Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

Haha... Watu tunatofautiana sana... Sijawah kuacha niliachwa na demu mmoja tu.... Sijawahi kuacha tukiwa kwenye mapenzi mim ndiyo ninaekupa option nakuambia kabisa ukinichoka unaruhusiwa kuniacha.... Mim najua nikikuacha kuna kitu kinaitwa Karma.....
 
Dah ningejua nisingeifungua hii Uzi,niliachwa kimya kimya, nilipiga simu mwezi mzima lakn haikupokelewa ,enginer wa kipare go to hell
Au ulikuwa na mashauzi sana ? maana nanyi mkishatongozwaga na kuambiwa mnapendwa basi huwa mnadhani hakuna mwanamke mwingine mzuri zaidi yenu.

sijui nani kawaloga. Ukishasifiwa tu mzuri na ukiwa na kitako ndio basii .badilikeni mtaachwa sana msipokuwa makini.
 
Haha... Watu tunatofautiana sana... Sijawah kuacha niliachwa na demu mmoja tu.... Sijawahi kuacha tukiwa kwenye mapenzi mim ndiyo ninaekupa option nakuambia kabisa ukinichoka unaruhusiwa kuniacha.... Mim najua nikikuacha kuna kitu kinaitwa Karma.....
alie kuacha alikustukia kuwa we jambazi au?
 
Au ulikuwa na mashauzi sana ? maana nanyi mkishatongozwaga na kuambiwa mnapendwa basi huwa mnadhani hakuna mwanamke mwingine mzuri zaidi yenu.

sijui nani kawaloga. Ukishasifiwa tu mzuri na ukiwa na kitako ndio basii .badilikeni mtaachwa sana msipokuwa makini.
Kaka sipo hivo kabisa yaan,nilikuwa namuheshim mno, nimemsaidia mengi, sijui kuringa wala kuonyesha zarau mim ni mpole ukiniona utafikir no mlokole aliyeshika dini, mim sio muongeaji, unaweza nikera na nikacheka,
 
Back
Top Bottom