Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Udahili unaanza lini?

Je unaweza kudahiliwa kwa kusoma program 2 tofauti kwa wakati mmoja? Mfano kudahiliwa kwa degree program ya uchumi na PhD program ya rasilimali watu kwa mwaka 2020/2021

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udahili unaanza lini?

Je unaweza kudahiliwa kwa kusoma program 2 tofauti kwa wakati mmoja? Mfano kudahiliwa kwa degree program ya uchumi na PhD program ya rasilimali watu kwa mwaka 2020/2021

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadahili unaendelea kuna intake nne kwa mwaka.
October intake
January Intake
April Intake
July intake
Kusoma programme Mbili kwa wakati mmoja hairuhusiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa majibu mazuri

Swali la nyingoza: Je ninaweza kuhama location (vituo vya mitihani, usajili n.k)katika kipindi cha kusoma program nzima? Mfano nilipoanza mwaka wa kwanza nikawa ninaishi Pwani , mwaka wa pili nikahamia Kilimanjaro na mwaka wa tatu nikahamia Mtwara

Au nikihama nitalazimika kufanya mitihani na huduma nyingine za chuo nitazipata pale pale nilipojisajilia awali?
Unadahili unaendelea kuna intake nne kwa mwaka.
October intake
January Intake
April Intake
July intake
Kusoma programme Mbili kwa wakati mmoja hairuhusiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mc cane, Ukihama haina tatizo Lolote chuo ni kimoja ila tu kuna vituo kila mkoa na baadhi ya wilaya katika kusogeza huduma kwa wanafunzi maeneo waliko.

Unaweza kupata huduma kituo chochote utakachokua karibu wakati ukihitaji huduma yoyote ya chuo.

Kikubwa unapaswa kuwa na kitambulisho chako na Kama hujapata bado kitambulisho uwe na utambulisho kutoka kituo ulichokuwa awali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado usajili haujaanza ukianza mtatangaziwa unaanza lini na unaisha lini.

Sent using Jamii Forums mobile app


Habari Za kazi kiongozi
Mtu aliyesoma certificate ya marketing management anaweza kusoma diploma ya business administration?

Vyuo vya full time wanasema kuwa hawezi mpaka asome diploma then Bachela ndio ageuze na kwa huku alipo hakuna chuo cha diploma ya marketing management.

Maana nimeangalia prospectus ya OUT hakuna marketing. Na kama inakubalika je kama alifanya maombi ya kuomba ya kuomba certificate ya kozi ya library anaweza kuruhusiwa kuyakanseli maombi ya certificate ya library akaendelea na diploma ya business administration kama akikubaliwa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayo20, Ndio anaweza kusoma business, inategemea na pass zake pia za "O"level zilikuaje.

Njoo PM unipe index number yake niwape wahusika waangalie status ya application yake ikoje nikupe Majibu yaliyokamilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom