Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

Hahahaaaa, jamani mwanzoni nilikuonea huruma but ghafla nkajikuta nimetoa meno yote, duuuuuuh, ila ndo mkomage. alah!!
 
Hellow! jf
Huyu binti nilikuwa nawasiliana nae kwanza kwa pm. hadi tukapanga nae niende kumtembelea zanzibar. Jmos iloisha nikafunga safari hadi bandalini. Mpango ulikuwa ni kwenda nilale huko. Nikampigia simu ya kwamba napanda boti ya saa nane na akaahidi kuja kunipokea bandali ya zenj, Cha ajabu nilipofika zenji na kumpigia simu akanijibu "HIVI UMEENDA KWELI? MWENZIO NAKAA ARUSHA. YALE NI MAMBO YA JF BANA FIGGANIGGA, MI NKAJUA WANTANIA ATI!. POLE SANA".Akamalizia na kicheko!. Nimfanyeje huyu jaman?. Mia

Karibu Kuala Lumpur! Wallahi sikutanii!!!
 
Raha iliyoje?sijui ulikuwa ushanunua pennsi mpya ya kupungia upepo?Zana za kilimo kwanza je?ziweke zitapata mwngne next tym kama hazijaisha muda wake wa matumizi.
 
Hellow! jf
Huyu binti nilikuwa nawasiliana nae kwanza kwa pm. hadi tukapanga nae niende kumtembelea zanzibar. Jmos iloisha nikafunga safari hadi bandalini. Mpango ulikuwa ni kwenda nilale huko. Nikampigia simu ya kwamba napanda boti ya saa nane na akaahidi kuja kunipokea bandali ya zenj, Cha ajabu nilipofika zenji na kumpigia simu akanijibu "HIVI UMEENDA KWELI? MWENZIO NAKAA ARUSHA. YALE NI MAMBO YA JF BANA FIGGANIGGA, MI NKAJUA WANTANIA ATI!. POLE SANA".Akamalizia na kicheko!. Nimfanyeje huyu jaman?. Mia

Ha ha haaaa jamani polee eee uuuwiiii hahaha haaaa jamani mie mbavu zanguuuu. Hapo ulishajiandaaa na mastail kibaaaao, eee yaani ntamfanya hivi na hiviii mpk huyo aliyenaye amuone katoto mziki ninao mie fuul zaid ya sab~ufa. uuuuuwiiii weee bidada huko ulikoo NAKUPA SALUUUUT jamaaa alijua atakugeuzageuza kama chapati kikaangoni.
 
Khaah, ikawa chapati bila mboga !! "wee unamaneno"
 
Ha ha haaaa jamani polee eee uuuwiiii hahaha haaaa jamani mie mbavu zanguuuu. Hapo ulishajiandaaa na mastail kibaaaao, eee yaani ntamfanya hivi na hiviii mpk huyo aliyenaye amuone katoto mziki ninao mie fuul zaid ya sab~ufa. uuuuuwiiii weee bidada huko ulikoo NAKUPA SALUUUUT jamaaa alijua atakugeuzageuza kama chapati kikaangoni.
hahahahaaaa...!!! hamna mastyle wala nini mtu wangu. Zamani mademu wa JF walikua wanazingua kinoumer, kwanza walikuwepo wachache akina Husninyo, Dena Amsi, Preta, Lizzy na wengine wachache.
Yaani kuweka hii 100 kwenye Id yako ushajiunga team mia, Ngoja nikufanyie mkakati. karibu sana mkuu. mia
 
Last edited by a moderator:
Watu mwasema ndio ukome naona hamjawahi kushikwa na haja haswaaaaa,my Nigga ungekuja tu hapa Gheto kwangu Mwachealale,alafu jion tungeenda kuwatafuta akina Mwanakhamis na Shakila biti Sharifu hapo Stone town wala usingeiona Zanziberi Chungu,plus ushakula supu ako ya pweza bakuli 3,
Nanyi wanamama wa bara basi sio kila kitu cha kufanyia utaniiii,maana my Nigga alokua desperate hata Dubei angeenda kufuata hiyo Mbuchuchu.(in Hammy J's voice)
 
hahahahaaaa...!!! hamna mastyle wala nini mtu wangu. Zamani mademu wa JF walikua wanazingua kinoumer, kwanza walikuwepo wachache akina Husninyo, Dena Amsi, Preta, Lizzy na wengine wachache.
Yaani kuweka hii 100 kwenye Id yako ushajiunga team mia, Ngoja nikufanyie mkakati. karibu sana mkuu. mia

khaaaaa!!! kwahiyo sie ndio mademu? Dena Amsi wewe ni demu?
 
Last edited by a moderator:
inawezekana hata sio manzi unakuta ni jidume lenye miraba minne ndo ulikuwa unawasiliana nalo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom