Je, umewahi sikia kuhusu hifadhi iliyo na miti mikubwa zaidi Duniani?

Polycarp Mdemu

Senior Member
Jun 2, 2019
165
209
Hii inaitwa KHAO PHRABAT NATIONAL PARK huko Jimbo la Tak nchini Thailand.

Katika Hifadhi hii ndipo ilipovumbuliwa miti mikubwa Duniani, Miti hii ina urefu wa Mita 70 (kwa sasa) lakini hapo mwanzo ilipokuwa hai ilikuwa na Urefu wa mita 100, Na inasemekana Miti hii ilikuwepo miaka 800,000 iliyopita.

Polycarp Mdemu
FB_IMG_1594286469822.jpeg
FB_IMG_1594286473719.jpeg
FB_IMG_1594286476097.jpeg
 
Miaka laki nane iliopita, kwani ki kalenda huu mwaka wa ngapi tangu hii miaka ianze.
 
Miti mikubwa au mirefu maana majuzi tumeona mti mkubwa USA
 
Ingekuwepo Bongo hiyo Miti kitambo wangekuwa tayari washaikata Mbao au Kuichoma Mkaa.
 
Miti mikubwa zaidi duniani ipo katika hifadhi ya Sequoia National Park huko California Marekani. Hii miti ni mikubwa mno na inatisha kabisa ukiwa chini yake. Nilishuhudia ukiwa chini ya miti hiyo inajisikia kama ka-sisimizi hivi.
1594297225273.png
1594297326415.png
1594297362228.png
 
Sijui exposure yangu ndogo au nina shida tu na hao jamaa wanaofanya tafiti na kuweka records kwenye Guinness Book of Records

Tembelea kwa mfano Wilaya za Kilombero na Mahenge kama waelekea Mahenge Mjini au Kata ya Mwaya, angalia Mlima Nyani na Mlima Nyoka uone urembo wa uoto wa asili wenye ukijani unaopendeza mnoo na miti mirefu sana inayoanzia bondeni kwenye mto hadi kukaribia mlima wa futi mia tisa au elfu moja

Nina hakika hii miti hii mirefu ina miaka miingi sana. Ama watafiti hawafiki kwetu au sisi hatujaitangaza vyema rasilimali hii adimu na adhimu
 
Miti mikubwa zaidi duniani ipo katika hifadhi ya Sequoia National Park huko California Marekani. Hii miti ni mikubwa mno na inatisha kabisa ukiwa chini yake. Nilishuhudia ukiwa chini ya miti hiyo inajisikia kama ka-sisimizi hivi.
View attachment 1502014View attachment 1502015View attachment 1502016
Chakwanza inachokubidi uwaze ni,
Je hiyo miti ina miaka mingapi hapo ilipo? pili hiyo miti unayoiongelea ina urefu wa Mita hafi 100?

Ukiwaza hayo ndio utaelewa kwanini hiyo miti imehifadhiwa.
 
Sijui exposure yangu ndogo au nina shida tu na hao jamaa wanaofanya tafiti na kuweka records kwenye Guinness Book of Records

Tembelea kwa mfano Wilaya za Kilombero na Mahenge kama waelekea Mahenge Mjini au Kata ya Mwaya, angalia Mlima Nyani na Mlima Nyoka uone urembo wa uoto wa asili wenye ukijani unaopendeza mnoo na miti mirefu sana inayoanzia bondeni kwenye mto hadi kukaribia mlima wa futi mia tisa au elfu moja

Nina hakika hii miti hii mirefu ina miaka miingi sana. Ama watafiti hawafiki kwetu au sisi hatujaitangaza vyema rasilimali hii adimu na adhimu
Kama hiyo miti ina Mita 100 jiulize ina miaka mingapi?
 
Na wala sijakwambia kua ni wewe...uwe weww au wao lakini ni chumvi ya uvinza
Wakiwa Wao huwezi wakatalia, Kwa sababu hiyo kitu nimeitoa kwenye Archeology websites, Sasa ukienda wakatalia nenda na Evidence, Maana Hoja hupingwa kwa Hoja, Archeologists wakubali, wabobezi wa haya mambo wakubali, wewe ukatae!
 
Watu wengi sana hudanganyika na kigezo cha fulani alisoma,huwezi mkatalia...ndiyo maana wengi wa hao uwasemao hushindwa kuishi kwa uhalisia,na hufeli kuishi kwa kufuata hizo elimu,wengi wa wale wanaoishi kiuhalisia huishi maisha ya kweli japo hudharauliwa,ktk hili kuna kushughulisha tu akili yako na si kukaririshwa, by the way mi sijaja kubishana isipokua we amini mi nakataa, yamkini pia unaamini ulitokana na sokwe kabla hujawa binadamu..mauongo makubwa haya
Wakiwa Wao huwezi wakatalia, Kwa sababu hiyo kitu nimeitoa kwenye Archeology websites, Sasa ukienda wakatalia nenda na Evidence, Maana Hoja hupingwa kwa Hoja, Archeologists wakubali, wabobezi wa haya mambo wakubali, wewe ukatae!
 
Watu wengi sana hudanganyika na kigezo cha fulani alisoma,huwezi mkatalia...ndiyo maana wengi wa hao uwasemao hushindwa kuishi kwa uhalisia,na hufeli kuishi kwa kufuata hizo elimu,wengi wa wale wanaoishi kiuhalisia huishi maisha ya kweli japo hudharauliwa,ktk hili kuna kushughulisha tu akili yako na si kukaririshwa, by the way mi sijaja kubishana isipokua we amini mi nakataa, mauongo makubwa haya
Ulishawahi Fuatilia hata baadhi ya Artifacts zilizovumbuliwa huko Ancients Egypt, Zilikuwa na miaka mingapi?

Je Majeneza yaliyovumbuliwa hapo juzi kati misri yalikuwa na miaka Mingapi?

Kama kupitia Archeology huwa tunaamini ujinga wa kuwa adam na Eva waliishi Tz utasemaje hiyo miti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom