Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Mimi na mshikaji wangu tulikuwa na tabia ya kuopoa totoz za chuo kila weekend tunaenda kula bata.

Siku moja tupo kiwanja, wakajipendekeza marafiki wa mademu zetu na wao walikuwa kiwanja hicho, na walikuwa pisi kali kwelikweli, tukaona ngoja tuweke heshima ili na wao tuwaburuze kimasihara...

Tulitumia sana.. tukachukua usafiri kuwarudisha, muda wa kulipa nauli ndio mshikaji wangu alipoharibu hali ya hewa..

Alijisachi akapata mshituko akasema kwa nguvu MUNGU wangu nimekula hela ya kodi sijui nitamueleza nini yule mzee, wale mademu wakabaki wanashangaa.

Heshima ikawa fedheha
 
Ukiwa na uwezo wa kusema Hapana, maisha hayatakuwa magumu kamwe.

Sio lazima ujilazimishe uonekane tajiri wakati huna uwezo, utaishia kuaibika mwenyewe rohoni.

Kama kitu sina uwezo nako, naondoka kimya kimya mambo yasiwe mengi.

Hakuna haja ya kujionesha kwa watu nina uwezo ilihali sina. Na mbaya zaidi watu wenyewe siwafahamu na sitakaa nionane nao milele.
 
Mimi na mshikaji wangu tulikuwa na tabia ya kuopoa totoz za chuo kila weekend tunaenda kula bata.

Siku moja tupo kiwanja, wakajipendekeza marafiki wa mademu zetu na wao walikuwa kiwanja hicho, na walikuwa pisi kali kwelikweli, tukaona ngoja tuweke heshima ili na wao tuwaburuze kimasihara...

Tulitumia sana.. tukachukua usafiri kuwarudisha, muda wa kulipa nauli ndio mshikaji wangu alipoharibu hali ya hewa..

alijisachi akapata mshituko akasema kwa nguvu MUNGU wangu nimekula hela ya kodi sijui nitamueleza nini yule mzee, wale mademu wakabaki wanashangaa.

Heshima ikawa fedheha

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Niwe na pesa au nisiwe nazo, uhuru wangu na kujitambua mwenyewe nataka nini ni muhimu kuliko kujali nitaonekanaje na walimwengu wanataka nini.

Kama heshima yako inalindwa na pesa, huna heshima, hiyo ni gharama tu.

Nina tabia ya kutoa pesa kumaliza shida, si kutafuta heshima.

Pia, hata kama unajali walimwengu wanakuonaje, unaweza kufikiri unaweka heshima kwa kutumia pesa kubwa, halafu watu wakakudharau kwa kukuona mjinga huna pesa halafu unajitutumua kujionesha unazo.

Unanunua dharau kwa bei kubwa.
 
Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda.

Nikashuka stend nikamwambia boda nipeleke lodge nzuri nzuri. Baadae nikaona nisichemke ngoja nimshirikishe mwenyeji wangu. Mwenyeji wangu sikuwa nafahamiana naye wala kuonana. Kwa vile alijua ile kazi ni ya kibosi sana akaamini natakiwa kulala hotel yenye hadhi. Akamwelekeza boda pa kunipeleka.

Kufika daaah, nakuta hotel kali ghorofq kadhaa nje napokelewa na mabendera ya nchi mbalimbali.

Nikamwambia bodaboda mmenileta cha kike. Muhudumu mrembo kabisa akaja kunipokea nikiwa mchavu vumbi na kabegi mgongoni kama nimetoka kuchimba mitaro.

Nikamwambia boda usiondoke lolote linaweza kutokea. Tayari muhudumu akawa amenihukumu kwamba sina uwezo wa kulala pale. Akaniambia lakini kaka hata chumba ni kuanzia elfu 50!

Nikamwambia mimi sijauliza bei nimeuliza chumba. Kufika reception kila mtu anaonyesha wasiwasi huyu mteja kapotea. Basi nikamwambia nataka chumba cha juu.

Akanijibu tuangalie tu vya chini kule juu ni kuanzia elfu 70. Nikaona aaaahhhh japo nilitaka chumba cha 20 ila hapa inabidi niweke heshima tu bila kujali chochote.

Nikachukue chumba cha 70. Nikarudi mapokezi kwenye watu wengi walionitilia mashaka. Nikaanza kulipa bills kwa sauti.

Nikawaambia sikilizeni, ninakaa siku 2 nitalipa 140,000 yote, halafu dada chukua buku 10, mlipe boda buku ya nauli na buku 4 ya kunisubiri. Halafu elfu 5 baki nayo umenipokea vizuri, lakini mwambie boda naomba namba yake.

Ndugu msomaji yote hayo niliyafanya kulinda heshima dhidi ya wajinga wachache ambao walinihukumu kwa mwonekano.

Lakini pia kujitabiria mambo makubwa mbeleni kwamba ipo siku nitakaa meza moja na wakuu, nitakula na wakuu na nitalala lodge moja na wakuu.

Je, ulishawahi kufanya jeuri ya pesa hata kama huna kingi, ili kulinda heshima yako au kujitabiria ukuu?!!
Japo stori yako ni ya kutunga(uongo) ila una nia ya kweli ndio maana umeweka profile ya mwamedi hapo ili nawe siku moja uwe kama yeye
 
Niko na toto la Nai tunapigiana simu tu tukaahidiana tu meet easter holiday, zile skukuu zinaongozana siku kama nne hvi, sasa nikakata zangu ticket presisheni ya go pekeake ilikua kama laki saba hivi, kurudi nitarudi zangu na tahmeed sio kesi,

Basi siku ya safari imefika naenda zangu airport kwa mbwembwe huku na ma whasap video kalling na mchuchu, naye alikuwa ndio yuko saluni anatengeneza nywele a bling bling aje kunipokea Jomo Kenyata ashawapanga na mabeshte zake,

Ile kufika airport tu muda wa check inn ulishapita na milango ishafungwa, mzee baba full kupanik omba sana wakaniambia ni amend ticket nipande ndege nyingine, nikamweleza mchuchu akaniambia nisimuongeleshe ye anachojua mi nafika leo yaani alishajikoki, Mzee nikatoka kwa nje pale mpaka kaunta ya presesheni namkuta mdada, akaangalia akaniambia ndege ipo ya saa moja ila nafasi ilikuepo ni bizness klass!
Dooh nikacheki na mchumchu akaniambia yaani nisimuongeleshe kitu chochote na atashika simu tu nikiwa kwa ndege.

Mzee baba nikamuuliza niongeze ngapi dada mhudumu akajibu laki saba Halahaulaaaa!
Kulinda heshima nikaenda pale kuna magari magari ya atm nikatoa akiba yangu nilioweka inilinde nikirudi nikavurua nikakata, ikabidi niisubirie palepale imagine toka saa tisa hadi saa kumi na mbili!
 
Subiri kidogo

Nakumbuka kuna mchizi wangu aliambia kuna demu kamtongoza halafu siku hiyo amempa mwaliko wa Birthday party viwanja flani town so mchizi wangu aliomba scot yangu.

Kilichotokea niliondoka na huyo demu wake baada birthday kuisha na urafiki ukaisha hadi leo.

Ilikuwa hivi, baada ya kufika pale mimi nilikuwa pembeni pembeni tu kwasababu sina ninaemjua ukiacha nilivyotambulishwa kwa shem mwenye party yake tu basi so, mchizi wangu akawa yupo bize na demu wake tu

Ghafla kukawa kuna vikao vya dharula huku sura za waalikwa Azi-relate na tukio husika kumbe bwana yule demu mwenye ile party kuna rafiki yake alimpa pesa kwa ajili ya lile eneo la shughuli kakimbia na hela na party imeanza mwenye ukumbi anasema siwajui ondokeni kabla sijaita polisi😅😅😅😅 wapuuzi wakubwa

Ghafla tukajikuta tupo watatu mimi na jamaa wangu na shem sasa ikapelekea niulize swali maana yule jamaa wangu ni ROFAA tu watu wa vijiweni vijiweni wale... NI KIASI GANI CHA PESA YA UKUMBI KINAHITAJIKA HAPA? Shemu akajibu ni laki na 80 tu na hapa mimi nina elfu 50 tu.

Mwanaume nikaona mbona ni hela chumvi tu nikamwabia JAMES [ mwanangu] mimi nalipia unasemaje? Daah mwanangu we lipia tutajua cha kufanya. Nikatoa wallet nikatoa mia hamsini cash nikampa James huku demu Anaona. Si-unajua sisi watoto wa mjini atutembei kama MAITI.... kimoyomoyo hapo nasema..🥴🥶🥶

Itaendelea

Kiukweli yule demu alikuwa ni mtamu sana sijapata kuona alikuwa analia vilio vyote halafu ni mdogo mdogo nilijilia vyangu usiku ule siwezi kusahau.
 
Niko na toto la Nai tunapigiana simu tu tukaahidiana tu meet easter holiday, zile skukuu zinaongozana siku kama nne hvi, sasa nikakata zangu ticket presisheni ya go pekeake ilikua kama laki saba hivi, kurudi nitarudi zangu na tahmeed sio kesi,

Basi siku ya safari imefika naenda zangu airport kwa mbwembwe huku na ma whasap video kalling na mchuchu, naye alikua ndio yuko saluni anatengeneza nywele a bling bling aje kunipokea Jomo kenyata ashawapanga na mabeshte zake,

ile kufika airport tu mda wa check inn ulishapita na milango ishafungwa, mzee baba full kupanik omba sana wakaniambia ni amend ticket nipande ndege nyingine, nikamweleza mchuchu akaniambia nisimuongeleshe ye anachojua mi nafika leo yaani alishajikoki, Mzee nikatoka kwa nje pale mpaka kaunta ya presesheni na mkuta mdada, akaangalia akaniambia ndege ipo ya saa moja ila nafasi ilikuepo ni bizness klass!
Dooh nikacheki na mchumchu akaniambia yaani nisimuongeleshe kitu chochote na atashika simu tu nikiwa kwa ndege,

Mzee baba nikamuuliza niongeze ngapi dada mhudumu akajibu laki saba Halahaulaaaa!
Kulinda heshima nikaenda palekuna magari magari ya atm nikatoa akiba yangu nilioweka inilinde nikirudi nikavurua nikakata, ikabidi niisubirie palepale imagin toka saa tisa hadi saa kumi nambili!
Duuuh hasaraa juu ya hasaraaa
 
2015 iliwahi kunitokea kwenye msiba wa babu.
Babu yetu alikuwa na wake watatu hivyo kufanya wajukuu tuwe wengi sana kwa haraka haraka si chini ya 60. Sasa ujinga wetu ni tunashirikiana kipindi cha misiba tu.

Pia tuna matabaka ya urafiki, wale ambao wapo fresh kiuchumi ndio marafiki na wale wa kawaida ivo ivo hata kutembeleana

Sasa mimi na dogo langu mmoja hivi(mtoto wa mama mdogo kwa bibi mwingine) tupo kivyetu tu, sio uchumi wala kielimu yaani tunajijua wenyewe na ndio angalau tumeishi kule bush kwa babu hivyo kutufanya tuwe maarufu kuliko wengine huko kwa upande wa wanaume.

Ujinga ukaanzia kwenye kunyonyoa kuku na kusaidia kazi msibani, ndugu zetu wanajifanya wa mjini et hata kunyonyoa kuku hawawezi, wanachofanya ni kutusifia tu mimi na huyo dogo et tunanyonyoa kuku vizuri.

Tukawa tunajiuliza na dogo je kunyonyoa kuku kuna utalamu gani, tukaona hapa ni ujinga, wao ni kufata vitu dukani na gari basi. Tena kuna mgari fulani hivi mbovu ikifika time ya kuni, dogo anambiwa aliendeshe yeye.

Tukagundua kuwa hawa wanatuchukulia poa, tena enzi hizo hata hatuna ajira ila harakati zetu tunakula na kuvaa fresh bila kusumbua mtu na totozi tunahudumia.

Siku tunamaliza msiba ndio yalinikuta mazito wakati wa kikao

Kuna dada yetu mtoto wake alikuwa anasomeshwa na babu na sisita huyu aliishi pale baada ya kufeli life huko Zambia, yaani kifupi alikuwa ni mtu anaehitaji msaada na bila hivyo dogo asingefanya pepa.

Kutokana na matabaka yetu watu wakawa wazito kukunjua nafsi kumchangia dada hata hada dogo amalize shule maana alikua form four na pesa iliyobakia ni 1M tu.

Ili kuweka heshima nikanyosha mkono baada ya kuona ukimya, nikasema hili jambo si la mjadala kwakuwa huyu alikuwa anasomeshwa na babu, na babu kafariki na tumekuja kumzika, hatuwezi kuwa tumemsindikiza kwa aman kama vitu alivyoanzisha vinaishia pabaya na madume yote haya tupo, dada zetu wapo.

Nikatoa laki 2 pale pale, nikasema mimi naanzia, na wengine muendelee.

Wakashtuka hao, basi mchango ukaendelea pale na kunae mwamba huyo akasema hizo pesa mpen dada yeye atamsomesha.

Baadae wakanza kuulizia siku hizi nipo wapi na nafanya nini, mara ooh chuo ulimaliza basi najibu kimwamba fulani.

Ila badae nilijuta sana mana pale pesa yangu ilikuwa 70k tu, zingine zilikuwa za boss wake dogo alimuagiza mchele tunaporudui Dar na hiyo 70 ilikuwa ya nauli ya kurudi Dar. Ilibidi tuombe mchele kwa ndugu na kudandia fuso wakati wa kurudi Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda.

Nikashuka stend nikamwambia boda nipeleke lodge nzuri nzuri. Baadae nikaona nisichemke ngoja nimshirikishe mwenyeji wangu. Mwenyeji wangu sikuwa nafahamiana naye wala kuonana. Kwa vile alijua ile kazi ni ya kibosi sana akaamini natakiwa kulala hotel yenye hadhi. Akamwelekeza boda pa kunipeleka.

Kufika daaah, nakuta hotel kali ghorofq kadhaa nje napokelewa na mabendera ya nchi mbalimbali.

Nikamwambia bodaboda mmenileta cha kike. Muhudumu mrembo kabisa akaja kunipokea nikiwa mchavu vumbi na kabegi mgongoni kama nimetoka kuchimba mitaro.

Nikamwambia boda usiondoke lolote linaweza kutokea. Tayari muhudumu akawa amenihukumu kwamba sina uwezo wa kulala pale. Akaniambia lakini kaka hata chumba ni kuanzia elfu 50!

Nikamwambia mimi sijauliza bei nimeuliza chumba. Kufika reception kila mtu anaonyesha wasiwasi huyu mteja kapotea. Basi nikamwambia nataka chumba cha juu.

Akanijibu tuangalie tu vya chini kule juu ni kuanzia elfu 70. Nikaona aaaahhhh japo nilitaka chumba cha 20 ila hapa inabidi niweke heshima tu bila kujali chochote.

Nikachukue chumba cha 70. Nikarudi mapokezi kwenye watu wengi walionitilia mashaka. Nikaanza kulipa bills kwa sauti.

Nikawaambia sikilizeni, ninakaa siku 2 nitalipa 140,000 yote, halafu dada chukua buku 10, mlipe boda buku ya nauli na buku 4 ya kunisubiri. Halafu elfu 5 baki nayo umenipokea vizuri, lakini mwambie boda naomba namba yake.

Ndugu msomaji yote hayo niliyafanya kulinda heshima dhidi ya wajinga wachache ambao walinihukumu kwa mwonekano.

Lakini pia kujitabiria mambo makubwa mbeleni kwamba ipo siku nitakaa meza moja na wakuu, nitakula na wakuu na nitalala lodge moja na wakuu.

Je, ulishawahi kufanya jeuri ya pesa hata kama huna kingi, ili kulinda heshima yako au kujitabiria ukuu?!!
Nilikuwa na elfu kumi na tano mfukoni nikasema Leo acha nisumbue dalali wa viwanja na nyumba.
Nikamcheki dalali nikamwambia nahitaji kiwanja Cha Kati ya milioni 2 Hadi 4.
Akasema anavyo viwanja vingi ila kunitembeza gharama yake ni ten nikasema poa.
Kanitembeza weee kila kiwanja nasema sijaridhika nacho baadae kanipeleka kwenye kiwanja kibaya nikasema nataka hiki hiki.
Tukakubaliana kesho yake anitafute tufanye malipo ilivyofika kesho nikachomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati fulani mwaka juzi nikawa na safari ya kikazi Musoma. Sikuwahi kufika Musoma kabla kwa hiyo sikuwa mwenyeji wa maeneo nilitegemea boda.

Nikashuka stend nikamwambia boda nipeleke lodge nzuri nzuri. Baadae nikaona nisichemke ngoja nimshirikishe mwenyeji wangu. Mwenyeji wangu sikuwa nafahamiana naye wala kuonana. Kwa vile alijua ile kazi ni ya kibosi sana akaamini natakiwa kulala hotel yenye hadhi. Akamwelekeza boda pa kunipeleka.

Kufika daaah, nakuta hotel kali ghorofq kadhaa nje napokelewa na mabendera ya nchi mbalimbali.

Nikamwambia bodaboda mmenileta cha kike. Muhudumu mrembo kabisa akaja kunipokea nikiwa mchavu vumbi na kabegi mgongoni kama nimetoka kuchimba mitaro.

Nikamwambia boda usiondoke lolote linaweza kutokea. Tayari muhudumu akawa amenihukumu kwamba sina uwezo wa kulala pale. Akaniambia lakini kaka hata chumba ni kuanzia elfu 50!

Nikamwambia mimi sijauliza bei nimeuliza chumba. Kufika reception kila mtu anaonyesha wasiwasi huyu mteja kapotea. Basi nikamwambia nataka chumba cha juu.

Akanijibu tuangalie tu vya chini kule juu ni kuanzia elfu 70. Nikaona aaaahhhh japo nilitaka chumba cha 20 ila hapa inabidi niweke heshima tu bila kujali chochote.

Nikachukue chumba cha 70. Nikarudi mapokezi kwenye watu wengi walionitilia mashaka. Nikaanza kulipa bills kwa sauti.

Nikawaambia sikilizeni, ninakaa siku 2 nitalipa 140,000 yote, halafu dada chukua buku 10, mlipe boda buku ya nauli na buku 4 ya kunisubiri. Halafu elfu 5 baki nayo umenipokea vizuri, lakini mwambie boda naomba namba yake.

Ndugu msomaji yote hayo niliyafanya kulinda heshima dhidi ya wajinga wachache ambao walinihukumu kwa mwonekano.

Lakini pia kujitabiria mambo makubwa mbeleni kwamba ipo siku nitakaa meza moja na wakuu, nitakula na wakuu na nitalala lodge moja na wakuu.

Je, ulishawahi kufanya jeuri ya pesa hata kama huna kingi, ili kulinda heshima yako au kujitabiria ukuu?!!
Inaitwaje hiyo lodge mkuu nna safari huko j4
 
subiri kidogo

Nakumbuka kuna mchizi wangu aliambia kuna demu kamtongoza halafu siku hiyo amempa mwaliko wa Birthday party viwanja flani town so mchizi wangu aliomba scot yangu.

kilichotokea niliondoka na huyo demu wake baada birthday kuisha na urafiki ukaisha hadi leo

ilikuwa hivi baada ya kufika pale mimi nilikuwa pembeni pembeni tu kwasababu sina ninaemjua ukiacha nilivyotambulishwa kwa shem mwenye party yake tu basi so, mchizi wangu akawa yupo bize na demu wake tu

Ghafla kukawa kuna vikao vya dharula huku sura za waalikwa Azi-relate na tukio husika kumbe bwana yule demu mwenye ile party kuna rafiki yake alimpa pesa kwa ajili ya lile eneo la shughuli kakimbia na hela na party imeanza mwenye ukumbi anasema siwajuhi ondokeni kabla sijaita polisi😅😅😅😅 wapuuzi wakumbwa

ghafla tukajikuta tupo watatu mimi na jamaa wangu na shem sasa ikapelekea niulize swali maana yule jamaa wangu ni ROFAA tu watu vijiweni wale ... NI KIASI GANI CHA PESA YA UKUMBI KINAHITAJIKA HAPA ? shemu akajibu ni laki na 80 tu na hapa mimi nina elfu 50 tu.

Mwanaume nikaone mbona ni hela chumvi tu nikamwabia JAMES [ mwanangu ] mimi nalipia unasemaje ? daah mwanangu we lipia tutajua cha kufanya. nikatoa wallet nikatoa mia hamsini cash nikampa james huku demu Anaona Si-unajua sisi watoto wa mjini atutembei kama MAITI.... kimoyomoyo hapo nasema..🥴🥶🥶

itaendelea

kiukweli yule demu alikuwa ni mtamu sana sijapata kuona alikuwa analia vilio vyote halafu ni mdogo mdogo nilijilia vyangu usiku ule siwezi kusahau
Kwamba hutembei km maiti😂😂 Mungu anakuona sio kwa kututukana huko loh
 
Back
Top Bottom