AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,893
you are so welcome brother.Asante sana
yap nenda kasome, ni special kwa wale waliovunjika moyo. au kama haujavunjika utawafundisha au kuwafariki wale wenye tatizo. Mungu wetu anaweza yote. Amin.thanks,medownload but bado sijakisoma mkuu.
ok, lakini cha muhimu walau umevisoma, kuna siku yatakukuta hiyo free mind yako itafika mwisho utakuwa unatafuta solution nyingine, ndipo utafungua vitakusaidia tu. kiburi cha uzima ndicho kinawafanya watu hata wakata atheists, ila ukija kubanwa na mlango ukatoa macho kama mjusi, shetani amekusambaratisha kila engle, utamtafuta tu Mungu na utamuona. fahamu na kutambua kuwa uhai wako upo mikoni mwa Mungu, na unapaswa kumwamini na kumwabudu. thanks kwa kusoma, nimenawa mikono juu yako, na Mungu akusaidie.Moyo tulia mjini kuna vya watu vifungu vya Bible ulivyoweka vitawafaa wagalatia me Nina free mind
amini kwamba Mungu anaweza yote hata yale ambayo wanadamu wanasema hayawezekani. cha muhimu uamini toka moyoni na umpokee tu, vingine mwachie yeye ajitwalie utukufu.Umenikuna hapa pembeni nipo na bible mpaka tarehe 2/1/2017 kama Mungu atanifikisha salama ndiyo maana sikauki hapa JF.
Mkuu mwezi wa 12 kwangu huwa ni kipindi cha kutafakari kazi nilizofanya kwa miezi 11, nashukuru sana kwa ujumbe mzuri.amini kwamba Mungu anaweza yote hata yale ambayo wanadamu wanasema hayawezekani. cha muhimu uamini toka moyoni na umpokee tu, vingine mwachie yeye ajitwalie utukufu.
hiyo ilikuwa zamani mkuu, nilipitia magumu, lakini Mungu saw me through, sasaivi hadi nimesahau kuwa tatizo fulani lilikuwa part of my life kwasababu Bwana amenisahaulisha kabisa. nilikuwa nakosa watoto lakini sasaivi tukiwa na mke wangu tunafanya juu chini mimba ingine isiingie. ni kama ulikuwa na njaa lakini sasaivi unasaza....nilikuwa nimetupwa sina kitu sina heshima lakin Mungu amenisahaulisha hayo yote. sifa na utukufu kwake yeye aliye juu aishiye milele Amin! yeye hachelewi wala hawahi, ahadi zake ni za milele, anao uwezo kufungua mlango na hakuna afunguaye, anao uwezo kufunga na hakuna afunguaye, anao uwezo kufanya njia pasipo na njia, hakuna aliye kama yeye, na hatakuwepo mwingine!Moyo umekuvunjika mkuu, Pole sana!!
hiyo ilikuwa zamani mkuu, nilipitia magumu, lakini Mungu saw me through, sasaivi hadi nimesahau kuwa tatizo fulani lilikuwa part of my life kwasababu Bwana amenisahaulisha kabisa. nilikuwa nakosa watoto lakini sasaivi tukiwa na mke wangu tunafanya juu chini mimba ingine isiingie. ni kama ulikuwa na njaa lakini sasaivi unasaza....nilikuwa nimetupwa sina kitu sina heshima lakin Mungu amenisahaulisha hayo yote. sifa na utukufu kwake yeye aliye juu aishiye milele Amin! yeye hachelewi wala hawahi, ahadi zake ni za milele, anao uwezo kufungua mlango na hakuna afunguaye, anao uwezo kufunga na hakuna afunguaye, anao uwezo kufanya njia pasipo na njia, hakuna aliye kama yeye, na hatakuwepo mwingine!
Amen....hiyo ilikuwa zamani mkuu, nilipitia magumu, lakini Mungu saw me through, sasaivi hadi nimesahau kuwa tatizo fulani lilikuwa part of my life kwasababu Bwana amenisahaulisha kabisa. nilikuwa nakosa watoto lakini sasaivi tukiwa na mke wangu tunafanya juu chini mimba ingine isiingie. ni kama ulikuwa na njaa lakini sasaivi unasaza....nilikuwa nimetupwa sina kitu sina heshima lakin Mungu amenisahaulisha hayo yote. sifa na utukufu kwake yeye aliye juu aishiye milele Amin! yeye hachelewi wala hawahi, ahadi zake ni za milele, anao uwezo kufungua mlango na hakuna afunguaye, anao uwezo kufunga na hakuna afunguaye, anao uwezo kufanya njia pasipo na njia, hakuna aliye kama yeye, na hatakuwepo mwingine!