Uliwezaje kuacha kumuwaza ex wako

Ni kama hukujua umuhimu wake au ulimchukulia poa sana
Sasa hata ukishindwa kumsahau ulishampoteza na aliyempata kashafanya yake. Endelea kutafuta utapata tuu atakayekufaa

Bado sijaachana na huyu niliye naye. Hopeful, she gonna replace the memories of my ex. Kuna mtu alinishauri kufuta namba yake nikafuta, picha nikafuta na mawasiliano nikakata lakini kuna wakati nammiss hadi basi tu. I hate those memories

Happy dude
 
Pole sana. Usifanye tena kosa la kumwacha mtu aliyekupenda kweli bila sababu za msingi.
Kuna mtu unaweza kum replace lakini ukampata asiyeweza kufanana nae au kufanya aliyokua akiyafanya. Kila la heri
 
Ahsantee sana mkuu, kumpata ambaye anafanana naye haiwezekani ila basi ngoja nijibebee ili mradi siku ziende japo hili suala linanisibu

Happy dude
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom