Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Nimeshuhudia ndoa yenye kuwaunganisha watu hawa wawili maarufu kwa majigambo Tanzania,
Mke akiwa Mhaya, Mme awe Mnyakyusa, yaani utafurahii kuona video ya mkandara bila kiingilio!
Wanajua kutamba hata kama hawana mia mfukoni!
Kwaujumla ndoa ya hawa watu ni burudani sana kuiangalia!