uliwezaje?

darshan

Member
Apr 29, 2013
46
6
hv uliwezaje kumfanya mpenzio kuwa rafiki yako wa karibu sn????nataman na wangu awe hivyo.
 
Hiyo ilipaswa kufanyika kabla hamjaanza upenzi. Mnakuwa washkaji na mnaongea lugha zote.

Hivi unajua mpenzio akiwa rafikiyo hata mkiongelea ex wenu wala haiwakeri?
hv uliwezaje kumfanya mpenzio kuwa rafiki yako wa karibu sn????nataman na wangu awe hivyo.
 
Muache halafu uanze kumtongoza tena!!ok.. Any way mimi nadhani hiyo huwa inakuja automatic!!!
 
Mweleze kila kitu chako sasa ila utajuta mkiachana .....
 
mpenzi wako ni rafiki yako....sasa kama wewe mpenzi wako si rafiki yako sijui mnaongea nini mnapokutana.. au ndio inakuwaje, mnatazamana tuuu
 
mpenzi wako ni rafiki yako....sasa kama wewe mpenzi wako si rafiki yako sijui mnaongea nini mnapokutana.. au ndio inakuwaje, mnatazamana tuuu
Umenichekesha wewe!!Noooo wanaenda direct kwenye ule mchezo wakikubwa wakimaliza ni kwaheri!!
 
Mbona ni rahisi sana mpe mambo hakikisha akikaa anakutaja taja kila, mara utani huu, mara ule stori nyengine pia muwe munaongea maongezi mengine pia sio kila saa mapenzi tu
 
Umenichekesha wewe!!Noooo wanaenda direct kwenye ule mchezo wakikubwa wakimaliza ni kwaheri!!

halafu ati baada ya hapo ndio wanaanza kushangaana kimoyomoyo ''hee kumbe we have nothing in common zaidi ya nanihii''....yaani hawa!
 
Mpe uhuru na wewe kuwa huru kwake,mchukuliane kwa kila jambo punguza ubabe,halafu mfanye ajisikie raha na fahari kuwa nawe,penda kutoka nae kwenda nae sehemu nzuri na lazima uoneshe kuwa yeye ni zaidi ya mwanamke mwingine yeyote,halafu zoea kumtania na mwache akutanie,mambo yatakuwa saaafi kabisa
 
Ukijisikia kujamba we jamba tu wala usiwe muoga, uwe unamuaga... Mke wangu naenda kunya:.. vitu kama hivyo ndio hujenga urafiki hasa.
 
Hiyo ilipaswa kufanyika kabla hamjaanza upenzi. Mnakuwa washkaji na mnaongea lugha zote.

Hivi unajua mpenzio akiwa rafikiyo hata mkiongelea ex wenu wala haiwakeri?

You couldn't be more precise. Friendship inapaswa kuanza kabla ya mapenzi. Uzuri wake mnakuwa mnafahamiana vizuri sana, no surprises, and as you, mnaweza kuongea kuhusu chochote including X's na usijisikie vibaya.

Me na girlfriend wangu tulikuwa marafiki for almost 2 years. Wakati huo wote tulikuwa tunajifunza mambo mengi kuhusu each other. Hatupendi na tunapenda nini, kama ni uhusiano tunategemea nini kutoka kwa wapenzi wetu etc. Baada ya kuwa a couple, bado ni marafiki sana plus inaongeza na kuaminiana. The best advice, anzia mwanzo na usiwe na haraka.
 
Mim mpz wangu hakuwa rafiki yangu...lakini tulivyo uwa tunaongea pumba uwezi amini....tunapiga story za kijinga kama watoto....

Anyway jitahidi kumsoma ujue anavyovipenda ili muende sawa....na jitahidi kumpigisha story mbalimbali....
 
Mpe uhuru na wewe kuwa huru kwake,mchukuliane kwa kila jambo punguza ubabe,halafu mfanye ajisikie raha na fahari kuwa nawe,penda kutoka nae kwenda nae sehemu nzuri na lazima uoneshe kuwa yeye ni zaidi ya mwanamke mwingine yeyote,halafu zoea kumtania na mwache akutanie,mambo yatakuwa saaafi kabisa

mtu anakuwaje mbabe jamani????
 
Back
Top Bottom