Ulishawahi kumpenda mwanamke halafu sasa hivi unamwona wa kawaida tu?

huwezi shtuka tena maana una jitoto kaliiiii saivi

ungekua member wa chaputa ungeona balaa lake msg yake ikiingia

au akikubip tu ukute msd call (nakwambia ungekua unaweka vocha za akiba nyuma ya cover kama mimi)
Ahahah.mkuu hiv bado kuna watu wanawekaga vocha!? Tena unatembea nazo kabisa?? Ahahah strange.
 
Kwa kifupi hii ndio ile inayoitwa "sizitaki mbichi hizi".umeshindwa ku handle sababu za kuachana iki muwe pamoja tena sasa unajificha kwenye pazia la "wa kawaida sana".
Thats a lie.

Anyways.
Sijawah kumpenda wife kijinga namna hiyo.From day one , 9 years ago nilianza kumpenda kawaida sanaa mpaka leo nampenda normal tu, co ile crazyly..no no. Nadhan ndio sababu tunaendelea kudum mpaka leo

By the way, enz hizo za kumtokea nilikua na namlia mingo rafik ake wala sio yy ila sijui ikatokeaje nikajikuta narusha vocal kwake na here we go...a family...
 
Mi imenitokea 5y in date,ila tukaja kuachana imenuchukua muda kumuona wa kawaida coz sikumvua chupi,ila niliowavua chupi wote nishawasahau hadi majina siwakumbuki, nimekuja kutafuta mwingine yeye namuona wakawaida mnoo,simshobokei kiivo mpka akaomba tuwe marafiki tu, now sijui uko anamtu au hana ila yupo vizur awezi kosa,nina viwanawake kibao mpka naona kero
 
mtu anapokwambia ana shida ya vocha na sio wa mtandao wako huwa unamsaidiagaje??
Mm ni mdau sana wa voda na tigo so huwa natuma tu kw mpesa au tigo pesa.Uzur siku hiz haijalish mtandao unaweza tuma kiwango chochote kwa namba yoyote.Then yy atamalizana kununua juu kwa juu.
Ndicho nimekua nikikifanya
 
hizi mimi si zangu ni emergence tu,nikitaka vocha naenda nunua au yakurushiwa ila hela yangu ikishaingia tgo pesa haitoki kdg kdg huwa nina kaushamba flanii hadi leo nataka kuona namba zilizokamilika sio unacheki salio mpesa eti unaambiwa una tsh 566,500 hii namba kwangu siipend kabisa mimi nataka salio lisome 550,000,600,000,650,000,700,000,nk nk

ila sio kuna salio la 700,000 halafu et ninunue kavocha ka jero au buku ibaki 699,000 au 699,500 sipendi sipendi,nikitoa hela tgo pesa natoa anzia 50,000 kwenda mbele vocha vocha hz hata kama iweje sinunui tgo pesa "napiga simu narushiwa"
 
CONTROLA,
Ahahaha...mm sikaagi na hela kwenye moesa au tigo pesa zaid ya hela vocha.Kama ni ya mambo ya msingi ikitumwa humonbasi fasta naiingiza kunako takiwa.so kwenye simu kwakwel huwa sika na hela zaid ya 20,000/=...na ndionmaana huwa nazitumia kwa vocha
 
Sikaagi na namba kubwa ya pesa kwenye simu, juzi kati nikajisahau kuacha namba kuubwa ya pesa kwenye simu tahamaki eti napigiwa simu kuwa nimepata bonus toka Airtel, Nikashtuka nikamwambia we Customer Care subiri nikupigie, nikazima nikahamisha namba zangu halafu nikampigia na kumuuliza wewe customer Care? akawa anarukaruka nikagunduA KUWA WEZI WAKO KWENYE MAKAMPUNI ya SIMU.
 
Ahahahah...mbali na hao..kukaa na hela nying kwenye cm huwa najaikuta natumia kwenye unplanned issues.Unakuta una 200k labda, na ni hela ya kazi..Mtu wakowa karibu labda mshkaji kakupigia anaomba um assist, ni rahis sana kuona okay.
 
Back
Top Bottom