Ulishawahi kuokota fedha alafu na wewe ikakupotea?

Ze Rock

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
270
563
Wasaaalam!

Kwa kweli hapa naweza kukiri maumivu ya kupoteza hela ni makali sana ilishawahi kunitokea...

KISA CHENYEWE.......

Kuna siku kidume nimetoka zangu maskani uswahilini, nikiwa naelekea kwenye mishe zangu town. Ile kona ya kwanza ya pili daaaah! nikicheck chini nakuta noti mbili za elfu kumi, kwanza nilisimama kwa utulivu mithiri ya mtu aliyepigwa shoti ya umeme hivi, nikazicheck kama sekunde kadhaa hivi, kidume nikaziokota nikaweka mfukoni.

Nikiwa niko njiani, bunge la bajeti likaanza, washiriki wakawa wanachangia kwa weredi kabisaa kichwani, kwanza nikasema nikifika town nibadilishe aina ya kifungua kinywa yaani badala ya ile mihogo nipate japo kasupu flan hivi kazito na tuchapati kadhaa kuuchangamsha mwili kabla ya kazi, wazo hili lilipitishwa kwa shangwe sana kichwani, likapita bila kupingwa. Pili nikasema mchana nipate japo kamlo amazing na jioni nisiwasahau wapendwa wangu Maskani kwa kupitia vipande vya kuku kidume nikiwa narudi Maskani hili nalo shangwe zikawa nyingi sana kwenye kupitisha bajeti hii, nikaona bajeti imeenea na imekaa vizuri nikajikuta naanza kuimba nyimbo kwa uluzi yaani sina habari mi nakata mitaa tu. Huku kimoyo moyo najisema yaani leo hata kazi zisipotick niko good kizazi siko kinyonge hivyo yaani... Na kamuondoko automatically ukachange si unajua zile za unafanya issue alafu uhakika 100%.

Ile nimefika eneo la tukio salimia kibabe sana washkaji wa kijiwe, siku poteza muda direct kwa mama muuza supu nikamwambia nataka supu ya buku 2 na chapati tatu, akasema kama kawa hela mbele kama tai kidume nikasema sitaki dharau nikazama mfukoni, alahaula mkono ukapitiliza pyuuuu! kwanza nilitulia kidogo kwa tafakari fupi nikagundua ile suruali ilikuwa imetoboka mfuko na ile hela haikuwepo tena mfukoni, kung'uta kung'uta pale miguu kama nimevamiwa na siafu labda imenasia kwenye suruali bila bila.

Ki ukweli nilirudi kwenye bajeti ya mihogo kwa salio nililokuwa nalo mfuko mwingine kama elfu mbili hivi na ile bajeti ya bunge la kichwa changu haikuwezekana, ile siku niliumia utasema kama mimi ndiyo muhusika mkuu wa ile hela kumbe na mimi niliokota tu, sasa sijui aliyeangusha wa kwanza alikuwa na hali gani ikiwa mimi tu kuna muda najikuta nashtuka paaa! alafu kama naongea peke angu flan hivi.....Nyie acheni tu

Tupe experience yako kama ilishawahi kukutokea hali hii....

Life is too short!

#ZetuDua
 
Niliopoa m20 mwaka 1996 nikiwa Bukoba mpaka wa leo zimeniweka kwenye reli.sita sahau siku hiyo RIP mzee wangu niliyekuwa naye alinipambania sana japo nilikuwa mdogo ila nilipata haki yangu.
 
pole sana..... na Hongera pia kwa kuzutumia vizuri
 
Wasaaalam!

Kwa kweli hapa naweza kukiri maumivu ya kupoteza hela ni makali sana ilishawahi kunitokea...

KISA CHENYEWE.......

Kuna siku kidume nimetoka zangu maskani uswahilini, nikiwa naelekea kwenye mishe zangu town. Ile kona ya kwanza ya pili daaaah! nikicheck chini nakuta noti mbili za elfu kumi, kwanza nilisimama kwa utulivu mithiri ya mtu aliyepigwa shoti ya umeme hivi, nikazicheck kama sekunde kadhaa hivi, kidume nikaziokota nikaweka mfukoni.

Nikiwa niko njiani, bunge la bajeti likaanza, washiriki wakawa wanachangia kwa weredi kabisaa kichwani, kwanza nikasema nikifika town nibadilishe aina ya kifungua kinywa yaani badala ya ile mihogo nipate japo kasupu flan hivi kazito na tuchapati kadhaa kuuchangamsha mwili kabla ya kazi, wazo hili lilipitishwa kwa shangwe sana kichwani, likapita bila kupingwa. Pili nikasema mchana nipate japo kamlo amazing na jioni nisiwasahau wapendwa wangu Maskani kwa kupitia vipande vya kuku kidume nikiwa narudi Maskani hili nalo shangwe zikawa nyingi sana kwenye kupitisha bajeti hii, nikaona bajeti imeenea na imekaa vizuri nikajikuta naanza kuimba nyimbo kwa uluzi yaani sina habari mi nakata mitaa tu. Huku kimoyo moyo najisema yaani leo hata kazi zisipotick niko good kizazi siko kinyonge hivyo yaani... Na kamuondoko automatically ukachange si unajua zile za unafanya issue alafu uhakika 100%.

Ile nimefika eneo la tukio salimia kibabe sana washkaji wa kijiwe, siku poteza muda direct kwa mama muuza supu nikamwambia nataka supu ya buku 2 na chapati tatu, akasema kama kawa hela mbele kama tai kidume nikasema sitaki dharau nikazama mfukoni, alahaula mkono ukapitiliza pyuuuu! kwanza nilitulia kidogo kwa tafakari fupi nikagundua ile suruali ilikuwa imetoboka mfuko na ile hela haikuwepo tena mfukoni, kung'uta kung'uta pale miguu kama nimevamiwa na siafu labda imenasia kwenye suruali bila bila.

Ki ukweli nilirudi kwenye bajeti ya mihogo kwa salio nililokuwa nalo mfuko mwingine kama elfu mbili hivi na ile bajeti ya bunge la kichwa changu haikuwezekana, ile siku niliumia utasema kama mimi ndiyo muhusika mkuu wa ile hela kumbe na mimi niliokota tu, sasa sijui aliyeangusha wa kwanza alikuwa na hali gani ikiwa mimi tu kuna muda najikuta nashtuka paaa! alafu kama naongea peke angu flan hivi.....Nyie acheni tu

Tupe experience yako kama ilishawahi kukutokea hali hii....

Life is too short!

#ZetuDua
Kisicho riziki hakiliki
 
Nimecheka aisee eti kung'uta mguu kama kuna siafu vilee kumbe bila bila
 
Aisee mie niliokota elfu stini nijajiona mwamba kupanda daladala tu za mwenge kariakoo wajuba kwenye basi wakanisachi bila kujua yaani kushuka sioni mpunga uzuri nilikuwa na 5000 mfuko mwingine aisee nilijiona kama bwege fulani
 
Back
Top Bottom