Uliwahi kutongozwa hivi au kutongoza??

dah
i style aliitumia bacha wakat anantokea miaka ya 1970 mwanzon..

Na kiukweli ilinisaidia, kwani nilifanikiwa kupata mzigo bila zengwe!!!Hivi ile barua niyokuandikiaga bado unayo tu?mmmh kweli dia unajua kutunza nyaraka!!!
 
ubovu w hiyo njia ya kutongoza, hiyo barua uidondoshe aipate mtu ambaye si muhusika, yahani inakuwa the comedy letter, akiipata muhusika aaaaaaaaah! inakuwa pouwa kabisa. so be care kakakiiza
 
Na kiukweli ilinisaidia, kwani nilifanikiwa kupata mzigo bila zengwe!!!Hivi ile barua niyokuandikiaga bado unayo tu?mmmh kweli dia unajua kutunza nyaraka!!!
ipo kwenye album seblen pale juu ya kichanja cha vyombo...:target::target:
 
Bado zinatumia sema system ndo imebadilika badala ya karatasi na kalamu sasa ni simu za viganjani
 
Dah ilikuwa tamu sana hiyoooo, ikiwekwa kwenye bahasha inawekwa na poda poda inapiliziwa na Pafyum kwa mbalii basi mzee ukiipata kwenli una smell LOVE hahhaahah vijana wa leo hamjafaudu badoooo
 
tulikuwa tunapaka na yale marashi ya AYU unayakumbuka

Hivi kipindi kile chauro wakati nakutongoza, nakumbuka ulikuwa unanukia manukato mazuri sana kumbe ilikuwa ni AYU!Duh, una kumbukumbu kweli!!!
 
Sitasahau niliandikiwa barua ya mapenzi kabla haijanifikia maza yangu akaikamata aliepewa aliweka sehem ya wazi, maza kuja room sijui alionaje afu wa maza wazamani walivokua ma mbogo akikuhisi tu kitu anakukagua mzee kama ulisha wahi, nikikumbuka hua nacheka sana maza aliakua mbogo kinyama jamani eeh.
 
Back
Top Bottom