dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,635
- 2,496
- Thread starter
- #221
Usomaji unategea zaidi na uwezo wa msomajiNataka nichukue law hapo vipo mziki wake ?
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Usomaji unategea zaidi na uwezo wa msomajiNataka nichukue law hapo vipo mziki wake ?
Huyu inapaswa apate maana anasifa stahiki.Kuna rafiki yangu kila akiomba course ya foundation ana kosa na vigezo anavyo ana D S S advance?
OUT hakuna ceftificate ya sheriamie nataka soma cert ya sheria sifa na vigezo ni vipi pia ada ni kiasi gani?
Nashukuru mzee nataka mwaka huu nianze hapo
Ni blended modeBsc Nutrition and Dietics ni executive, pure distance au blended mode?
Nimesoma general agriculture ninaweza kuapply kwa sasa na kama nikiapply nategemea lini kupata matokeo na kuanzamasomo
Hii mwenyewe nimeipendaHabari kuna mwanafunzi waa open humu anayechukua ile bachelor ya nutrition and dietetics anipe mauzoefu, i admire it ?
Mkuu ulipiga nini paleInatakiwa Upate GPA ya 3.0 Wanapokea Vyuo vyote asikudanganye mtu Mimi nilisoma Open
Vp una mpango wa kupiga hii Bsc.NFD?Hii mwenyewe nimeipenda
Ndiyo mkuuVp una mpango wa kupiga hii Bsc.NFD?
Lini mkuu?Ndiyo mkuu
Second round yalitoka kitambo bado third roundOpen wametoa majina Second round?
Unaweza kuombaNimesoma general agriculture ninaweza kuapply kwa sasa na kama nikiapply nategemea lini kupata matokeo na kuanzamasomo
Kwahiyo nikiomba sasa nategemea kupata matokeo lini ili niwe na uhakika kabisa wa kupata au la
Niko kwenye mpango wa kuapplyLini mkuu?
Poa tangulia mkuu nami ntakuja siku za mbele kidogo panapomajaaliwaNiko kwenye mpango wa kuapply
PoaPoa tangulia mkuu nami ntakuja siku za mbele kidogo panapomajaaliwa
Hivi ukiapply sasa matokeo yana weza kutoka liniPoa tangulia mkuu nami ntakuja siku za mbele kidogo panapomajaaliwa
Kwahiyo hao wa third round wataingia chuo January au November kama kawaida?Second round yalitoka kitambo bado third round
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app