Uliwezaje kufungia vyeti kabatini kisha ukajiajiri?

Tena kwenye kundi hili sio wengi
Kwa mtu mwenye ndoto kubwa maishani hawezi kushabikia swala la kuajiriwa kabisa. Wale wanaoamini katika uthubutu na growing a small project into a very huge profitable business. Ndio hao kina bill gates, steve jobs and the like. Japo walitokea in rich families ila wameweza ku prosper into multimillionaires.
 
Kuajiriwa ni poa zaidi kama huna ndoto kubwa maishani. Kuna level flani ya maisha hutaweza kuifikia ila kuna ambao hawajaajiriwa wataifikia na utawashuhudia. Pia utakuwa unaishi maisha flani ya utumwa wa kuamka kila asubuhi na jioni. Kwa mtazamo wangu ajira nzuri ni kwa level ya Ukurugenzi ama uwe mwanasiasa ndio walau unaeza ishi life la maana kama wabunge na wateule wengine kama ma balozi.

Ila kwa kuwa wabongo wengi tuna hulka ya kuridhika mapema na hatupendi kashikashi ndio maana ajira inaonekana mkombozi. Mtu aajiriwe alipwe hela kidogo ya kula na kubadilisha nguo. Anakopa mkopo wa gari anaendelea kujibana na kahela kale kale aweke wese kisha anakatwa we hadi deni likiisha. Anapanda daraja kazini, anakopa ya kujengea nyumba. Akimaliza anaoa mke na kuanza familia yake anaendelea kulipa ada mpaka umri wa kustaafu. Hii ndio kama formula ya wabongo ya kuishi!
Mzee umetembea mle mle yaani
 
Mzee umetembea mle mle yaani
Yeah, kwa wale wanaotaka endeleza mfumo ule ule wa wazee wetu uliozoeleka kama soma-ajiriwa-jenga-oa-lipa ada-staafu-kufa inawezekana ukiwa umeajiriwa. Huwezi kuacha legacy duniani.
Pia kuna jambo nalifikiria sana kama kizazi chetu tunateseka hivi vipi hao watoto wetu huko mbeleni hali itakuwaje? Ina maana utapenda mwanao aje kuteseka kama wewe ulivyoteseka kupata ajira. Lazma tufikirie mbeleni itakuwaje? Vile vipacha vya mengi ni vi zimba tayari japo havijamaliza hata darasa la 7!
 
Na uvumilivu jamani mimi naanzishaga vimradi tu ila bado sijaanza kula matunda yake nimelima papai sasa ndio zina beba watoto nimesia pilipili mbuzi kweny vitalu tayari kwenda kupanda. Biashara inayoniingizia fedha kwa sasa ni nimelima bustani ya mboga ndio nafanya ya kulipia bili ya maji na kupata vocha hapa nampango wa kulima ufuta masika, na kufuga kuku na bafo hapo sijaanza kushika pesa ya miradi ya mwanzo. Huku wenzangu naona wanatanua viti virefu. Ujasiriamali ni uvumilivu wa hali ya juu na udhubutu pia kutokukata tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nasoma nikiweka akilini vitu viwili.....hakuna bilionea anaelipwa mshahara(wanajiajiri)....na nikakumbuka mimi napenda raha nikakumbuka safari za mama kikazi nikaona kabisa haya maisha ya kumuita mtu bosi ni magumu....,nilipomaliza chuo nikapata kazi ya muda lakini niliishia kuwa mfanyakazi mvivu kuliko wote ndipo nikajitahidi kuiba sana na hatimaye sasa hivi nazunguka tu kitini kahawa pembeni/asante mungu
IMG_20190118_124219.jpeg
 
Kwa mtu mwenye ndoto kubwa maishani hawezi kushabikia swala la kuajiriwa kabisa. Wale wanaoamini katika uthubutu na growing a small project into a very huge profitable business. Ndio hao kina bill gates, steve jobs and the like. Japo walitokea in rich families ila wameweza ku prosper into multimillionaires.
Hakika chief
 
gimmy's
Povu la nini sasa?...hahahaha hata namna ulivyo ni attack inaonesha kabisa unahaki ya kutofata cheti chako kwa sababu hakina sifa ya wewe kuajiriwa!

Nilitegemea ungeona mantiki katika andishi langu na wewe kujenga hoja na sio mapovu!

Kama nilichosema si cha kweli si ungenijibu kwa hoja tu kuliko kunishambualia ambaye hata hunijui kwamba nimejiajiri au nimeajiriwa!?

Ukweli unauma. Ila lazima tuuseme. Kama umesoma na ukafaulu daraja la juu na ajira kugonga mezani kwako uliikataa ajira kwamba unakiherehere cha kujiajiri?

Labda umesomea mikozi ambayo inakusukuma kufanya kazi ambazo kamwe huzipendi na ulisoma kozi hiyo pasi kuitaka.

Hebu niambie nipe mfano aliyesoma na kupata kazi yenye mshara mnono sema TPA, SUMATRA, au TRA akakataa na kuenda kujiajiri kufuga kuku na kulima matikiti Kigamboni?

Usiwe na jazba jombaa, upo huko kwa sababu umekosa kuajiriwa katika mahali ulipokuwa unapataka!
Duh,
Kweli wee jamaa ni Mhadzabe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa..ni kwamba umejiajir au umeajiriwa?
Wakati nasoma nikiweka akilini vitu viwili.....hakuna bilionea anaelipwa mshahara(wanajiajiri)....na nikakumbuka mimi napenda raha nikakumbuka safari za mama kikazi nikaona kabisa haya maisha ya kumuita mtu bosi ni magumu....,nilipomaliza chuo nikapata kazi ya muda lakini niliishia kuwa mfanyakazi mvivu kuliko wote ndipo nikajitahidi kuiba sana na hatimaye sasa hivi nazunguka tu kitini kahawa pembeni/asante munguView attachment 998393
 
Kuajiriwa ni poa zaidi kama huna ndoto kubwa maishani. Kuna level flani ya maisha hutaweza kuifikia ila kuna ambao hawajaajiriwa wataifikia na utawashuhudia. Pia utakuwa unaishi maisha flani ya utumwa wa kuamka kila asubuhi na jioni. Kwa mtazamo wangu ajira nzuri ni kwa level ya Ukurugenzi ama uwe mwanasiasa ndio walau unaeza ishi life la maana kama wabunge na wateule wengine kama ma balozi.

Ila kwa kuwa wabongo wengi tuna hulka ya kuridhika mapema na hatupendi kashikashi ndio maana ajira inaonekana mkombozi. Mtu aajiriwe alipwe hela kidogo ya kula na kubadilisha nguo. Anakopa mkopo wa gari anaendelea kujibana na kahela kale kale aweke wese kisha anakatwa we hadi deni likiisha. Anapanda daraja kazini, anakopa ya kujengea nyumba. Akimaliza anaoa mke na kuanza familia yake anaendelea kulipa ada mpaka umri wa kustaafu. Hii ndio kama formula ya wabongo ya kuishi!
It's hardly truth broh and it sucks...

#Muungwana_John
 
Wakati nasoma nikiweka akilini vitu viwili.....hakuna bilionea anaelipwa mshahara(wanajiajiri)....na nikakumbuka mimi napenda raha nikakumbuka safari za mama kikazi nikaona kabisa haya maisha ya kumuita mtu bosi ni magumu....,nilipomaliza chuo nikapata kazi ya muda lakini niliishia kuwa mfanyakazi mvivu kuliko wote ndipo nikajitahidi kuiba sana na hatimaye sasa hivi nazunguka tu kitini kahawa pembeni/asante munguView attachment 998393
Hahaha ukajitahidi kuiba sana hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna competent doctor mmoja ameacha kazi na kuamua kuwa mkulima watu hawamuelewi wanamwita chizi
ila tangu ameacha kazi mpaka sasa haujapita mwaka ameshaweza kumiliki mashamba kadhaa ana trkekta la kukodisha na kutumia kwenye shughuli zake na ana scania tayari kwa ajili ya kudistribute bidhaa zake jamaa namuona mbali sana ndani ya miaka mitano ijayo.
Yuko mkoa gani huyu aisee
 
Mm niliajiriwa na kampun moja ya internet kama sale, wanilipa vizur sana lakin kazi ilikuwa ngumu sana unatembea kutafuta wateja mwezi mzima bila kupumzika
Nilikaa chini na kutafakar sana kama natafuta wateja kwa nguvu ivi mwisho wa siku wateja wanakuwa wa kampuni so nikifukuzwa kazi basi sipati ela na wateja wote ni mali ya kampuni
Nikaona ni ujinga sana kuwatajirisha watu wengine
Nikaacha kazi na kufungua duka kariakoo kwa ela nilizokuwa napata kwny ile kampun
Now naenda china kila baada ya miezi mwili naela na ninawateja wangu wakununua mzingo ninayoleta na niafurahi coz nitakuwa na wateja hao mpaka uzee na kumwachia mwanagu biashara.
Acha kufanya kazi kwa manufaa ya watu wengine fikir kuhusu ww pia na watoto wako pia
Utakufa masikini coz mtoto wako pia anabidi akaombe kazi pia coz huna ata duka la kumuajir
Wahindi ndio maana wanatuzidi kila siku
Nimesoma Shaban Robert na wahindi kibao lakin hakuna ata moja namuona anaagaika na kazi za watu unaona wanaendesha maoffice ya wazazi wao ama ndugu zao sisi kazi kutafuta kazi
Hapa nilipo hata sijui cheti changu cha degree nimeweka wapi coz nimuda sijawai kukitafuta
Kama miaka mitatu sasa sijawai kukiona coz sina time nacho kabisa
Mkuu umesoma shebby mwaka gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mje kunitia moyo. Mimi nimemaliza form six mwaka huu. Ila naona ndoto yangu ya ujasiriamali ni kubwa kuliko kupoteza miaka 3 chuo na kozi zisizona uhalisia.
Bipi lakini umefaulu au unataguta kichaka
 
H
Na uvumilivu jamani mimi naanzishaga vimradi tu ila bado sijaanza kula matunda yake nimelima papai sasa ndio zina beba watoto nimesia pilipili mbuzi kweny vitalu tayari kwenda kupanda. Biashara inayoniingizia fedha kwa sasa ni nimelima bustani ya mboga ndio nafanya ya kulipia bili ya maji na kupata vocha hapa nampango wa kulima ufuta masika, na kufuga kuku na bafo hapo sijaanza kushika pesa ya miradi ya mwanzo. Huku wenzangu naona wanatanua viti virefu. Ujasiriamali ni uvumilivu wa hali ya juu na udhubutu pia kutokukata tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika uvumilivu ni silaha tosha
 
Wakati nasoma nikiweka akilini vitu viwili.....hakuna bilionea anaelipwa mshahara(wanajiajiri)....na nikakumbuka mimi napenda raha nikakumbuka safari za mama kikazi nikaona kabisa haya maisha ya kumuita mtu bosi ni magumu....,nilipomaliza chuo nikapata kazi ya muda lakini niliishia kuwa mfanyakazi mvivu kuliko wote ndipo nikajitahidi kuiba sana na hatimaye sasa hivi nazunguka tu kitini kahawa pembeni/asante munguView attachment 998393

Kama umeanza biashara kwa pesa ya kuiba trust me hiyo biashara yako haita kuwa endelevu utakumbwa na misukosuko.
 
Kama umeanza biashara kwa pesa ya kuiba trust me hiyo biashara yako haita kuwa endelevu utakumbwa na misukosuko.
Inategemea na aina ya wizi wenyewe halafuu.... Kuna wizi mzuri na mbaya

Mtu akiiba biblia akaenda kuiweka kabatini, huyo ni mwiz mbayaa,

Anae iba biblia akaenda kuhubiri huyo n mwiz safiii kabisaaa.

Mwizi anaeiba mbegu akaenda kuzipanda ni nwizi bora kabisa. Lakini anaeiba mbegu akaenda kuzila huyo hafai kabisaa.

Sasa jamaa kama aliiba na kaanzisha ofis yake ambayo imeajiri/ itaajiri watu, hizo ni baraka utasubili sana hamaa afirisike.... Utasubiri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom