Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Kipindi kile cha Amber rutty na video zake za kuliwa 0713 zilikua zikisambaa watsapp sana kama kawa nikadownload nikaangalia nikadahau kuzifuta maza akaomba simu sjui afanyie nn ghafla akagusa gusa akaipost me sina A wala B alooh kuja kurudishiwa sm nakutana na msg kibao aah nliskia Aibu sana
Duh kwanz maza ailioona na VIP reaction ya watu? Then nn kilifuata
 
Kipindi kile cha Amber rutty na video zake za kuliwa 0713 zilikua zikisambaa watsapp sana kama kawa nikadownload nikaangalia nikadahau kuzifuta maza akaomba simu sjui afanyie nn ghafla akagusa gusa akaipost me sina A wala B alooh kuja kurudishiwa sm nakutana na msg kibao aah nliskia Aibu sana
Mama aliomba simu ili aangalie video ya Amber Rutty.

Akajaribu kujitumia.

Badala yake akaiset status.

Alivyoona inaload na kuandika sending status akajua kideo kinazama simuni mwake mapema tu.

turns out alimix code.

Mama yetu anazidi miaka 50?
 
Kipindi kile cha Amber rutty na video zake za kuliwa 0713 zilikua zikisambaa watsapp sana kama kawa nikadownload nikaangalia nikadahau kuzifuta maza akaomba simu sjui afanyie nn ghafla akagusa gusa akaipost me sina A wala B alooh kuja kurudishiwa sm nakutana na msg kibao aah nliskia Aibu sana
Uache tabia mbaya
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom