Uliwahi kupotea Masaki?

Ismoo

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
1,038
1,457

Attachments

  • 20210912_103429.jpg
    20210912_103429.jpg
    16.6 KB · Views: 6
Nyuzi hizi kila siku haya
Yani hata mimi nashangaa watu kupotea bongo wakati mimi nilipoteaga Beverly hills na Malibu California niliponunua mansion zangu mpya mitaa iyo. Kasumba iyo pia ilinitokea Geneva uswisi niliponununua condemenium. Juzi juzi tu nilikuwa na business trip dubei nikapotea kabisa kwenye properties zangu nazomiliki palm Jumeirah.
 
bila shaka wewe ni mhaya
 
MAHAYA
 
Bangi zitakuua wewe...:D:D:D:D
 
Wakuu Habarini za mchana.

Naamini mko poa, kama mtu hauko poa nakuombea urejee kwenye hali yako ya kawaida. Bila kupoteza wakati nimeamua kushea kisa hiki cha kupotea ili kama na wewe imewahi kukukuta utupe ABCD ilikuwaje na ulijinasuaje kwenye huo mtiti..

Binafsi nili wahi potea nikiwa na mwanangu mmoja kawe beach, mwaka 2019 tulitaka tutembee mpaka masaki, ambako tulikuwa hatupafahamu ili tulijue Jiji vilivyo. Bwana eeh... hatukujua tu, tulifanya makosa makubwa sana.

kwani hiyo masaki tulifika basiii.... Tulianza kutembea saa 6 mchana mpaka saa 1 usiku hatuja fika masaki na tulivyo ghairi kwenda msaki tukaamua kuelekea morroco tukaanza kuitafuta njia inayo weza kutufikisha Morocco nayo tukaikosa, sito sahau

Bahati nzuri katika pita pita zile tukakutana na jamaa mmoja alikuwa fundi rangi tukamuuliza njia ya kwenda Morocco ni ipi...?

Akatuambia mbona mnaelekea baharini sasaa...? nakumbuka hayo maeneo yalikuwa pale village supermarket msaki, karibu na Tanganyika International school. (kwa sasa ni master sipotei kindezi)

Yule jamaa alikuwa msaada mkubwa sana kwetu. Mungu ali bariki tulitoboa ila hapo dira kichwani ilitoweka kabisa maana hatukuwa tunaelewa mashariki wala magharibi yaani kwa ufupi hatukujua tunakokwenda, niki kumbuka huwa nacheka sana.

kwa sasa naishi huku huku masaki niliko potea miaka mi 3 nyuma. View attachment 1940235
Mwandiko wa rpc kingai huu
 
Back
Top Bottom