Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,095
103,347
Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda.

Nikashuka stendi nikamwambia boda nipeleke lodge nzuri nzuri. Baadaye nikaona nisichemke ngoja nimshirikishe mwenyeji wangu. Mwenyeji wangu sikuwa nafahamiana naye wala kuonana. Kwa vile alijua ile kazi ni ya kibosi sana akaamini natakiwa kulala hotel yenye hadhi. Akamwelekeza boda pa kunipeleka.

Kufika daaah, nakuta hotel kali ghorofa kadhaa. Nje napokelewa na mabendera ya nchi mbalimbali.

Nikamwambia bodaboda mmenileta cha kike. Muhudumu mrembo kabisa akaja kunipokea nikiwa mchafu vumbi na kabegi mgongoni kama nimetoka kuchimba mitaro.

Nikamwambia boda usiondoke lolote linaweza kutokea. Tayari muhudumu akawa amenihukumu kwamba sina uwezo wa kulala pale. Akaniambia lakini kaka hapa chumba ni kuanzia elfu 50!

Nikamwambia mimi sijauliza bei nimeuliza chumba. Kufika reception kila mtu anaonyesha wasiwasi huyu mteja kapotea. Basi nikamwambia nataka chumba cha juu.

Akanijibu tuangalie tu vya chini kule juu ni kuanzia elfu 70. Nikaona aaaahhhh japo nilitaka chumba cha 20 ila hapa inabidi niweke heshima tu bila kujali chochote.

Nikachukue chumba cha 70. Nikarudi mapokezi kwenye watu wengi walionitilia mashaka. Nikaanza kulipa bills kwa sauti.

Nikawaambia sikilizeni, ninakaa siku 2 nitalipa 140,000 yote, halafu dada chukua buku 10, mlipe boda buku ya nauli na buku 4 ya kunisubiri. Halafu elfu 5 baki nayo umenipokea vizuri nimepenta, lakini mwambie boda naomba namba yake.

Ndugu msomaji yote hayo niliyafanya kulinda heshima dhidi ya wajinga wachache ambao walinihukumu kwa mwonekano.

Lakini pia kujitabiria mambo makubwa mbeleni kwamba ipo siku nitakaa meza moja na wakuu, nitakula na wakuu na nitalala lodge moja na wakuu.

Je, ulishawahi kufanya jeuri ya pesa hata kama huna kingi, ili kulinda heshima yako au kujitabiria ukuu?!!
 
Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda.

Nikashuka stend nikamwambia boda nipeleke lodge nzuri nzuri. Baadae nikaona nisichemke ngoja nimshirikishe mwenyeji wangu. Mwenyeji wangu sikuwa nafahamiana naye wala kuonana. Kwa vile alijua ile kazi ni ya kibosi sana akaamini natakiwa kulala hotel yenye hadhi. Akamwelekeza boda pa kunipeleka.

Kufika daaah, nakuta hotel kali ghorofq kadhaa nje napokelewa na mabendera ya nchi mbalimbali.

Nikamwambia bodaboda mmenileta cha kike. Muhudumu mrembo kabisa akaja kunipokea nikiwa mchavu vumbi na kabegi mgongoni kama nimetoka kuchimba mitaro.

Nikamwambia boda usiondoke lolote linaweza kutokea. Tayari muhudumu akawa amenihukumu kwamba sina uwezo wa kulala pale. Akaniambia lakini kaka hata chumba ni kuanzia elfu 50!

Nikamwambia mimi sijauliza bei nimeuliza chumba. Kufika reception kila mtu anaonyesha wasiwasi huyu mteja kapotea. Basi nikamwambia nataka chumba cha juu.

Akanijibu tuangalie tu vya chini kule juu ni kuanzia elfu 70. Nikaona aaaahhhh japo nilitaka chumba cha 20 ila hapa inabidi niweke heshima tu bila kujali chochote.

Nikachukue chumba cha 70. Nikarudi mapokezi kwenye watu wengi walionitilia mashaka. Nikaanza kulipa bills kwa sauti.

Nikawaambia sikilizeni, ninakaa siku 2 nitalipa 140,000 yote, halafu dada chukua buku 10, mlipe boda buku ya nauli na buku 4 ya kunisubiri. Halafu elfu 5 baki nayo umenipokea vizuri, lakini mwambie boda naomba namba yake.

Ndugu msomaji yote hayo niliyafanya kulinda heshima dhidi ya wajinga wachache ambao walinihukumu kwa mwonekano.

Lakini pia kujitabiria mambo makubwa mbeleni kwamba ipo siku nitakaa meza moja na wakuu, nitakula na wakuu na nitalala lodge moja na wakuu.

Je, ulishawahi kufanya jeuri ya pesa hata kama huna kingi, ili kulinda heshima yako au kujitabiria ukuu?!
kendo lodge. Ni vzr kulinda heshima wkt mwingine hasa pale unapoku

Je, ulishawahi kufanya jeuri ya pesa hata kama huna kingi, ili kulinda heshima yako au ku
Hapo sio Mkendo lodge kweli? Ulifanya vizuri, wakati mwingine kulinda heshima ni vzr hasa unapokuwa underrated
 
Asallee miaka hyo ndo kwanzaa nmepata kazi ofisi ya wazungu inayosimamiwa na ngozi nyeusi kavu zaidi ya goti.

Kamshahara ka kienyeji lakini sishindwi kununua kadeti. Bwan bwana, nmeingia mkoa mapumziko mafupi ya kusalimia wazee, si nkapata pisi ya chuo. Manka flani rangi ya mtume kingledha kingi, punde si punde ni birthday yake. MSela wangu akaniambia haitakua poa usipotimba, bora twende tukatie baraka. Mwamba bila hiyana, gari la kuazima, nkatia na wese haooo na mwanangu kwenda kuchukua watoto twende tukaenjoy maskukuuu.

Picha linaanza nmefka hostel kwao najua wanatoka wawili (yaan pisi yangu na ya msela), ghafla zkatoka toto 6 jumla na zimetupia mapaja njenje kama matikiti kipindi cha msimu. Maini yakacheza tumboni, nkasema ya nini kuaibika wakat ndo kwaanza nasororea hata sijamkaza? Nkawaambia panda twende, pesa iko.

Kaa ukijua manka anaamini mimi n mfanyakazi Nairobi huko kwaio nko mboga hatari. In short shangwe lilikua jingi sana, hela natoa tu maana nshaubeba msalaba kama hamonenga. Mpka saa tisa kamili nshachoma kama laki 4 na nmeambulia mabusu mengi. Kuna mda nlishusha bucket za bia ile nataka kufungua naskia kijastibikozi mmoja anasema "subiri tupige snapu". Nkamwambia snapu ya nyoko? Bia nilipie na nizingoje? Mi nkaanza kugida. Nliona bora nifidie tu hela yangu.

Kumi na moja asubuh nkiwa nmechoka sana, nkamwambia, oi, chukua fego hapo maana nna umeme, yule manzi hakuona soo kuniambia, "si imebaki hyo kaki hapo mfukoni, leta tuichukulie fegi". Siku ikaisha nkarudi na stressi. Huo mwezi kazininwatu waliteseka sana maana ilikua kichaa kapewa rungu. All in all baadae nlikuja kukula sana ile pisi. Hela yangu nilifidia yoooote kwakweli.

Mwandiko si jeuri yangu! Wahed!
 
Aisee, kuna wadada fulani hivi nilikuwa nimekaa mgahawa mmoja hivi mitaa ya nyumbani wakawa wananiangalia kwa dharau na ka-simu changu cha techno na beer yangu ngumu ya Safari ninayokunywa.

Dharau zilipozidi nikaona kuna parking space karibu na walipo, nikahamishia mashine yangu, makusudically ili wajitafakari upya.

Aisee, wakaanza kumuambia waitress niwanunulie vinywaji na vitu vingine kumbe hawajui kuna mzigo wangu unakuja nadhani ulipoingia heshima ikaongezeka maradufu.

Nadhani walijifunza wasihukumu kitabu kwa kuangalia jalada lake.
 
Asallee miaka hyo ndo kwanzaa nmepata kazi ofisi ya wazungu inayosimamiwa na ngozi nyeusi kavu zaidi ya goti.
Kamshahara ka kienyeji lakini sishindwi kununua kadeti.
Bwan bwana, nmeingia mkoa mapumziko mafupi ya kusalimia wazee, si nkapata pisi ya chuo. Manka flani rangi ya mtume kingledha kingi, punde si punde ni birthday yake.
MSela wangu akaniambia haitakua poa usipotimba, bora twende tukatie baraka.
Mwamba bila hiyana, gari la kuazima, nkatia na wese haooo na mwanangu kwenda kuchukua watoto twende tukaenjoy maskukuuu.
Picha linaanza nmefka hostel kwao najua wanatoka wawili (yaan pisi yangu na ya msela), ghafla zkatoka toto 6 jumla na zimetupia mapaja njenje kama matikiti kipindi cha msimu.
Maini yakacheza tumboni, nkasema ya nini kuaibika wakat ndo kwaanza nasororea hata sijamkaza? Nkawaambia panda twende, pesa iko.
Kaa ukijua manka anaamini mimi n mfanyakazi Nairobi huko kwaio nko mboga hatari.
In short shangwe lilikua jingi sana, hela natoa tu maana nshaubeba msalaba kama hamonenga. Mpka saa tisa kamili nshachoma kama laki 4 na nmeambulia mabusu mengi. Kuna mda nlishusha bucket za bia ile nataka kufungua naskia kijastibikozi mmoja anasema "subiri tupige snapu". Nkamwambia snapu ya nyoko? Bia nilipie na nizingoje? Mi nkaanza kugida. Nliona bora nifidie tu hela yangu.
Kumi na moja asubuh nkiwa nmechoka sana, nkamwambia, oi, chukua fego hapo maana nna umeme, yule manzi hakuona soo kuniambia, "si imebaki hyo kaki hapo mfukoni, leta tuichukulie fegi".
Siku ikaisha nkarudi na stressi. Huo mwezi kazininwatu waliteseka sana maana ilikua kichaa kapewa rungu.
All in all baadae nlikuja kukula sana ile pisi. Hela yangu nilifidia yoooote kwakweli.
Mwandiko si jeuri yangu! Wahed!
Kijastibikozi 😅😅
 
Aisee, kuna wadada fulani hivi nilikua nimekaa mgahawa mmoja hivi mitaa ya nyumbani wakawa wananiangalia kwa dharau na ka-simu changu cha techno na beer yangu ngumu ya Safari ninayo kunywa.

Dharau zilipozidi nikaona kuna parking space karibu na walipo, nika hamishia mashine yangu, makusudically ili wajitafakari upya.

Aisee, wakaanza kumuambia waitress niwanunulie vinywaji na vitu vingine kumbe hawajui kuna mzigo wangu unakuja nadhani ulipoingia heshima ikaongezeka maradufu.

Nadhani walijifunza wasihukumu kitabu kwa kuangalia jalada lake.
Na chuma ilikua ist tu kaka ila ulivyovimba ni kama unasukuma audi Q7
 
Ndugu msomaji yote hayo niliyafanya kulinda heshima dhidi ya wajinga wachache ambao walinihukumu kwa mwonekano.
Hii inakubalika kabisa, Mimi nilikuwa Kasulu, nikawa na mazoea kwenda Bar kuangalia mpira, Kila nikienda pale naagiza maji, basi wahudumu wakawa wananipotezea. Hawana mzuka wa kunihudumia.

Basi, nikarudi Tena nakumbuka ilikuwa game ya Simba, wakagoma kunipa hata Kiti, akanihudumia Dada mmoja hakuwa na makuu, kwa hasira nikaagiza Castle Light 20. Nikamwambia Kaa hapa, hizi ni za kwako na yule mwenzio aliyenihudumia Jana.

Hahahahaha 🤪 sometimes you got to fight to prove you're a Man (Kenny G)
 
Back
Top Bottom