Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

Tatzo lake kukopa sana na yeye ndio ana shida muda wote
Nimeshindwa aisee nimemchana tumeachana
umaskini unakusumbua rafiki kopesha tu..mpe mpaka akome ubishi watu tunawajengea migorofa.tunawasomesha.tunawapa kazi watu km hao.migari...mpaka watoto wao tunaishi nao kwa gharama zetu!!

Ajabu sasa sijawahi pungukiwa zaidi nasonga mbele mbaya.
mmoja ninae hapa washington namsomesha bureee!!

Jiulize tangu nyerere tanzania imetoa nini kwa nchi wahisani???? Mpaka mnawatukana mnawabeza lkn uliwahi ona wameacha???

Hamjifunzi tu nyie watu? Kuna siri ktk utoaji chunguza....hamjafundishwa nyie na wazazi wenu...
 
Mim ni maskin ndugu sana
 
Tatzo lake kukopa sana na yeye ndio ana shida muda wote
Nimeshindwa aisee nimemchana tumeachana
Me ninaye mmoja nilimlipia Kodi ya nyumba myezi m 4 .. alikuja gheto akaniomba pair moja yakiatu mpaka leo hajarudisha .. juzi nimeona kapiga nacho picha ka post fb .. akiazima pesa arudishi .. sijawaig muomba kitu chochote cuz najuw hawez nipa ..dem wake aliwai ku nilaum kwanin sikumwambia km jamaa nimbinafsi kias kile .. adi leo wamesha achana .. mbaya Zaid ndugu zangu ndo watu anataka kua close nao .. Alisha wai kumkopa broh 50k alimlipaga 30k tu Tena kwa mbinde .. Yan nikionaga calls zake tu hua azina issue nyingne .. nikulalamika tu sijala toka asubui .. niazime pesa kidogo etc .. kwasasa Nina mwezi .. simpokelei sim .. nilitegemea atajiongeza ila naona nikichwa ngum cuz juz naona kaunda group la WhatsApp .. nime left tayar .. sometimes innocent people huongoza kwakupata wrong friends.. mungu anisaidie kwakweli ..
 
Urafiki wa namna hiyo huwa haudumu kabisa....Nina rafiki wa kweli mmoja tu ambaye tukienda mahala kupata huduma aidha ya chakula ama vinywaji tunafanya kuwahiana kulipa, yaani kila mtu hataki kuwa tegemezi kwa mwenzie, sikumbuki ni lini tumekopeshana fedha.
Me uyo jamaa nikitoka nae kula mgahawaini Kama nimara 10 basi Mimi ndo nalipa Mara 9 yeye atalipa Mara 1 Tena apo Mimi nikiwa Sina Ela .. namshukue mungu saiz atu hangout pamoja cuz nilipanga gheto sehem yenye umbali na ghetto lake .. saiz akipiga sim siipokei kbsa ..
 
Mie naona mna status tofaut ya maisha kua na marafiki wenye kipato/wanaojiweza kama wewe. Inaonekana wewe uko stable ndio maana una Shangaa kwanini yeye anakopa kopa. Na yeye anapitia kipindi kigumu na anaona wew ndio mtu anaweza share nae magumu yake.
Achana nae angalia size yako . Mie ndio maana hata niwe na shida vipi siombi chochote kwa rafiki zangu maana wataona kama usumbufu tu.
Kuna rafiki wenye shida ata akikuomba na huna pesa unaweza tamani ata kukopa ili umsaidie kua nashida cyo sababu yakumfanya mtu kua mtumwa wako .. ofcuz Maisha nimagumu ... Ila hii tabia yakusema ..niaze kias nitakurudishia af mwisho wasku hurudishi then ukipata shida Tena unataman mtu huyo huyo akusaidie uwo cyo urafiki .. me Kuna rafiki kabisa akiniomba hua adi nasisimka machozi yananilenga ..najuw kbsa he really mean it .. Ni the way anajitoaga kwangu ..the way tunaeshimiana .. kunacku nilimuomba mshkaji 2k kweny sms akanipigia sim akasema ..boy wew cyo wakuniomba iyo Ela .. akanitumia 10k Sasa watu Kama hawa ata siku akikuomba nilazima uguswe ..
 
basi kuanzia leo acha uchoyo.... jifunze kutoa ujishangae..kaoshe wagonjwa bure bila malipo....uone Mungu anatenda...
Kuna kutoa na kufanywa mradi .. kutoa wengi Wana moyo huo ila shetani pia hutumia uwo upenyo kwaku waleta wrong people unajikuta unatoa kwa watu wasiyo staili ili wakuumize mwisho wasiku ubadilike kias chakuto wasaidia wale watu sahihi .. na Apo shetani atakuw ameku win unaitwa mchoyo .. mwenye roh mbaya... kwaiyo Ni lazma kua Makin nawatu unao wasaidia ..
 
Me ninaye mmoja nilimlipia Kodi ya nyumba myezi m 4 .. alikuja gheto akaniomba pair moja yakiatu mpaka leo hajarudisha .. juzi nimeona kapiga nacho picha ka post fb .. akiazima pesa arudishi .. sijawaig muomba kitu chochote cuz najuw hawez nipa ..dem wake aliwai ku nilaum kwanin sikumwambia km jamaa nimbinafsi kias kile .. adi leo wamesha achana .. mbaya Zaid ndugu zangu ndo watu anataka kua close nao .. Alisha wai kumkopa broh 50k alimlipaga 30k tu Tena kwa mbinde .. Yan nikionaga calls zake tu hua azina issue nyingne .. nikulalamika tu sijala toka asubui .. niazime pesa kidogo etc .. kwasasa Nina mwezi .. simpokelei sim .. nilitegemea atajiongeza ila naona nikichwa ngum cuz juz naona kaunda group la WhatsApp .. nime left tayar .. sometimes innocent people huongoza kwakupata wrong friends.. mungu anisaidie kwakweli ..
Oya andika mwandiko wa kiume basi mbona una umauma sana maneno?
 
Back
Top Bottom