Uliwahi kulala usiku na kuhisi uwepo kitu au mtu pamoja nawe kumbe ilikuwa ni ndoto tu?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,701
9,934
Wakati mtu akiwa amelala kuna muda huanza kuona vitu asivyovielewa kama mizimu/watu au kitu pembeni yao na ghafla anaamka ukiwa na hofu huku akifikiri ilikuwa ni ndoto mbaya.

Basi kulingana na Wataalamu wa mambo wajulikanao kama paranomal experts wanasema inapotokea hali hiyo ni kwamba mtu huyo anakuwapo katika maono halisia kwa namna ya kitofauti.

Ni roho kweli hujitokeza na zinajaribu kuwasiliana na mtu huyo lakini kutokana na miili ya kibinadamu kuwa dhaifu, roho ya mtu hujikataa na kumuamsha haraka toka usingizini kwa usalama wake.
 
😀😀😀😀😀. Aina aina ya maono na kuna aina yo ndoto pia. Lazima ujue kutofautisha ndoto na moaono wakati mwingine itakusaidia kujua nini kimetokea.

Mfano hicho unacho elezea, ni closed vision na ndio maana mwisho wa siku unaona kama umeshtuka kutoka usingizini, ila ki uharisia ulikuwa kwenye state mbili kutokana na uchanga wa kiroho unashindwa tafsiri lugha ya mwili wa roho na huu wa damu na nyama.

Ki uhariai maono hayo unayo ona ni harisi na unacho ona ni harisi, ila kutokana na capacity yako ya rohoni unashindwa handle na ku process unacho ona na kujua nini cha kufanya, aina yoyote ya usumbufu kwenye nafsi unapelekea maono kukata.. ikiwa pamoja na hofu
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom