Hebu nishirikishe zaidi mkuu ulianzia wapiNilivyomaliza chuo sikuchukua vyeti..nikaamini maamuzi niliyoyafanya kufanya mambo binafsi
Natamani unge-share safari yako yote ya ujasiriamali..VIP ilianza,kipi kiliku-motivate,chanllages na jinsi gani uli-overcome all that..Kwangu mm vitu ni vingi mnooo vilivyopelekea kuvitunza vyeti vyangu kwenye sanduku LA chuma,..lakini hivi ndivyo nilianza navyo;
•Uthubutu
•Kuvua aibu/kutojali nitaonekanaje
•Kujiamini kuwa nitaweza
•Hamu ya kutimiza malengo..n.k.
Hi bravo,.nikiandika hapa nitachosha wengine,.ila kama ujuavyo safari yoyote katika maisha haikosi changamoto,vikwazo,na hata maumivu wakati mwingine lakini hivi vyote ni kama chachu tuu ya kukufikisha salama safari yako.Natamani unge-share safari yako yote ya ujasiriamali..VIP ilianza,kipi kiliku-motivate,chanllages na jinsi gani uli-overcome all that..
#Muungwana_John
Uko sahihi kabisa, kusoma for now ni wastage of timeWakuu mje kunitia moyo. Mimi nimemaliza form six mwaka huu. Ila naona ndoto yangu ya ujasiriamali ni kubwa kuliko kupoteza miaka 3 chuo na kozi zisizona uhalisia.
kinyume chake ndio sahihi. nitarudi kujazia nyama baada ya mwaka huu au kabla!Shida ikikomaa Aibu na aupga huondoka. Kinacho sababisha watu washindwe kujiajiri ni Uoga mkuu na Aibu kuu watu waliyo nayo. Aibu ya watanionaje.
Kujiajiri ni kugumu sana na inahitajika uvumilivu wa kiwango cha mwisho kabisa.
Bila uvumilivu bora tu mtu akatafute kaza za kufanya.
Watu wengi hujiajiri huku wanatuma application za kazi maana yake hapo unakuta uvumilivu usha washinda
Kama mimi nilikuwa naona aibu nilivyokuwa nataka kuanza biashara ya kuuza spare za pikipiki na oil nikiwa na mtaji wa laki 5 tu baada ya kuwa nimeanza ndani ya mwezi mmoja tua rafiki yangu yeye nilisoma naye shule ya msingi akaja kunitembelea kibandani kwangu alivyofika akashangaa mimi nimefikiria nini kuanza biashara hiyo huku ningeweza kuomba kazi nikapata nikamjibu nimeomba kazi sana na jkt nimefanya usahili hatua ya mwisho mkoani nikafanyiwa zengwe na wanaoweza tukaongea mengi akasema nitakupatia kiasi uongezee mtaji ukipata faida utanirudishia pesa yangu nikashukuru lakini sikuwa na imani naye siku iliyofuata akaniletea milioni 2 cash ndani ya mfuko mweusi nilipanic lakini baadae nilitulia nikaongeza mtaji na duka likakua gafla namshukuru mungu kwa sasa nimeshampatia pesa yake nipo nakomaaa na mambo ambayo sikusomea na wala nilikuwa siyajui afadhali kwa sasa nina mahali naamkia siyo kama enzi zile...kwa sasa nina miezi kumi katika kazi hii ya kuuza spare za pikipiki na oilKwangu mm vitu ni vingi mnooo vilivyopelekea kuvitunza vyeti vyangu kwenye sanduku LA chuma,..lakini hivi ndivyo nilianza navyo;
•Uthubutu
•Kuvua aibu/kutojali nitaonekanaje
•Kujiamini kuwa nitaweza
•Hamu ya kutimiza malengo..n.k.
Mungu ni mwema sana aisee,.juhudi na nia ya dhati ina malipo,Mungu azidi kukuonekania katika utafutaji wako..Kama mimi nilikuwa naona aibu nilivyokuwa nataka kuanza biashara ya kuuza spare za pikipiki na oil nikiwa na mtaji wa laki 5 tu baada ya kuwa nimeanza ndani ya mwezi mmoja tua rafiki yangu yeye nilisoma naye shule ya msingi akaja kunitembelea kibandani kwangu alivyofika akashangaa mimi nimefikiria nini kuanza biashara hiyo huku ningeweza kuomba kazi nikapata nikamjibu nimeomba kazi sana na jkt nimefanya usahili hatua ya mwisho mkoani nikafanyiwa zengwe na wanaoweza tukaongea mengi akasema nitakupatia kiasi uongezee mtaji ukipata faida utanirudishia pesa yangu nikashukuru lakini sikuwa na imani naye siku iliyofuata akaniletea milioni 2 cash ndani ya mfuko mweusi nilipanic lakini baadae nilitulia nikaongeza mtaji na duka likakua gafla namshukuru mungu kwa sasa nimeshampatia pesa yake nipo nakomaaa na mambo ambayo sikusomea na wala nilikuwa siyajui afadhali kwa sasa nina mahali naamkia siyo kama enzi zile...kwa sasa nina miezi kumi katika kazi hii ya kuuza spare za pikipiki na oil
Umepata rafiki mwenye moyo wa kujitoa zaidi ya ndugu na huyo ndio ndugu yako wa dhati mshikilie sana sio watu wote wana moyo huoKama mimi nilikuwa naona aibu nilivyokuwa nataka kuanza biashara ya kuuza spare za pikipiki na oil nikiwa na mtaji wa laki 5 tu baada ya kuwa nimeanza ndani ya mwezi mmoja tua rafiki yangu yeye nilisoma naye shule ya msingi akaja kunitembelea kibandani kwangu alivyofika akashangaa mimi nimefikiria nini kuanza biashara hiyo huku ningeweza kuomba kazi nikapata nikamjibu nimeomba kazi sana na jkt nimefanya usahili hatua ya mwisho mkoani nikafanyiwa zengwe na wanaoweza tukaongea mengi akasema nitakupatia kiasi uongezee mtaji ukipata faida utanirudishia pesa yangu nikashukuru lakini sikuwa na imani naye siku iliyofuata akaniletea milioni 2 cash ndani ya mfuko mweusi nilipanic lakini baadae nilitulia nikaongeza mtaji na duka likakua gafla namshukuru mungu kwa sasa nimeshampatia pesa yake nipo nakomaaa na mambo ambayo sikusomea na wala nilikuwa siyajui afadhali kwa sasa nina mahali naamkia siyo kama enzi zile...kwa sasa nina miezi kumi katika kazi hii ya kuuza spare za pikipiki na oil
Kuajiriwa ni poa zaidi kama huna ndoto kubwa maishani. Kuna level flani ya maisha hutaweza kuifikia ila kuna ambao hawajaajiriwa wataifikia na utawashuhudia. Pia utakuwa unaishi maisha flani ya utumwa wa kuamka kila asubuhi na jioni. Kwa mtazamo wangu ajira nzuri ni kwa level ya Ukurugenzi ama uwe mwanasiasa ndio walau unaeza ishi life la maana kama wabunge na wateule wengine kama ma balozi.Kusema ni rahisi sana, iko mbali sana na uhalisia!
Tusiwajaze watu matumaini hewa. Yeye kama ana passion ya kujiajiri aende tu huko ila pia kama anaajirika aende huko pia!
Ingekuwa kuajiriwa ni kubaya leo tungekuwa na maskini wengi kuliko tulionao leo.
Wengi ambao wamejiajiri ni ama hawakuwa na sifa za kiajiriwa katika ngazi aliyoitamania ama waliajiriwa wakapata ajali ktka ajira hizo na hivyo kutumia upande wa pili kujiari.
Ila asikudanganye mtu, kuajiriwa ni poa zaidi ili upatacho ukiweke katika kuajiri wengine.
Kujiajiri yataka ujasiri mwingi sana hasa kwa wenye elimu ya vyeti hupata shida sana kuingia kwenye kujiajiri no hadi kuja kuzoea
Adui mkubwa wa kuanza kujiajiri ni AIBU na UOGA uliopitiliza ukivishinda hivi lazima utusue tu na baada ya kujiajiri kinachotakiwa ukishinde ni KUKATA TAMAA kwani kwenye kujiajiri kuna changamoto kubwa sanaaa, ukishinda hivyo hakika umaskini utausikia tu.
Nimekupenda 😍Kwangu mm vitu ni vingi mnooo vilivyopelekea kuvitunza vyeti vyangu kwenye sanduku LA chuma,..lakini hivi ndivyo nilianza navyo;
•Uthubutu
•Kuvua aibu/kutojali nitaonekanaje
•Kujiamini kuwa nitaweza
•Hamu ya kutimiza malengo..n.k.
Tena kwenye kundi hili sio wengiKuajiriwa ni poa zaidi kama huna ndoto kubwa maishani. Kuna level flani ya maisha hutaweza kuifikia ila kuna ambao hawajaajiriwa wataifikia na utawashuhudia. Pia utakuwa unaishi maisha flani ya utumwa wa kuamka kila asubuhi na jioni. Kwa mtazamo wangu ajira nzuri ni kwa level ya Ukurugenzi ama uwe mwanasiasa ndio walau unaeza ishi life la maana kama wabunge na wateule wengine kama ma balozi.
Ila kwa kuwa wabongo wengi tuna hulka ya kuridhika mapema na hatupendi kashikashi ndio maana ajira inaonekana mkombozi. Mtu aajiriwe alipwe hela kidogo ya kula na kubadilisha nguo. Anakopa mkopo wa gari anaendelea kujibana na kahela kale kale aweke wese kisha anakatwa we hadi deni likiisha. Anapanda daraja kazini, anakopa ya kujengea nyumba. Akimaliza anaoa mke na kuanza familia yake anaendelea kulipa ada mpaka umri wa kustaafu. Hii ndio kama formula ya wabongo ya kuishi!