Uliza chochote hapa kuhusu vingamuzi au dishi

hata mimi naomb kujua kama naweza kupata cheno za ziada kwenye location ya zuku hata kwa kutumia media com????
 
Bwana Ibramadish nataka kuongeza ku band ya pili kwenye dish langu la azam naomba unisaidie jins ya kupata ses5,eutelsat16 na amos5

Hiyo ses huna haja ya ku nyingine balamce hiyo ku vzr utaipata hapo hapo kwa azam. na amos5 na 16e zipo jiran jiran kwa msaada zaidi mtafute fundi akusaidie kuweka ku nyingine
 
Mtalaamu naomba kujua hili kama ulishawah jaribu. Dsh la azam na receiver ya mediacom (fta) naweza kupata tbc nikigeuza uelekeo wa East na kutumia intelsat 96? Maana kwa uelekeo wa west napata chanelz 43 ila hakuna ya kiswahili hata moja.[/mkuu kwanza cha kufahamu ni kuwa si kugeuza dish tu bali huko unakoligeuzia unatafuta sattelite ipi na ina nini. Mfano unaposema kuwa hapo west unapata chanel 43 siwezi kujua umetega dish lako ktk sat ipi.
East hutapata tbc1 kwa ku au kwa dish la azam
 
habari.. mtaalam naomba kufahamu. king'amuzi cha medicom na dish lake. vijana walirestore wakafuta channel zote naomba kuelekezwa jinsi ya kuzipata tena..
 
Hiyo ses huna haja ya ku nyingine balamce hiyo ku vzr utaipata hapo hapo kwa azam. na amos5 na 16e zipo jiran jiran kwa msaada zaidi mtafute fundi akusaidie kuweka ku nyingine

Nashkuru kwa msaada sasa km ntaweza kupata frequency walau za kuanzia za hizo satellite na maelezo ya kuweka katka satellite kama LNB frequency,Diseqc,LNB power na switch port..dish naweza kubalance mwenyewe walau kwa kiwango hicho
 
Naomba unisaidie jins ya kuinstall hili dish la zuku, nimenunua wiki iliyopita mpaka leo hakuna mafanikio, nimetafuta fundi nimekosa, wakala alieniuzia kasema hanifungulii akaunti mpaka dish lisetiwe yaani niipate zuku zone. Msaada tafadhali.

upo mkoa gani nkupie hyo kazi.
 
jaman mm nina king'amuzi cha azam na dish lake ila nikiongrza satelite na frequence 11192h3210 nikiwa na lengo ya kuzipata chanel za rodrigues il nichek epl nazipata rodrigues1 and 2 ila 2 hazionyesh chochote kile na 1 pia je nakisea wap naomba msaada plz jaman
 
shukrani kwa aliyeanzisha uzi huu.hapa naona wengi wataelimika;mchango wangu kama fundi utakuwa kwa upande wa wapenda soka hasa la uingereza.

kama unahitaji kupata chanel zenye kuonyesha epl live na ziwe fta kuna vitu vya kuwa navyo,mfano decoda yenye uwezo wa kuedit biss key na hizi decoda bei zake huanzia laki1 na kuendelea.kwa satelite ya eutelsat16 chanel inayoonyesha epl inaitwa RDV hii ni ya senegal.pia kuna chanel 2 za togo siku za jumamosi huwa wanaonyesha mechi za epl.

hizi hazihitaji bisskey.upande wa arab sat 20 kuna irib varzesh na tv3 ,hizi zinarusha mechi zooote kubwa epl, uefa nk .ila kama receiver yako haina bisskey wakati wa mechi zinajifunga.

nyingine ni astra28 hapa sasa ndio mwisho wa matatizo maana epl inarushwa na tv3 na joy tv inarusha ligi ya hispania nk.hapa napo lazima receiver yako iwe na biss.

Hizi chanel zote nazipata nyumbani kwangu na si za kulipia ni fta.ukihitaji msaada namna ya kuzipata uliza tu nitakusaidia maana tupo hapa ili kushare ujuzi.nawasilisha

Kaka unatumia king'amuzi gan.... Mi natumia dstv bt silipii vifurushi vyenye channel za epl.... Na natak nione ligi
 
Mkuu ibramadishi nina king'amuzi cha DSTV. Channel zote zina sauti. TBC peke yake haina sauti kabisa. Nimeongeza mpaka mwisho hamna kitu.Nifanyeje ipate sauti.
 
Last edited by a moderator:
Wajameni,nataka kufungua Azam, nimeambiwa kuwa naweza kupata channels za bure nyingi kama vile Emmanuel TV, je ni kweli? Nimeambiwa kuwa hata kama nitapata Emmanuel TV na nyingine za bure, ikiwa sitalipia ada ya mwezi hata hizo za bure zinafungwa pia. Je ni kweli?
 
Wadau ulizeni chochote kuhusu ving'amuzi viwe azam,continatal'statimes.zuku nk

Mkuu, ahsante kwa kutujali. Naomba kujua km naweza pata channel za mpira kwenye king'amuzi changu cha Eurostar ES-10, H.264 MPEG-4/AVC. Ahsante!
 
mkuu mi ninatumia zuku nimemuita mtaalam amechakachua nazipata za bure ikiwamo tv afrika swahili na ibn tv na nyingine nyingi za afrika magharibi yaani kifaransa na kireno. je kwa muelekeo huu ziwezi kupata chanel nyingine za kihindi?
 
shukrani kwa aliyeanzisha uzi huu.hapa naona wengi wataelimika;mchango wangu kama fundi utakuwa kwa upande wa wapenda soka hasa la uingereza.

kama unahitaji kupata chanel zenye kuonyesha epl live na ziwe fta kuna vitu vya kuwa navyo,mfano decoda yenye uwezo wa kuedit biss key na hizi decoda bei zake huanzia laki1 na kuendelea.kwa satelite ya eutelsat16 chanel inayoonyesha epl inaitwa RDV hii ni ya senegal.pia kuna chanel 2 za togo siku za jumamosi huwa wanaonyesha mechi za epl.

hizi hazihitaji bisskey.upande wa arab sat 20 kuna irib varzesh na tv3 ,hizi zinarusha mechi zooote kubwa epl, uefa nk .ila kama receiver yako haina bisskey wakati wa mechi zinajifunga.

nyingine ni astra28 hapa sasa ndio mwisho wa matatizo maana epl inarushwa na tv3 na joy tv inarusha ligi ya hispania nk.hapa napo lazima receiver yako iwe na biss.

Hizi chanel zote nazipata nyumbani kwangu na si za kulipia ni fta.ukihitaji msaada namna ya kuzipata uliza tu nitakusaidia maana tupo hapa ili kushare ujuzi.nawasilisha

Naomba unisaidie receiver ni aina gani na pia dish la futi tatu linaweza kifanya kazi? Je uelekeo ni upi magharibi au mashariki?
 
Naomba unisaidie receiver ni aina gani na pia dish la futi tatu linaweza kifanya kazi? Je uelekeo ni upi magharibi au mashariki?

Kwa tv3 dish la ft3 unaweza ila kwa irib linahitajika ft6 na kuendelea ila ukiwa nalo ft6 utafunga lnb mbili au zaidi na kuzipata hizo channel kwa pamoja aina ya receiver zipo nyingi ni tu ukienda dukani uliza inyo edit key mf qsat zote zinaweza huo mf wa dish langu la ft6
 
Attachments

  • 1430010828518.jpg
    1430010828518.jpg
    100 KB · Views: 269
Back
Top Bottom