Uliyo nifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uliyo nifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by figganigga, Jan 19, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Hellow JF

  Huyu binti nilikuwa nawasiliana naye kwanza kwa PM.

  Hadi tukapanga naye niende kumtembelea Zanzibar. Jumamosi iliyoisha nikafunga safari hadi bandarini.

  Mpango ulikuwa ni kwenda nilale huko. Nikampigia simu ya kwamba napanda boti ya saa nane na akaahidi kuja kunipokea bandari ya zenj.

  Cha ajabu nilipofika zenji na kumpigia simu akanijibu "hivi umeenda kweli mwenzio nakaa Arusha.

  Yale ni mambo ya JF bana figganigga, mi nkaja wantania ati, pole sana".

  Akamalizia na kicheko.

  Nimfanyeje huyu jamani?
   
 2. JS

  JS JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha lol umewezwa kweli this time...achana naye tu si mambo ya JF au ulikuwa na mipango mingine nini?
   
 3. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hahaahahah....LOL. Pole.
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  he he..Pole yako kaka, mzee ukajikoki mpaka zenji!...100
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umfanyeje kwani unamdai?
  Ndio dawa ya kukurupuka hiyo. . . kila siku na thread za "nikamzimia, nikamtukana, sasa namtaka". Kwa style hiyo only a fool would take you serious. . . too bad you haven't met one yet.
   
 6. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Naoma wenzetu wamefurahi kweli. Pole kaka sisi ndio tunajuwa machungu ya kukosa mechi wakati ushajitayarisha.
   
 7. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hahahhahahahahahahahahah bro pole sana bro ndo sosho netweking hiyo mweeh!
  It‘s nt funny bt yeah it‘s hillarious and pitiful at the same tym!
   
 8. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Nishamjua huyo...)))
   
 9. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Zinduna uko wapi rafiki yangu? nimekumisije?
   
 10. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Umenikumbusha mbali sana kaka. Nilishawahi kuvaa hivyo viatu. Ila pole sana. Ndio mambo ya Jf..
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Daktari hua halii kwa kumuona mgonjwa aliezidiwa !
  Aidha Jogoo hafi kwa utitiri !
  Geuka kushoto!
  Geuka kulia !
  Angaza upya wapi pa kulipizia !
   
 12. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,335
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Labda alifikiri we police mpelelezi bado upo zenj au umerudi tayari nikushauri ka kitu?
   
 13. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dada zako wamefurahia jinsi ulivyoingizwa choo cha kike! pole broda!. Mia
   
 14. h

  hayaka JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kaoge na maji ya moto kisha forget about her. na ujifunze kuwa huwezi pata kila kitu unachokitamani.
   
 15. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dah, hii ndo jf bwana
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mmmmmmhhhh haya bana,huyo ndo Lizzy in her originality! Tough talking ,soft inside,always they are.
   
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha!naona umeanza mwaka kwa style ya pekee,pole mwaya,100.
   
 18. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hahahahaha, ningekutupia ki like sema natumia kimobile...creative!!jf is more than x ray by .....?
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bahati yako ukukata hata tiketi ungeshaa ankoli mia...

  JF is never boring
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mapenzi yana tutesa sana.pole sana mkuu. kama vipi muendee kwa sangoma.
   
Loading...