Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,298
- 1,563
Hahaha kumbe na wewe ni mlezi wa wanaSi bora kakwama? Aliniomba 200000 akanunue cheni ya shingoni ...haahaaa asee siku hiyo nilicheka mpaka akakimbia ( alifikiri nimewehuka)
Hahaha kumbe na wewe ni mlezi wa wanaSi bora kakwama? Aliniomba 200000 akanunue cheni ya shingoni ...haahaaa asee siku hiyo nilicheka mpaka akakimbia ( alifikiri nimewehuka)
Wee ndo kidume sasa!
Sasa kuna wanaume wengine anakuomba kabisa mwanamke hela ...hapo ndo napochokaga asee!
La saba E ndo hawakufika elimu ya juu. Miaka ya majuzi hadi D walichaguliwa.Hao wote wanaotetea wameoa darasa la 7 B janamke likiamka asubuhi linapiga miyayo tu......aiseee kwangu nilishaipinga vikali.
Ngoja upate ajali uoneeee kama familia haijala nyasi na mkeo atagongwa kupitilizaaaaaa
Asante kwa hoja safi .....La saba E ndo hawakufika elimu ya juu. Miaka ya majuzi hadi D walichaguliwa.
Mimi niamue tu kuwa muwazi kwa mume maana naweza mkabidhi kimshahara chote cha serikali na bado vibiashara vyangu vidogo vidogo ambavyo hawezi calculate exactly napata shingapi nikampiga cha juu.
Japo mkiamua kuwekana wazi mkachangia maendeleo huja kwa kasi sana.
Kuuza karanga.........(poor plan.....think beyond)Aaaaah wapi bora kuoa mwanamke jobless mwenye akili ya kufanya biashara hata ya kuuza karanga mnaweza kutoboa ila sio mwajiriwa mwenye salary yake utakufa kwa stress
Hata mm naungana na wewe kuukataa Ukidume wa hivyoKama ukidume ndo kunyonywa kipesa, wakati ww mwanamke una ajira na uwezo wa kunisaidia kwenye majukumu ya kifamilia, huo ukidume SIUTAKI witnessj
Mwanamke akitaka nimtunze 100% akae nyumbani alee watoto. Lkn kama na yeye anaenda kazini kutafuta kama mimi, lazima ajue na awe na hakika kuwa atachangia maisha ya nyumbani and that is not a choice but a must be done thing na kuniheshimu kama mume sio hiari kama hataki mlango wa kutoka uko wazi maana mm huwa sipigi wanwakeNa ndipo dharau mwanamke zinapoanza sasa! Si anaona na yy anagharamika?
Ukitaka mwanamke akuheshimu mtunze na usitake hata thumuni yake! Atakuogopa balaaa, bahati mbaya wanaume hawajui hii siri!
Sijamaanisha kama ulivyofikiria wewe kiujumla nazungumzia yule mwenye akili ya biashara hata ikiwa ndogo anaweza akapambana hadi ikakuaKuuza karanga.........(poor plan.....think beyond)
Kuombwa nini Ike?Hutaki kuombwa?
We ndo unachunguzwa sasa mkuuKumchunguza sana napata wakati mgumu sababu kwa sasa yuko mbali nami. Yuko Morogoro nami niko Dar hatujaonana for a while now. Jana usiku tumekwaruzana kwa sms....akaja nitumia msg za usiku mwema late nights kwenye namba zangu 2 zote na sikumjibu. Kisha asububi amekuwa wa kwanza kunijulia hali. Wonders shall never end
Kwa hiyo umetoboa kwa kutegemea pesa ya shem?
Nimekugusa nini mkuu?Kama hana na mwanamke anayo kwann asiombe?
Ukweli upi?Embu sema ukweli jaman
Sijui hata nilikuliza nnUkweli upi?
Na heshima yako ka mume utaionaTangu nikiwa mdogo sikuamini katika kuoa mfanyakazi wala mfanyabiashara.
Labda hayo yote yatokee nikiwa nimeshamuoa.
I'm strongly enough kufa hata kupona kwa ajili ya familia yangu mwenyewe.
Wanaume tumeumbwa mateso na kuhangaika ili hawa viumbe tuloumbiwa waishi salama.
Unajiridhisha au ni kuwa hujaelewa comment yangu?ah sasaa wee maana yake unafurahi ukiombwa papuchi tuu au sio hahahahaha