Ulishawahi kumpenda mwanamke halafu sasa hivi unamwona wa kawaida tu?

mwipwa

Senior Member
May 25, 2018
102
255
Strictly kwenye mada.. binafsi nilikuwa na huyo mrembo wangu... ᵐᵗᵒᵗᵒ ᵃᵐᵉᵘᵐᵇⁱᵏᵃ ᵇᵃˡᵃᵃ_ ,.. sio kwa kumpenda kule ,tulipendana zaid ya miaka mitano. Nilimpenda haswaa mpak nikahisi chizi ,waliowah penda wanajua..Jina lake likitajwa tu haijalish nilikuwa nafany nin lazma mawazo yahamie kwake..text yake ikiingia tu moyo paaaaah..!! call yake ndo usiseme.!!

Hakika nilipenda..na sizan nitakuja rudia huu upuuz wa kupenda haswa...kwan tulikuja achana kwa sababu ndogo sana..

Binafsi saiz naumuona wa kawaida sana kushind hapo zaman...hanivutii tena hat afanye nn
Text yake saiz naona kama zile za POLISI na MUHIMU kwa lain yangu,znanisumbua..

Tujulishane wakuu kama kuna mtu imeshawah mtokea hii kitu..na anaendelea nayo vp.::
 
Ulivyoanza hapo juu huo mwandiko moyo ukafanya paaaaa!

Si nikajua ndiyo yule aliyeniacha bhana hadi hapo ulipoandika kuhusu text zake manake sijawahi kumtext achilia mbali kumpigia hata kwa bahati mbaya ndio nikajua sio wewe
Pole mkuu kama imekupata hii...
 
huwezi shtuka tena maana una jitoto kaliiiii saivi

ungekua member wa chaputa ungeona balaa lake msg yake ikiingia

au akikubip tu ukute msd call (nakwambia ungekua unaweka vocha za akiba nyuma ya cover kama mimi)
kwa hali hii CHAPUTA haiwez isha..
 
Huwa inatokea, lakini nadhani ktk foolish age, mfano wakat npo chuo kuna binti nilimpenda sana kiasi cha kuweka picha yake kama wallpaper ktk laptop? Kwenye fb ikawa in a relationship with.... (name).. Sasa akaja kuniumiza sana (nadhan ndo ilikuwa mwanzo na mwisho wa kuumia ktk mahusiano, na niliapa haitatokea tena kuumia). Baada ya miaka 5 kajirudisha tena, anasema 'nimwoe'.. Ptuuu.. Wakat hata sina time naye na ninamwona wa kawaida mno na hana viwango.. Ikawa akituma sms ya salamu asubuh, namjbu jioni.. Hatimaye akakata mawasliano mwenyewe.. Hadi leo hathubutu kunitafuta.
Ndo dawa yao
 
Real man
 
Back
Top Bottom