuri hili mkuu angetupa jibu hili hata mimi ningefaidika kwani leo hii ndio wamekuja pima.
Mkuu kumiliki Ardhi kwa hati ni muhimu sana, hii inatokana na faida kuwa nyingi kuliko hasara..Kumiliki Ardhi kwa Hati inafaida zifuatazoKumiliki ardhi kwa kutumia hati ni kujitia kitanzani,kwanza utapangiwa miaka ya kumiliki tofauti na asiye na hati ambaye humiliki milele
Ukimiliki ardhi kwa hati utalipishwa kodi ya ardhi wakati wale wasio na hati wanakula bata tu bila kulipa kodi
Ukimiliki ardhi kwa hati unawaingiza wanasiasa katika maisha yako kwa maana ya kwamba rais anaweza kuifuta muda wowote hati miliki yako
Ukimiliki ardhi kwa hati utawekewa masharti ya ujenzi ndani ya miaka mitatu,usipofanya wanakufutia hati,tofauti na wasio na hati wao hawana masharti
Ukiwa na hati ni rahisi wana usalama kukupekua kupitia ofisi za ardhi wajue una Viwanja au mashamba mangapi tofauti na wasio na hati
UNA MAONI GANI mtoa mada juu ya hayo?
Uwezekano upo mkuu kama serikali ikija kutaka kufanya maendeleo yake, sema huwa kunafanyika upembuzi yakinifu kabla ya kunyang'anya..Na je, izi ardhi zinazovamiwa na wananchi maeneo mbali mbali na kujimilikisha, kuna uwezekano wa kuja kunyang'anywa na serikali baadae?
Mkuu unamaanisha nini unaposema kama akijipanga vizuri?Mkuu ukijipanga vizuri hata Week Mbili unaweza pata hati..
Asee 2M ni gharama kubwa mno kwa sisi masikini sidhan kama tutaweza kupima ardhi zetuGharama ya kupima viwanja inategemeana kama unapima kiwanja peke yako au viwanja vingi..Pia kama eneo limeshaandaliwa matumizi yake...Kupima kiwanja kimajo huwa ni ghali na inaweza fika mpaka 2m, lakini vikiwa vingini bei inaweza kuwa ndogo mpaka laki tau na nusu kwa plot.Pia eneo likiwa tayari limeshaandaliwa matumizi gharama inakuwa chini.