Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".

Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?

MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?

Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.

Mwenye masikio na asikie.
 
Mmeshindaje hapo galilaya mtume?
 
Umemaliza Kaka Son of Gamba ! Ahsante sana kwa ufunuo. Tukutane peponi!
 
Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".

Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?

MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?

Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.

Mwenye masikio na asikie.
Mtumishi
 
Na mwasherati wewe ukakomenti kwenye uzi wa wazinzi..!!
 
Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".

Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?

MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?

Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.

Mwenye masikio na asikie.
Eeee!taratibu mchungaji na wewe unatafta nini kwenye uzi huu,umesoma comment zote emu tupumzishe kila mtu atabeba mzigo wake
 
Uzi wa "wazinzi" na "waasherati".

Watu mnaona "sifa" kuelezea zinaa? Mnaona ni ufahari kusimulia uasherati wenu?
Hata MUNGU hamwogopi, mnafikiri mtaishi milele kwenye hii dunia?

MUNGU aliwaweka hapa duniani mfanye zinaa???
Mnajua ni kwanini mlipewa uhai mlio nao?

Imeandikwa hivi :
"kila neno atakaloongea mwanadamu liwe jema au baya ataleta hesabu yake mbele ya kiti cha hukumu". Kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako utahesabiwa haki.

Mwenye masikio na asikie.
Tumbafu unatafuta nini huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom