Uliwezaje Kumwabia mchumba/mke mtarajiwa kuwa una mtoto wa ujanani

Siwezi kukana wala kuficha damu yangu ( NI USALITI WA NAFSI) !! Mi mapema na mtel ajue moja, unaweza mficha siku ya kifichuka ndoa inaweza kuwa moto!!! Mtu aambiwe ukweli ajitathimini mwenyewe kabla hajakubali nahusiano endelevu
 
Mimi naona wakati mzuri wa kulisema ni kabla haujamtongoza. Kipindi mmeunda tuu urafiki unatafuta namna unamchomekea kwenye story.
Huu ndo mda perfect hata kwa single mom
Ili mtu uchague kusuka au kunyoa mapemaa
 
Kwanza mwanangu mimi ni roho yangu yaani km mchumba atapenda amani ktk ndoa ajifanye tu anampenda mwanangu wa ujana aliethibitisha ulijali Wang Ila akijichanganya ataondoka atuache na mwanangu km alivyo tukuta!! Kwanza mimi sio siri tena uwa Niko wazi kumtambulisha na Kumuweka kwenye profile japo mamake ndio atuwasilian kabisa Ila mtoto nampenda zaidi ya saana.
 
Hakuna kitu kibaya kama:
1. Mwanamke ana katoto kake halafu amekaficha kwa bibi au dadake huko, halafu asikuambie. Ukija gundua baada ya kuvuta ndani, hakika maisha yote hutakaa umuamini. Hata kama amekuwa mwaminifu kiasi gani; lazima uwachunguze hao uliozaa naye.
2. Hakuna mwanamume mpuuzi kama aliyezaa ujanani na kumtelekeza mtoto wake. Hata hao unaokuja zaa hawanaga baraka. Mpaka umlete yule wa kwanza nyumbani ndipo wengine hubarikiwa.
3. Mwambie wazi mapema huyo mchumba kuwa; Nina katoto au vitoto 3 nilizaaga. Mwenzio ajue kumbe weye ni "Used" hivyo akichukua mzigo ajue namna atalinda mwenyewe.
4. Hakuna kitu kibaya kama; Mwanamke/mwanamume anayeenda kupasha kiporo kwa kisingizio ati anapeleka matumizi ya mtoto au kupokea matumizi ya mtoto. Hii ni mbaya sana na huua ndoa
 
Katika safari ya maisha mengi hutokea kwa vijana wengi ikiwemo swala la kupata watoto mapema zaidi kutokana na mabadiliko ya tabia mwili na vile tunatofautiana viwango vya mihemuko ya ujana.

Kimsingi mtoto ni baraka,faraja, malaika, ndugu, damu na alama isiofutika katika jamii na hutumika kama kitambulisho cha jinsi kamili.

Swala liliopo ni kuwa mara nyingi watu waliotuzalia watoto ujanani ni nadra kukuta ukiwa mtu mzima unaweza kuoa tena maana ni kama connection ya kihisia inakuwa haipo tena tokana na mambo kubadilika ama mazingira. Japo watu wengi huficha ila sidhani kama ni busara kuficha lolote kwa mtu wako maana ukweli hukuweka huru siku zote.

Ishu za kujadili:
1.Ni vipi utaweza ama uliweza kumwambia mchumba wako wa sasa ambae unatarajia kuoa kwamba una mtoto wa ujanani?

2.Je, mnadhani wakati sahihi wa kulisema hilo ni kabla au baada ya kuoa?

3.Wanawake mliokutana na situation hii je mlichukuliaje hilo swala na iliwaathiri kwa namna gani?

NB: Mtoto wa ujanani sio wa baada ya kuoa mke. Ni wa enzi za friendly matches on your teen ages. 13-19 hapo!
Nivizuri baada ya kuingia kwenye uhusiano na mtu flani kabla hamja oana ukamwambia uhalisia wa mambo ili kama anakupenda kwa dhati aendelee na wew au kama hakupendi aachane na wewe,

Ukweli na uwazi unakuweka safe side mkuu, na hiyo ndio njia mbadala pia ya kumjua yupi mwenye moyo wa upendo, ni kwa vip ana judge na kuvalue vitu au watu n.k

Kwahyo swala la kua na mtoto sio swala la kuficha kiukweli, maana hata ukificha atajua, nivizuri mtu kukukubari ulivyo na vitu na watu wako kuliko ku pretend.

Uwezo wangu wa kufikiria na kupambanua mambo umeishia hapo.
 
Hakuna kitu kibaya kama:
1. Mwanamke ana katoto kake halafu amekaficha kwa bibi au dadake huko, halafu asikuambie. Ukija gundua baada ya kuvuta ndani, hakika maisha yote hutakaa umuamini. Hata kama amekuwa mwaminifu kiasi gani; lazima uwachunguze hao uliozaa naye.
2. Hakuna mwanamume mpuuzi kama aliyezaa ujanani na kumtelekeza mtoto wake. Hata hao unaokuja zaa hawanaga baraka. Mpaka umlete yule wa kwanza nyumbani ndipo wengine hubarikiwa.
3. Mwambie wazi mapema huyo mchumba kuwa; Nina katoto au vitoto 3 nilizaaga. Mwenzio ajue kumbe weye ni "Used" hivyo akichukua mzigo ajue namna atalinda mwenyewe.
4. Hakuna kitu kibaya kama; Mwanamke/mwanamume anayeenda kupasha kiporo kwa kisingizio ati anapeleka matumizi ya mtoto au kupokea matumizi ya mtoto. Hii ni mbaya sana na huua ndoa

Umeelezea yote mkuu.
 
Wa mwanamke "katoto kake"
Wa mwanaume "mtoto wake"
 
Wa mwanamke "katoto kake"
Wa mwanaume "mtoto wake"
Nimesema hivyo kwa makusudi kabisaaa. Mwanamke anayemficha huyo mtoto yaani hamthamini kabisaa. Anamuona ka mzigo flani hivi. Tena mara nyingi unakuta alitelekezwa tangu mimba hivyo hako ni kazawadi kake au kakisirani flan hivi ndo maana hataki huyu mwanamume anayetaka kwenda ishi naye kwa maisha yake yote ajue kuwa "kisha-totolewa"
 
Nivizuri baada ya kuingia kwenye uhusiano na mtu flani kabla hamja oana ukamwambia uhalisia wa mambo ili kama anakupenda kwa dhati aendelee na wew au kama hakupendi aachane na wewe,

Ukweli na uwazi unakuweka safe side mkuu, na hiyo ndio njia mbadala pia ya kumjua yupi mwenye moyo wa upendo, ni kwa vip ana judge na kuvalue vitu au watu n.k

Kwahyo swala la kua na mtoto sio swala la kuficha kiukweli, maana hata ukificha atajua, nivizuri mtu kukukubari ulivyo na vitu na watu wako kuliko ku pretend.

Uwezo wangu wa kufikiria na kupambanua mambo umeishia hapo.
Asante kwa mchango wako na hekima ya hali ya juu mkuu. It makes a lot of sense
 
Back
Top Bottom