Uliyeamini mkioana wote wafanyakazi mna mshahara mtatoboa kimaisha tupe mrejesho

Hakuna ujinga niliowahi kuuwaza kama kuoa mwenye mshahara,cjawahi waza kuwaza na nna muomba aniongoze huu mcmamo wangu...!!mwanamke akishakuwa na mshahara (hela) za kutafuta mwenyewe uyo hawi mke ndani ya nyumba zaidi ya kutaka na yeye awe na sauti,Amri & maamuzi ndani ya nyumba tena wanaenda mbali kimaamuzi mpaka wanafikia ya kukupangia cku ya kumvua kabati (c..up..) Mungu aliyeumba mbingu na nchi alishaweka muongozo tena kwenye vitabu vya dini zote mbili kubwa duniani BIBILIA INASEMA MWANAMUME NDIO KICHWA CHA FAMILIA NA QUR AN INASEMA MWANAUME NI KIONGOZI MBELE YA WANAWAKE...!! Lakn Leo tumejitia ujuaji ndio mambo hayaendi kila siku mabalaa ukame,magonjwa,njaa kwa kupindisha maandiko...!!
 
Haaahaaaa....mwaka juzi huo niko last year chuo tena yy ni mfanyakazi hapo BOT ( si unajua wanaume wa dar)

Mi habaree nyingine mkuu, nilimweka kitako nikampa somo mpaka leo hajasahau!

Ofcourse hata sikutembea nae japo tulidate
Embu sema ukweli jaman
 
Sijawahi kuwaza wala kufikiria kuwaza kuoa goli kipa .....aisee awamu hii na karine hii goli kipa utatatamani ufeee tu.....jitu halina mshahara then pasua kichwa ...pumbavu.

Narudia tena pesa huleta amani ktk penzi.

NB. Ukiona umeoa mke na nimfanyakazi lakini pesa zake huzioni ujue huyo sio mke bali ni mkweche.

Nina uzoefu miaka 5 ktk ndoa ya kitumishi life liko Poa kinyama.
 
Tangu nikiwa mdogo sikuamini katika kuoa mfanyakazi wala mfanyabiashara.
Labda hayo yote yatokee nikiwa nimeshamuoa.

I'm strongly enough kufa hata kupona kwa ajili ya familia yangu mwenyewe.

Wanaume tumeumbwa mateso na kuhangaika ili hawa viumbe tuloumbiwa waishi salama.
 
Ni sawa na kupikia kuni wakati Gass ipo na mtungi umejaaa.

Open your mind brother
 
Mwanaume ni kuhenya mpaka siku ya mwisho
Mke umemuoa akusaidie na kukuzalia watoto kama atapata
Jukumu lako ni kuwapa maisha yote
Kama utaamua kujenga nae maisha huyo ni mfanyakazi mwenzio sio mke

Tena kwa waafrika utahudumia kote nyumbani na kwao pia kama kuna tatizo

Thats a life

ni kweli usemalo ....pande zote utahudumia. mie ishu pale unahudumia alafu anakwambia ugegede papuchi yangu tuu...hapo ndio nachoka kabisa.
 
Tangu nikiwa mdogo sikuamini katika kuoa mfanyakazi wala mfanyabiashara.
Labda hayo yote yatokee nikiwa nimeshamuoa.

I'm strongly enough kufa hata kupona kwa ajili ya familia yangu mwenyewe.

Wanaume tumeumbwa mateso na kuhangaika ili hawa viumbe tuloumbiwa waishi salama.

in short ewe una amini wanawake ni kugegewa tuu . safi nipo pamoja na wewe hapo
 
in short ewe una amini wanawake ni kugegewa tuu . safi nipo pamoja na wewe hapo
Kweli haswaaa.
Waoga wa majukumu ndio huamini kwa kuishi kwa kutegemea watusue kupitia msaidizano na mwanamke.

Ukishakuwa na kazi au biashara nzuri au vyovyote jiamini mwenyewe.
Mtulize mke wako awe ua a.k.a pambo la nyumbani.
 
Hivi nyie mnao amini katika kuoa mke asiye mfanyakazi hivi mmeshajiuliza siku mkiumwa mmelazwa kitandani let say miezi 6 hizo familia zenu zitaendaje?, au tuseme ndio mmekufa alafu mtoto yupo form two hapo vipi ada hadi afike huko chuo kikuu?

Msiwe wabinafsi ndoa ni Kazi Kazi, mke asiyenisaidia kutoboa maisha ni Buree kabisa.

CC mtume
 
Hivyo ndivyo unavyotakiwa kuishi nao Hawa. Nashangaaka Sana watu wanasema oh sijui oa kabila hili watakusaidia kimaendeleo...mwanamke wakugegeda maendeleo najua mie mwenyewe. Yeye ajue mauno kitandani yatoshA.
 
Hivi nyie mnao amini katika kuoa mke asiye mfanyakazi hivi mmeshajiuliza siku mkiumwa mmelazwa kitandani let say miezi 6 hizo familia zenu zitaendaje?, au tuseme ndio mmekufa alafu mtoto yupo form two hapo vipi ada hadi afike huko chuo kikuu?

Msiwe wabinafsi ndoa ni Kazi Kazi, mke asiyenisaidia kutoboa maisha ni Buree kabisa.

CC mtume
Hao wote wanaotetea wameoa darasa la 7 B janamke likiamka asubuhi linapiga miyayo tu......aiseee kwangu nilishaipinga vikali.

Ngoja upate ajali uoneeee kama familia haijala nyasi na mkeo atagongwa kupitilizaaaaaa
 
Wee utakufa na presha kuwaza mke wako anagegedwa...acha hizo fikra kaka mtu anatembea na mgkdi wake wee unataka kujimilikisha...hiyo nikutaka kifo Cha mapema. Was kwako ukiwa wamgegeda basi.
 
Back
Top Bottom