Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,446
- 976
Kwakuwa umeamua kuwa marafiki tu huko lG leta connection maana mpira pasiHalafu ni watamu balaa wana hips kama zote, kuna mmoja nilikua nae miaka nenda rudi miaka kibao alikua kwao lakini so alikua anakuja kwangu mara kwa mara kipindi cha mzee wa loliondo familia yao ilienda yote kakaja kunipitia niende kunywa kikombe cha mzee nikagomea, nilimbana hafurukuti full wivu ilibaki kidogo tu nije kuoa tumebaki marafiki ru wa insta sema huyu alikua anjiheshimu sana.