Duuh mwisho unaweza jikuta motoni na watu wa masiharaUzi wa "wazinzi" na "waasherati".
Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?
MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?
Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.
Mwenye masikio na asikie.
Kula raha mbinguni ni kwa wachache sana na wewe haupo huo ndo ukweli ndugu