Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada..

Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo

Binafsi nina visa viwili..

1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda tanga kufuta penzi, safari hii sikufanikiwa kula mzigo mara ya pili katika safari hiyohiyo (siku tofauti) nikula mzigo wa toto la kitanga

2. Dodoma-kahama, nilienda kwa mtoto mkali wa kinyamwezi (mwenyeji wa tabora makazi yake kahama) ambaye nilikutana naye social network nijisevia week nzima nikarudi nikiwa nimefurahia penzi la kinyamwezi

wanaJF ,ni umbali gani ulitumia kufuata penzi umbali mrefu bila ya kujali gharama/muda?
Duuu, zenji dar mkuu. Shuka nami,

Nikiwa chuo mwaka wa pili, nilikua nimepanga kitaa na na washkaji zangu wawili, mmoja kutoka Moro town chalii wa kinyamwezi ila walowezi wa moro, na mdigo mmoja alolowea korogwe.

Mshkaji wa moro alikua na demu wake anatesoma form five alfa gems hapo moro, ila cha kushangaza simu kwao ilikua ni kawaida mana mwamba alikua naongea na mtoto karibu kila siku usiku kuanzia saa nne na kuendelea pale tu wanapotoka prepo.

Siku moja usiku mwana akawa anaongea na huyo demu wake, mara simu yake nyingine ikaita anapigiwa na demu wake mwingine mwanachuo mwenzetu, akamwambia demu ongea na mwana hapa nikajisaidie chap, haikua siku ya kwanza kuongea naye, nilishaongea naye mara kadhaa hivyo ilikua ni utani wa hapa na pale kama shemeji, na wakati huo mwana kaenda nje kuongea na huyo demu mwingine, nikawa naskia kelele, nikamwambia mbona kelele, hebu niunganishe na mtoto mmoja mkaliii mwenye kelele hapo nimtulize. Ebwana nilipewa mtoto mmoja ana sauti kinanda, yaani ile ya madame Wema asubiri, duu, kuna watoto wana sauti wallah, Mungu fundi hakika. Nikapiga naye stori mbili tatu, sikupoteza muda, nikaomba namba ya simu, akaniambia nimtajie yangu, chap nikamtajia akaniambia atanibip na yake inaishia 93, yule shemeji yangu alivyorudishiwa simu tu, mara kwenye simu yangu ikaingia meseji kutoka namba 0714.........93. Ilisomeka "mambo" samira(si jina lake halisi) ndo alilonitambulisha muda ule tunaongea. Mwamba akaingia nikamuaga yule shemeji yangu na kumpa mwamba aendelee naye.

Nikaanza kuchart na Samira, hadi saa sita kuanzia majira yale ya saa nne, ikawa ndo tendance kila siku tunawasiliana ndo tushakuwa wapenzi wa kwenye simu. Kila siku maahadi kibao. Wakafunga shule akarudi kwao Kibaha. Akaomba aende dar kwa dada yake ili apate kusoma tuisheni, kipindi hicho nasi hatujafunga chuo, ila wiki moja kabla ya wao kufungua shule nasi tukapata likizo fupi, kwaiyo yule mwanangu akaenda moro ila mi mambo yakawa magumu sikuweza kutoka.

Samira alikua anaishi kwa dada yake kimara, kwaiyo nikamchana kuwa siwezi kuja dar kwa kuwa sina pesa na boom bado, akalalamika sana akisema simpendi, akasema kama nampenda ningekopa ili nidnde dar tuonane japo tufaidi tunda la kati. Nikamweleza sina wa kumuomba pesa mana cycle yangu ni ya wanachuo ambao wote tunategemea boom. Akaniuliza nauli bei gani? By then 2012 ilikua ni 23, 000/- economy class kwenye boti za azam, akaniambia nikuazime pesa ya ada ambayo nishapewa na dingi nikalipe benki?? Nikijua hataweza kufanya hivyo, nikajikuta namjibu ndiyo niazime. Akaniuliza bei gani nikuazime, nikamwambia elfu sabini. Akasema poa, akakata simu
Kama masikhara nikasikia kale kamlio ka meseji ka simu za nokia, ngenge ngenge. Kucheki simu mzigo umeingia 73, 000/-.

Yaani nikajihisi kama naelea hewani, kwa kweli sikua nimepanga kwenda dar, na nikahisi kuwa sitoweza kumlipa ile pesa na ntamsababishia matatizo tu huko shule. Nikiwa kwenge mawazo hayo
Mara akapiga simu, akaniuliza nimeona pesa nikamjibu ndiyo, tukapiga stori mbili tatu akaulizia ratiba za boti nikamuelezea akataka nitoke na boti ya kwanza saa moja ili saa tatu niwe nishafika mjini daslam. Nikamwambia poa poa, ilikua majira ya saa kumi hivi alasiri. Tukaagana nikawa nawaza sasa huu msala naukwepaje, nikampigia yule mwanangu wa moro nikampa mchongo mzima, akanitukana sana, dogo nenda kale mtoto huyo. Kumbuka sijawahi kuonana naye, hicho ndo kitu kingine kilichonipa wasi wasi wa kufuata mbususu dar. Hadi usiku saa nne tunaongea nikamchana asubuhi nitakuja, ila hata ile pesa sijaitoa kwenye simu, asubuhi akanipigia saa 12, niliiona simu yake lakini sikupokea, nikatulia kama dk 10 nikampigia nikamwambia nilikua naoga nianze safari. Baada ya hapo nikaendelea zangu kulala.

Saa mbili akanipigia sikupokea, ndo nikaamka nikaenda kuoga, ila bado nilikua mzito wa safari ile, ila nikawa nishawacheki wanangu wanaosoma UDSM kwamba naweza kuja dar kwaiyo nitafikia magetoni mwao. Wakasema fresh mwanagu haina wenge hiyo.
Nikajiandaa vizuri hadi saa tatu nikawa road, akapiga tena sikupokea, nilivyofika tauni nikatoa ile pesa kwa wakala nikampigia, nikamwambia nilikua tauni nimechelewa boti ya saa tatu, mana tiketi ziliisha tangu jana, kwaiyo napambania ya saa tano.

Kwahiyo nikakata tiketi ya saa tano, nikawa nakula zangu fegi tu maeneo ya malindi na mji mkongwe nikisubiri saa tano niingie chomboni, hapo simu zinaingia sana za mtoto kutoka dar na ashanipa muelekeo wa gest niitafute maeneo gani, aliniambia nitafute gest maeneo ya barabara ya morogoro ili iwe rahisi yeye kurudi home kwa urahisi mana dada yake alikua anaishi kimara.

Saa tano nikaingia chomboni baada ya uhakiki wa tiketi na protoco nyingine kukamilika tukaanza safari, salama salimini tukaingia dar. Nikawa nimeshawasiliana na wanangu wakanielekeza wanaishi maeneo ya temeke nikaunganisha kwa wana. Nilivyofika nikampigia nikamwambia tufanye kesho mana saiv saa nane inaelekea saa tisa kwaiyo tufanye kesho, akalaumu pale, hakutaka kunisikiliza akakata simu, nami nikajilaza zangu kimyaa.

Nimechoka wanangu ngoja nitulie kidogo kama dk 15 hivi
 
Huuu uoga n wa mini mkuu ulikua nao ulikua unahis Jin nn ama??
 
Ha ha haa,naona umeamua ubebe thread ya mwenzio iwe yako..maana hapa wengine tunasubiri mwendelezo aisee
 
Binafsi huwa nafuatwa na wanawake au niseme huwa nawaagiza then wanakuja.
Huwa natuma na nauli kabisa then naletewa😂😂😂
Mfano wa safari hizo ni
Dar to Mwanza (kwa basi)
Dar to Morogoro (kwa basi)
Mwanza to Dar (kwa ndege)
Dodoma to Tabora (kwa basi)
....... Ni hayo tu kwa leo
 
Vp mbona umepotea!!? Dk 15 bdo tu??
 
Binafsi huwa nafuatwa na wanawake au niseme huwa nawaagiza then wanakuja.
Huwa natuma na nauli kabisa then naletewa
Mfano wa safari hizo ni
Dar to Mwanza (kwa basi)
Dar to Morogoro (kwa basi)
Mwanza to Dar (kwa ndege)
Dodoma to Tabora (kwa basi)
....... Ni hayo tu kwa leo
Ivi mwanza to dar kwa mwewe inacost Kama sh ngap boss
 
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada..

Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo

Binafsi nina visa viwili..

1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda tanga kufuta penzi, safari hii sikufanikiwa kula mzigo mara ya pili katika safari hiyohiyo (siku tofauti) nikula mzigo wa toto la kitanga

2. Dodoma-kahama, nilienda kwa mtoto mkali wa kinyamwezi (mwenyeji wa tabora makazi yake kahama) ambaye nilikutana naye social network nijisevia week nzima nikarudi nikiwa nimefurahia penzi la kinyamwezi

wanaJF, ni umbali gani ulitumia kufuata penzi umbali mrefu bila ya kujali gharama/muda?
Dar arusha na sikupata kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom