Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,004
- 173,644
Kwa mtu mwenye ndoto kubwa maishani hawezi kushabikia swala la kuajiriwa kabisa. Wale wanaoamini katika uthubutu na growing a small project into a very huge profitable business. Ndio hao kina bill gates, steve jobs and the like. Japo walitokea in rich families ila wameweza ku prosper into multimillionaires.Tena kwenye kundi hili sio wengi