Uliwahi kushuhudia ndoa ya Mhaya na Mnyakyusa?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Nimeshuhudia ndoa yenye kuwaunganisha watu hawa wawili maarufu kwa majigambo Tanzania,

Mke akiwa Mhaya, Mme awe Mnyakyusa, yaani utafurahii kuona video ya mkandara bila kiingilio!

Wanajua kutamba hata kama hawana mia mfukoni!

Kwaujumla ndoa ya hawa watu ni burudani sana kuiangalia!
 
..., hivi awa ndiyo wanaitwa mwakisyala vs dada wa rutashobya?
 
Nimeshuhudia ndoa yenye kuwaunganisha watu hawa wawili maarufu kwa majigambo Tanzania,

Mke akiwa Mhaya, Mme awe Mnyakyusa, yaani utafurahii kuona video ya mkandara bila kiingilio!

Wanajua kutamba hata kama hawana mia mfukoni!

Hivi basil mramba,masiringi,ngereja,makamba,malima jr,william malecella,sophia simba etc,..etc....ni wanyakyusa ama wahaya....!...huu ni ujuha na chuki ndio umekuongoza kuandika hii thread.
 
Kashfa gani tena Mkuu! Jamaa ameziona tambo za hizo jamii ndio akatushirikisha! Mbona kuna kaukweli flan!?

ameziona wapi..kama ni tambo mbona watu wote wamejaa tambo huku mjini...i.e hata wa..kwere na wandengereko nao ni full tambo...ngalele fijo
 
Hivi basil mramba,masiringi,ngereja,makamba,malima jr,william malecella,sophia simba etc,..etc....ni wanyakyusa ama wahaya....!...huu ni ujuha na chuki ndio umekuongoza kuandika hii thread.

Hao wote uliwahi kuwaona wakiwa katika maisha yakawaida ya ndoa zao?

Nadhani hao umewaona katika maisha yao ya kisiasa!

Hapa ni ndoa sio siasa mkuu
 
Yeah...ni uzao wa akina nyenyere.

Hilo linauhusiano gani?

Umeambiwa kuwa sisi nii malaika?

Sisi ni watu wakawaida tena wa hali ya chini kiuchumi na wa wastani kifikra!

Kipi hujaelewa kwenye uzi huu?
 
nimeurudia na kuusoma vizuri,..nimegundua haujawahi kuwaona ila ume_hadithiwa,..nawe ukaamua kuleta hapa

Furaha ya kitu huwa haidithiwi na mpokeaji akasadifu utamu uleule!

Hata Sheikhe Yahya haukuwa na ubashiri kama wako mkuu!

Wewe ni Muhaya au Mnyakyusa, nisije kuwa na ongea na Mkikuyu asiejua ya mtz!
 
Back
Top Bottom