Uliwezaje kununua gari yako ya kwanza?

Nikiwa chuo 3rd yr nikapata ka tempo nikawa nakusanya uki mix na boom mambo yakawa poa maana huko job palikua panalipa..after 2 yr nikanunua ka alteza namba B haikupita muda nika exchange na alteza namba D ila niliongeza hela kama m3 hv hilo teza nilikaa nalo sana
IMG_1846.jpg
 
Nikiwa chuo 3rd yr nikapata ka tempo nikawa nakusanya mixa boom maana huko job palikua panalipa..after 2 yr nikanunua ka alteza namba B haikupita muda naka exchange na alteza namba D ila niliongeza hela kama m3 hv hilo teza nilikaa nalo sanaView attachment 1658310
Hongera.
Ila umepitiwa kuziba hiyo plate number au haina tatizo lolote ikionekana?
 
Nikajua mipango inapokua mizuri acount ikinona ndo tamaa za gari zinakuja kumbe mnajikamua kabisaa ili umilki gari.
Nashauli utafute tu pesa habali ya gari achana nayo mkuu.
Kuna wakati gari linakuwa ni basic need no matter how thick or thin your account is. Huwezijua hadi anademand gari, hali yake ipoje. Let him do what is best for him without discouraging
 
Aisee huu uzi huu.


Mimi nilijichanga ikafika pesa ya kutosha kuagiza. Nikaagiza kibishi nikabaki sina hata mia.

Wakati gari imepakiwa melini nikaanza kujichanga pesa ya ushuru na port charges. Mungu si Athuman ndinga imefika nikawa nimepungukiwa kama milioni 3, nikachukua kwa washkaji zangu.

Kujichanga namaanisha mshahara na harakati nyingine nyingine za mtaani.

Ila nyie kuraise pesa 15+ ni kitu kigumu sana na inahitaji nidhamu na sacrifice ya hali ya juu sana, nilikua natamani sana nikachukue mkopo ila bahati mbaya sikua eligible sp nikakomaa.
 
Mkuu Runx.....9.7....
Ni Mkopo Tu ....nao unaisha jiwe akibakiza mwaka 1......

Bila Mkopo.....Nadhan Tungekutana sanaaa kweny Daladala!!!

Japo kwa mwez utanionanayo Siku 5 mpka 10.....usiniuliz kwa nin!!( ujana una mweng!!)
 
Back
Top Bottom