Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

Imeshawahi kunitokea sema baadae nikajuaga ni muathirika na yeye mwenyewe akaniambiaga ,nikashukuru japo kabla nilikua naona demu anazingua kuna kipindi nilitakaga kufosi kabisa ila alichomoa, sahv yangekua mengine
 
Ogopa sana ukiona demu anakomaa kukukatalia hlf hakupi sababu ya msingi wengi wao ndo wapo ivo. usifosi eti kwa kuwa una nyege mshindo utakuja kujuta maisha yote.
 
Wanaume huwa mumejaa upumbavu Sana Sasa mtu wa kazini uzini naye sikujishishia heshima tu huko hafu ukute una kibamia chako, atoke kwako aende kwa mwingine wivu siutakuua.
Rafiki yangu aliwahi nialika kwake akaja akanichukua niende Mimi Sina wazo la mawazo ya kingono kufika eti anataka kunishika kinguvu nilimpiga kibao mpaka akaxinduka nikakimbia na kutoka nje, mpaka leo urafiki umekufa.
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
 
Back
Top Bottom