Uliyemaliza kidato cha nne (4) na kufaulu changamkia fursa.

Kel-dizo

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
423
168
Shule ya sekondari iitwayo CORNERSTONE LEADERSHIP ACADEMY iliyoko ARUSHA yenye wanafunzi wa kitato cha 5 & 6 inafanya usaili (interviews) kwa wahitimu wa kidato cha 4 ili kupata ridhaa ya kusomeshwa bure kupitia UDHAMINI wao. Ratiba ya kufanya usaili na trh kwa mikoani iko kama ifuatavyo: 3-4/3/2017 TANGA, 4-5/3/2017 MWANZA kituo Pamba sec school, 10-11/3/2017 DODOMA, 17-18/3/2017 DSM & KATAVI, 24-25/3/2017 NJOMBE: kwa mawasiliano zaidi,,, 0767002860; 0758187279: 0769455294: source. Aliyenufaika na huduma hii ninayesoma naye chuo kikuu cha MOUNT MERU Mwanza
 
Wanahitaji uwe na ufaulu gani ? Na uwe umemaliza form four mwaka gani ?
 
Back
Top Bottom