Uliwezaje kufungia vyeti kabatini kisha ukajiajiri?

Kwangu mm vitu ni vingi mnooo vilivyopelekea kuvitunza vyeti vyangu kwenye sanduku LA chuma,..lakini hivi ndivyo nilianza navyo;

•Uthubutu
•Kuvua aibu/kutojali nitaonekanaje
•Kujiamini kuwa nitaweza
•Hamu ya kutimiza malengo..n.k.
Natamani unge-share safari yako yote ya ujasiriamali..VIP ilianza,kipi kiliku-motivate,chanllages na jinsi gani uli-overcome all that..

#Muungwana_John
 
Hi bravo,.nikiandika hapa nitachosha wengine,.ila kama ujuavyo safari yoyote katika maisha haikosi changamoto,vikwazo,na hata maumivu wakati mwingine lakini hivi vyote ni kama chachu tuu ya kukufikisha salama safari yako.
 
Shida ikikomaa Aibu na aupga huondoka. Kinacho sababisha watu washindwe kujiajiri ni Uoga mkuu na Aibu kuu watu waliyo nayo. Aibu ya watanionaje.

Kujiajiri ni kugumu sana na inahitajika uvumilivu wa kiwango cha mwisho kabisa.

Bila uvumilivu bora tu mtu akatafute kaza za kufanya.

Watu wengi hujiajiri huku wanatuma application za kazi maana yake hapo unakuta uvumilivu usha washinda
kinyume chake ndio sahihi. nitarudi kujazia nyama baada ya mwaka huu au kabla!
 
Kujiajiri yabidi uwe na moyo wa kujitoa...chukulia biashara yako kama maisha yako...!!kiukweli mimi nilijua kabisa kuwa ndan ya wiki moja ntafukuzwa nikiwa ajiran maana sipendi kucmamiwa...!!

Ndo maana nkaamua kuingia kwenye biashara.....kujiajiri inatoka moyon kwanza kabla ya mfukon...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mm vitu ni vingi mnooo vilivyopelekea kuvitunza vyeti vyangu kwenye sanduku LA chuma,..lakini hivi ndivyo nilianza navyo;

•Uthubutu
•Kuvua aibu/kutojali nitaonekanaje
•Kujiamini kuwa nitaweza
•Hamu ya kutimiza malengo..n.k.
Kama mimi nilikuwa naona aibu nilivyokuwa nataka kuanza biashara ya kuuza spare za pikipiki na oil nikiwa na mtaji wa laki 5 tu baada ya kuwa nimeanza ndani ya mwezi mmoja tua rafiki yangu yeye nilisoma naye shule ya msingi akaja kunitembelea kibandani kwangu alivyofika akashangaa mimi nimefikiria nini kuanza biashara hiyo huku ningeweza kuomba kazi nikapata nikamjibu nimeomba kazi sana na jkt nimefanya usahili hatua ya mwisho mkoani nikafanyiwa zengwe na wanaoweza tukaongea mengi akasema nitakupatia kiasi uongezee mtaji ukipata faida utanirudishia pesa yangu nikashukuru lakini sikuwa na imani naye siku iliyofuata akaniletea milioni 2 cash ndani ya mfuko mweusi nilipanic lakini baadae nilitulia nikaongeza mtaji na duka likakua gafla namshukuru mungu kwa sasa nimeshampatia pesa yake nipo nakomaaa na mambo ambayo sikusomea na wala nilikuwa siyajui afadhali kwa sasa nina mahali naamkia siyo kama enzi zile...kwa sasa nina miezi kumi katika kazi hii ya kuuza spare za pikipiki na oil
 
Mi nipo chuo na tayar nimeshajiajiri Sasa iv nakula shumbwela tu hata ikitokea nimemaliza chuo Leo sitowaza kuhusu ajira na Wala sitarudi nyumbani kugombania vipande vya muogo na wadogo zangu....

Ushauli kwa wanachuo: how can I employee my self?? "Change your words" change your Life. Utaona mwenyewe utakavyobadilika kimaisha......
Lastly..kwa wote do the thing to day that your future will thank you for.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mimi nilikuwa naona aibu nilivyokuwa nataka kuanza biashara ya kuuza spare za pikipiki na oil nikiwa na mtaji wa laki 5 tu baada ya kuwa nimeanza ndani ya mwezi mmoja tua rafiki yangu yeye nilisoma naye shule ya msingi akaja kunitembelea kibandani kwangu alivyofika akashangaa mimi nimefikiria nini kuanza biashara hiyo huku ningeweza kuomba kazi nikapata nikamjibu nimeomba kazi sana na jkt nimefanya usahili hatua ya mwisho mkoani nikafanyiwa zengwe na wanaoweza tukaongea mengi akasema nitakupatia kiasi uongezee mtaji ukipata faida utanirudishia pesa yangu nikashukuru lakini sikuwa na imani naye siku iliyofuata akaniletea milioni 2 cash ndani ya mfuko mweusi nilipanic lakini baadae nilitulia nikaongeza mtaji na duka likakua gafla namshukuru mungu kwa sasa nimeshampatia pesa yake nipo nakomaaa na mambo ambayo sikusomea na wala nilikuwa siyajui afadhali kwa sasa nina mahali naamkia siyo kama enzi zile...kwa sasa nina miezi kumi katika kazi hii ya kuuza spare za pikipiki na oil
Mungu ni mwema sana aisee,.juhudi na nia ya dhati ina malipo,Mungu azidi kukuonekania katika utafutaji wako..
 
Kama mimi nilikuwa naona aibu nilivyokuwa nataka kuanza biashara ya kuuza spare za pikipiki na oil nikiwa na mtaji wa laki 5 tu baada ya kuwa nimeanza ndani ya mwezi mmoja tua rafiki yangu yeye nilisoma naye shule ya msingi akaja kunitembelea kibandani kwangu alivyofika akashangaa mimi nimefikiria nini kuanza biashara hiyo huku ningeweza kuomba kazi nikapata nikamjibu nimeomba kazi sana na jkt nimefanya usahili hatua ya mwisho mkoani nikafanyiwa zengwe na wanaoweza tukaongea mengi akasema nitakupatia kiasi uongezee mtaji ukipata faida utanirudishia pesa yangu nikashukuru lakini sikuwa na imani naye siku iliyofuata akaniletea milioni 2 cash ndani ya mfuko mweusi nilipanic lakini baadae nilitulia nikaongeza mtaji na duka likakua gafla namshukuru mungu kwa sasa nimeshampatia pesa yake nipo nakomaaa na mambo ambayo sikusomea na wala nilikuwa siyajui afadhali kwa sasa nina mahali naamkia siyo kama enzi zile...kwa sasa nina miezi kumi katika kazi hii ya kuuza spare za pikipiki na oil
Umepata rafiki mwenye moyo wa kujitoa zaidi ya ndugu na huyo ndio ndugu yako wa dhati mshikilie sana sio watu wote wana moyo huo
 
Kusema ni rahisi sana, iko mbali sana na uhalisia!

Tusiwajaze watu matumaini hewa. Yeye kama ana passion ya kujiajiri aende tu huko ila pia kama anaajirika aende huko pia!

Ingekuwa kuajiriwa ni kubaya leo tungekuwa na maskini wengi kuliko tulionao leo.

Wengi ambao wamejiajiri ni ama hawakuwa na sifa za kiajiriwa katika ngazi aliyoitamania ama waliajiriwa wakapata ajali ktka ajira hizo na hivyo kutumia upande wa pili kujiari.

Ila asikudanganye mtu, kuajiriwa ni poa zaidi ili upatacho ukiweke katika kuajiri wengine.
Kuajiriwa ni poa zaidi kama huna ndoto kubwa maishani. Kuna level flani ya maisha hutaweza kuifikia ila kuna ambao hawajaajiriwa wataifikia na utawashuhudia. Pia utakuwa unaishi maisha flani ya utumwa wa kuamka kila asubuhi na jioni. Kwa mtazamo wangu ajira nzuri ni kwa level ya Ukurugenzi ama uwe mwanasiasa ndio walau unaeza ishi life la maana kama wabunge na wateule wengine kama ma balozi.

Ila kwa kuwa wabongo wengi tuna hulka ya kuridhika mapema na hatupendi kashikashi ndio maana ajira inaonekana mkombozi. Mtu aajiriwe alipwe hela kidogo ya kula na kubadilisha nguo. Anakopa mkopo wa gari anaendelea kujibana na kahela kale kale aweke wese kisha anakatwa we hadi deni likiisha. Anapanda daraja kazini, anakopa ya kujengea nyumba. Akimaliza anaoa mke na kuanza familia yake anaendelea kulipa ada mpaka umri wa kustaafu. Hii ndio kama formula ya wabongo ya kuishi!
 
We umeongea kweli sana. Hakika utakuwa experienced, maana ile hali ya kwamba flani atanionaje. Flani atasemaje ndio shida kubwa ya mtu aliemaliza chuo.
Kujiajiri yataka ujasiri mwingi sana hasa kwa wenye elimu ya vyeti hupata shida sana kuingia kwenye kujiajiri no hadi kuja kuzoea

Adui mkubwa wa kuanza kujiajiri ni AIBU na UOGA uliopitiliza ukivishinda hivi lazima utusue tu na baada ya kujiajiri kinachotakiwa ukishinde ni KUKATA TAMAA kwani kwenye kujiajiri kuna changamoto kubwa sanaaa, ukishinda hivyo hakika umaskini utausikia tu.
 
Kuajiriwa ni poa zaidi kama huna ndoto kubwa maishani. Kuna level flani ya maisha hutaweza kuifikia ila kuna ambao hawajaajiriwa wataifikia na utawashuhudia. Pia utakuwa unaishi maisha flani ya utumwa wa kuamka kila asubuhi na jioni. Kwa mtazamo wangu ajira nzuri ni kwa level ya Ukurugenzi ama uwe mwanasiasa ndio walau unaeza ishi life la maana kama wabunge na wateule wengine kama ma balozi.

Ila kwa kuwa wabongo wengi tuna hulka ya kuridhika mapema na hatupendi kashikashi ndio maana ajira inaonekana mkombozi. Mtu aajiriwe alipwe hela kidogo ya kula na kubadilisha nguo. Anakopa mkopo wa gari anaendelea kujibana na kahela kale kale aweke wese kisha anakatwa we hadi deni likiisha. Anapanda daraja kazini, anakopa ya kujengea nyumba. Akimaliza anaoa mke na kuanza familia yake anaendelea kulipa ada mpaka umri wa kustaafu. Hii ndio kama formula ya wabongo ya kuishi!
Tena kwenye kundi hili sio wengi
 
Nilichogundua katika maisha ni kwamba wajasiliamali wengi walianza biashara tangu wakiwa wadogo. Hili huwajenga sana maana wanapitia changamoto nyingi ambazo zinawajenga sana na kufanya wawe na discipline . Kwa ambao hawajapitia hili wengi wanahitaji uthubutu wa hali ya juu kitu ambacho watu wengi hawana.
 
Back
Top Bottom