Ulishawahi kumfuata mshikaji akuachie mpenzi wako kistaarabu?

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,681
3,065
Hope wote hamjambo.

Kama swali linavyojieleza hapo juu. Je, ulishawahi kumwendea akuachie demu wako ambae unampenda au ambaye unampenda lakini hajamwambia ila unasubiria muujiza utokee ndio awe mpenzi wako?

Ama mshikaji usiyemjua au unayemjua ambaye anamendea manzi wako zikoje na kama haamini kuwa demu ni wako utafanyaje?

Na mshikaji akikuambia alinambia hana mtu (mpenzi) jibu la namna hiii unalichukulia kama usaliti au demu kujihami asigundulike mahusiano yake.

Je, ulishawahi kumwambia jamaa akuachie demu wako lakini akaendelea kukomaa?
 
Huo ujinga siwezi kuufanya

So inakuwaje unapomuambia hivyo then manzi wako ndio ikawa amemuelewa huyo jamaa hasikii wala haoni kwake !!?

Huko si kujidhalilisha na kujichoresha
 
Kuna manzi alikua ananielewa Sana tulikutana mjini mjini tu alikua mdogo mdogo tu alfu mzuri kinoma basi ki nikajiweka fresh yani nikaona huyu atakua wife kweli tulidumu miaka 2 kumbe sijui lolote Kama Yule demu no mke wa mtu bhana

Basi siku nikapigiwa simu na jamaa anaomba niachane na mke wake sikuwahi kuwaza hili Mana kwa demu nilikua Hadi naenda kulala na sijawahi kukuona jamaaaa nikabisha Sana nikataka kuleta ubabe Ila nikaona fresh nikamoigia jamaa tukaonana sehemu akanieleza vyote Hadi cheti Cha ndoa akanionyesha na picha za harusi daah sikuamini Ila nikakubalina na ukweli na nikamwambia jamaa asiwaze mke wake Yuko salama kabisa

Baada ya siku kadhaaa nikamchana Yule manzi na tuakaachana kiroho Safi kabisa paka leo wanaishi vizuri na ndoa yao inakwenda vyema
 
Siwezi kamwe, Kama unampenda unamwambia tu..kumfata msela umwambie juu ya huyo manzi atakuona mshamba..Kwanza huwa wanakataa kumbe anakula kisela tu ila anakupa moyo😂😂
 
Back
Top Bottom